Limebaki boom moja sina hata business idea

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!!

Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea.

Natamani kulia natamani kucheka

Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje wakati unakata mfumo??
 
Hauna mchango. Kwaiyo
 
Umezinywea?
 
Mkuu pole sana, Jitahidi tu hata ubakiwe na nauli ya kurudi nyumbani ama nauli ya kufukuzia michongo kwa muda utakaosalia hapo ulipo
 
Boom sio hela ya Kufanyia Biashara.
Wala usijipe Stress,
We Komaa malizia Chuo chako vizur, rud Home pumzika miez 2.

Then andaa Mipango kazi yako vizur ya kuajiriwa,
Anza hata kwa kujitolea kwenye taasisi ambazo course uliyosomea iko applicable.

Na Usihofu kuhusu Nauli na hela ya Kujikimu.
Ndugu jamaa na marafik watakubeba kwa kipind hiki.

Ushindi unaanzia Kichwan...
 
Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!!

Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea.

Natamani kulia natamani kucheka

Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje wakati unakata mfumo??
Wewe si ulikuwa unakula Bata unavuta shuka kumekucha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom