Lini unatamani ifike/isifike haraka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini unatamani ifike/isifike haraka?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wajad, Oct 17, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Wengine wanatamani mwisho wa mwezi ufike haraka, wengine wanatamani msimu wa mavuno ufike haraka, wengine wanatamani siku za ahadi za kukutana na wapenzi wao zifike haraka, kufunga ndoa, kusafiri, nk. Sina uhakika kama kuna wanaotamani siku ya kiama ifike haraka au siku za kufa kwao. Je wewe unatamani siku/majira gani ifike/isifike haraka?
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Siku Ninayotamani Ifike Haraka Ni Mwezi Dec Kwani Nafunga Ndoa Baada Ya Uchumba Sugu Wa miaka 15!!

  Na Siku Nisiyotaka Ifike Haraka Ni Weekend Zote Kwani Ndizo Siku Ambazo Nalalaga Juu Ya Meza Za Baa au Kaunta Badala Ya Kitandani Kwangu.
  Asante.
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Siku niipendayo ifike
  Siku nitakapo jihakiki kwamba nimekua qualified wa kufumua marinda !
  Nisiyoipenda siku atokee wa kutokea kuniambia bamia inanihusu !
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  siku ambayo nyavu zangu zitacheua...hakika siku yangu itakuwa njema!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duuuuh aiseeeee.....
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Naungana nawe kutamani hiyo dec. ifike haraka!
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  natamani siku ya kukutana na naniii ifike make tunaishiaga kuongea kwenye cm!
  siku nisiyotamani ni siku ya kupigwa kibuti lolest. . . nakuwaga mdogo kuliko piriton!!!!!!
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  AHHHAHHAHAHHAHAH shosti hapa ubraidmaid unahusika kwa kweli tutapendezaje na njano na puprple yetu!ahahahahhahahha chezeya uchumba sugu miaka 15 wewe!
  ngoja nipendekeze wadau kabisa
  hapa kwenye umatrone akae @FP
  mabraidsmaid watakuwa cacico, mwaJ King'asti, snowhite
  lara 1 na Kapipi watarekebisha upande wa kukaribisha wageni
  The Boss atakuwa floor manager Kaizer mwenyekiti wa kamati kuu ya vinywaji HorsePower atarekebisha upande wa kuandaa risala ya wazazi
  SnowBall pacha wangu atasimama upande wa usafiri
  Nyani Ngabu yeye kzi yake ni kuleta nguo za maharusi kutoka pande za italy
  gfsonwin yeye atahusika sana siku ya bridal shower akisaidiana na Mamdenyi
  MKATA KIU na Saint Ivuga wao wakiongozwa na BAK pamoja na King Kong III watasimamia swala zima la muziki
  Erickb52 yeye atafuatilia swala zima la suti ya bwana harusi
  Ruttashobolwa kutokana na kuwa na maslahi binafsi katika hili tunaomba tu atuache tupige mzigo!
  ASHAdii akisaidiana na nyumba kubwa watahusika na maswala yooote ya masotojo a.k.a msosi. charminglady na FirstLady pamoja na kisukari nyie kazi yenu ni upande wa saloon muhakikishe amekuja kanisani anawaka waka!
  kuna nyongeza jamani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Judgement kumbe wewe ndo unayeshkilia maombi yetu yasipate breakthru kwenye uponyaji wako lol!
  watu tunamaombi ya mnyororo wa kila siku toka tupate taarifa za kuugua halafu wewe unatukwamisha tutasusa sasa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  haluuuu halafu ujue leo tunaanza mkesha wa kumfunda mwali kuamki aijumaa kesho na hapa niko ndo naandika kadi za mwaliko soon mtazipata.
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mie mbona nakuaminia shurti kumsugua na machicha ya nazi
  huku mnamkanda kiuno na mafuta ya uto
  halula!
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  shshshshshshhhhhhhhhhhhhhhhh haya utayasema ukumbini bana subiri kidogo kungwi wangu.
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  snowhite yan hiyo nafasi umenipatiaje, bi harusi atawaka kama theluji. . .
  afu wimbo wa kuingilia ukumbini utakuwa "wanawake wazuri wazuri wameole yamebaki yamebaki yanahangaika" alilililili!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ila kweli shostilo.
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mie tena mtaalam wa kuzingatia haiba!
  ahahahhahhahah huo wimbo mbona kiboko!!tutachezaaaje!
   
 16. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145

  Mimi mwenzenu siitamani siku ya kufa ifike, siipendi kabisa na huwa nakereka sana kuona napoteza wapendwa ndugu zangu na marafiki. Naichukia hii siku balaa!
  Hata tuonane mtoni, watakatifu kwetu ni mtoni .... Huu wimbo ndo huwa unaniudhi zaidi ...!

  Siku zingine zote sina tatizo nazo hata kidogo, acha zifike tu na napenda zifike maana hata nikiomba zichelewa bado zitafika tu, hivyo ni bora zifike halafu zipite ili nisahau hayo niliyokuwa nayaota na kuyafikiria kila siku!
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  snowhite una mambo yaani unampa HP kuandaa risala?! Siwezi kuisikiliza ...!:shock:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Haa haa! Haa!
  Jamani mgonjwa si naumwa huu mguu mrefu lakini!
  Mfupi uko "makila kinga poa"
  huo si utakua uuguzaji wa kizamani ?
  Mara mgonjwa usile mayai !
  Usile maini !
  Usile kuku !
  Hayo maponyaji ya mgonjwa asifungue nafsi zama zake zishakwenda arijojo !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usihofu Mziki Utakuwa Mnene @Subwoofer na tweeter za Kutosha DJ JD Tutakuwa Nae kwenye 1 n 2......
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Natamani kesho ifike haraka, maana ndio mwanzo wa weekend...
   
Loading...