Lincoln - Douglas style debate: Ngabu vs Makamanda

Lincoln - Douglas style debate: Ngabu vs Makamanda

Mpaka sasa makamanda chali.mnashindwa mijadala nawachagulia maada.tuongee kuhusu walioficha hela nje?magufuli ataweza kuzirudisha au kuwashughulikia kwa namna gani.
 
Hahahaa makamanda bana...too uptight.

Have room for some levity. Life is too short.
Alafu inaonyesha unajua vizuri kiingereza maana comment yangu ni ya Kiswahili lakini kwasababu umezoea kujibizana na wanaotukutuma kazi/kubeba boksi kwa kiingereza basi unadhani hata mimi tutaelewana tu kwa hiyo lugha.
 
Mpaka sasa makamanda chali.mnashindwa mijadala nawachagulia maada.tuongee kuhusu walioficha hela nje?magufuli ataweza kuzirudisha au kuwashughulikia kwa namna gani.
Mi nadhani akadiscuss na dada zake wanajifungulia chini pale Somanda hospitali au aende Mtama kwa wapiga kura wa Nape akadiscuss nao kuhusu bombadier,sisi tunaelewa nchi inapokwenda hatuitaji discussion na wapuuzi labda angekua ni Mh Mwigulu tungemfikiria.
BTW mods huu upuuzi kaufiche uko chit chat.
 
I'm throwing down the gauntlet for a Lincoln - Douglas style debate vs any kamanda out there.

Yeyote yule, popote pale, muda wowote ule, na kuhusu chochote kile...niko tayari ku debate na kamanda yeyote yule.

Kama hakuna mwenye ujasiri wa ku debate na mimi mano a mano basi mnaweza hata kujikusanya hata 100.

Yep...Ngabu vs Makamanda 100.

So bring it on makamandas. I'm ready to open that can of whup ass on you all [emoji109] [emoji109].
Unadebate kuhusu nn au ni kuamua kubisha tuu???
 
I'm throwing down the gauntlet for a Lincoln - Douglas style debate vs any kamanda out there.

Yeyote yule, popote pale, muda wowote ule, na kuhusu chochote kile...niko tayari ku debate na kamanda yeyote yule.

Kama hakuna mwenye ujasiri wa ku debate na mimi mano a mano basi mnaweza hata kujikusanya hata 100.

Yep...Ngabu vs Makamanda 100.

So bring it on makamandas. I'm ready to open that can of whup ass on you all [emoji109] [emoji109].

Waswahili bana! wenzako wanawaza maendeleo we unawaza kubishana! NONESENSE!!!
 
Ukamanda ni zilipendwa.mlisha poteza imani kwa werevu toKea uchaguzi uishe.in reality hakuna opposer wa maguful mwenye hoja makini.tujifunze kuukubali ukwel kwa sasa hakuna kikund,team,mtandao,chama,urafiki, wenye nguvu kama ofis ya rais.na ili ndilo haswa tulikuwa tukilitaka ..magufuli ananyosha .tanzania siku hizi raha sana tunakula vyakula bei rahis mchele kibao.kwanini tusinenepe nchi imepata rais.kila kitu ni hesabu bahati mbaya hesabu zenu zinakataa.magufuli kasetiwa na Mungu.Tumuombee kwa sababu changamoto hazijawahi kuisha
Ref:mambo 25+ aliyofanya magufuli ya kushangaza.makamanda watu siku hizi tuna uelewa mkubwa
 
Back
Top Bottom