so you think speaking archaic English make you proud of knowing English?Anybody can get it....watch your mouf....yes...mouf, not mouth.
so you think speaking archaic English make you proud of knowing English?
Albadir siyo mchezo matokeo yake yanajidhihirisha hadharani!!!......... Msalimie mshumbuzi!I'm throwing down the gauntlet for a Lincoln - Douglas style debate vs any kamanda out there.
Yeyote yule, popote pale, muda wowote ule, na kuhusu chochote kile...niko tayari ku debate na kamanda yeyote yule.
Kama hakuna mwenye ujasiri wa ku debate na mimi mano a mano basi mnaweza hata kujikusanya hata 100.
Yep...Ngabu vs Makamanda 100.
So bring it on makamandas. I'm ready to open that can of whup ass on you all [emoji109] [emoji109].
Viroba viko special kwa ajili ya LumumbaTokea viroba vipigwe stop makamanda wameweuka mpaka huruma saivi wanaishi kwa kudra za gongo
hahahahahahah,,kwakweli yeye na Deo wanalingana...hahahahahhaa...dah..umenichekesha sanaMtafute mwenzako Deo Kisandu usilete ujinga wako hapa.
Debate for what???umekimbia nchi yako afu unakuja kutuletea uchakaraa hapa.
Makamanda Wana malalamiko mengi kila siku. Wanaongelea kuminywa kwa Uhuru wa habari, bunge live, kupihwa risasi Lissu, kupotea Ben Saanane, demokrasia, njaa, uchumi kuanguka, hela kupotea mtaani, Maisha kuwa magumu, ndege kushikiliwa nje, madini Na makinikia, Magufuli Na Serikali ya Awamu ya Tano...eew!
Sasa wameitwa kwenye mjadala/debate wameanza kutoa matusi Na hakuna hata mmoja anayekuja Na hoja. Nimewawekea hapo juu baadhi ya madai yao ili wachuje wapate hoja za mjadala.