Lile tamko la RC Makonda kuhusu mashoga katika mkoa wake limeleta mabadiliko yeyote katika swala hilo?

Marekani siyo mbinguni! Nitamuunga mkono MTU yeyote mwenye ujasiri wa kukemea ushoga hadharani. Kwa marekani mashoga huitwa "kundi maalumu"! Eti haki za kundi maalumu (za kufwilw*) lazima zilindwe!! Watukom*!
Siwezi kuunga mkono yeyote amwondoleaye mwingine haki ya kuishi. Lakini siwezi pia kumtuhumu Mtu tuhuma kubwa kiasi hicho cha kuondoa uhai wa MTU kwa kigezo cha hisia tu na maneno ya watu!! Hukumu hiyo namwachia Mungu aonaye sirini na atahukumu kwa haki.
Lakini Marekani haina nguvu ya kimaadili (moral authority) ya kukemea MTU aondoleaye mwingine haki ya kuishi maana yenyewe ndio muuaji mkubwa. Hakuna Taifa chini ya jua kwa sasa linalomwaga damu zisizo na hatia kama Marekani!; 1. Juzi tu wamemwua kamanda wa Iran nje ya uwanja wa vita na kujisifu bila Aibu! Japo baadaye alipigwa Kofi LA USO na Iran wala hakuthubutu kurudishia maana alikuwa ameshikwa pabaya! Mzee mzima akaadhirika japo alidai hakuna askari wa marekani aliyedhurika japo baadaye alilazimika kukubali kuwa zaidi ya askari 50 wana hali mbaya kutokana na Kofi hilo LA USO LA Iran.
2. Marekani iliisingizia Iraq kuwa ina silaha za maangamizi huku wakijua kuwa ni uongo na wakaishambulia Iraq na kuua maelfu ya watu wasio na hatia.
3. Waliisingizia Syria kuwa imetumia Silaha za kemikali dhidi ya wapinzani wake na wakaamua kuishambulia na kuua mamia ya watu. Imeshadhihirika kuwa ulikuwa ni uongo!
Hatuhitaji kwenda Marekani! Taifa limwagalo damu duniani kote! Marekani ni Sodoma ya leo!! Mimi nadhani na sisi tuwapige marufuku wasije Tanzania!! Nchi inayokumbatia mashoga na wasagaji nani anaitaka!!!
sodoma na gomola ya kuuwa wapinzani?

muogope mungu wapi alipo Azroy na Ben?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom