"Lile jambo letu" ni moja ya kauli ninayoichukia sana

Habari!
Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni?

Tatizo nini hasa?
Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi
yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi?

Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa bei?. Mbona kila mwaka bidhaa hasa za ujenzi zinapanda bei, zimepanda kutokana na gharama za uzalishaji kupanda au zimepanda kutokana na kauli za Marais Mei Mosi?
Anakuja mtu anazungumzia mambo ya bodi ya kuratibu.

MISHAHARA. Je, miaka ya nyuma enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete kilitumika chombo gani kuratibu MISHAHARA?

Niseme sasa bila kupepesa macho kuwa kauli ya "Lile jambo letu bado lipo " ni miongoni mwa kauli zinazopaswa kutamkwa na kinywa kilichojaa upumbavu.
Hivi tuna kumbukumbu ya Magufuli kuongeza mishahara?
 
Achana na mambo ya kauli mkuu Subiri. Mishahara imeongezeka au haijaongezwa? Subiri

Hiyo subiri haina timeframe,yawezekana ikawa had I MayDay 2023!Kama mwaka 2021 alisema ataongeza mwaka huu kwa nini tena kusubirishana?Mfumko Wa being za bidhaa zote haukusababishwa na kupanda kwa mishahara for 7 years.
CCM mnashangilia vitu ambavyo havipo.
 
Mkuu nitake radhi.Mimi nafanana na CCM?Unaniharibia Eid yangu mkuu!
 
Watanzania wote wanafanana. Viongozi wa wafanyakazi, wafanyakazi wenyewe na serikali yao... wote hawana tofauti. Wote wababaishaji tu. Subiri sasa 2025 watakavyotumika kuiba kura kwa ajili ya CCM. Akili zao sijui wanatunzia wapi!!
Mmepigwa changa la macho wafanyakazi wa Tanzania . Kwanza hamjielewi kabisa. Labour day ni siku ya KUDAI maslahi yenu bora siyo siku ya kujikomba na kubembeleza uteuzi
 
Wakuu ndio tupo tunamalizia hesabu soon,kazi imekuwa kubwa ila tuna imani tutaimaliza kwa wakati..,, subirini Ongezeko linakuja... Endeleeni kula sikukuu mkiwa na amani...
 
Habari!
Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni?

Tatizo nini hasa?
Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi
yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi?

Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa bei?. Mbona kila mwaka bidhaa hasa za ujenzi zinapanda bei, zimepanda kutokana na gharama za uzalishaji kupanda au zimepanda kutokana na kauli za Marais Mei Mosi?
Anakuja mtu anazungumzia mambo ya bodi ya kuratibu.

MISHAHARA. Je, miaka ya nyuma enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete kilitumika chombo gani kuratibu MISHAHARA?

Niseme sasa bila kupepesa macho kuwa kauli ya "Lile jambo letu bado lipo " ni miongoni mwa kauli zinazopaswa kutamkwa na kinywa kilichojaa upumbavu.
Ukishakubalishwa kumuita mtu Mama, anaweza kukulainisha vyovyote vile ukakubali kama "mtoto mzuri".
 
Mama anatupia mpunga wa kutosha. Sio increment, ni addition.

Mwaka 2015 jakaya aliongeza kwangu 13%!

Mama hata akishauriwa vibaya na akina mwigulu haitapungua 8% nyongeza.
 
Habari!
Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni?

Tatizo nini hasa?
Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi
yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi?

Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa bei?. Mbona kila mwaka bidhaa hasa za ujenzi zinapanda bei, zimepanda kutokana na gharama za uzalishaji kupanda au zimepanda kutokana na kauli za Marais Mei Mosi?
Anakuja mtu anazungumzia mambo ya bodi ya kuratibu.

MISHAHARA. Je, miaka ya nyuma enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete kilitumika chombo gani kuratibu MISHAHARA?

Niseme sasa bila kupepesa macho kuwa kauli ya "Lile jambo letu bado lipo " ni miongoni mwa kauli zinazopaswa kutamkwa na kinywa kilichojaa upumbavu.
Walioambiwa hivyo kisha wakashangilia ndiyo wajinga zaidi ya mara 2
 
Mimi ndo mpiga mahesabu aliyenitaja, kiufupi siikamilishi kazi hii leo wala kesho. Ma baba na ma mama mazima mnaishi kwa kutegemea mshahara ..... Kufeniiiiiiii.... tena kifo cha mende.
 
Ingekuwa mshahara hauna maana kwenye barua ya contract usingetajwa
 
Habari!
Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni?

Tatizo nini hasa?
Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi
yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi?

Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa bei?. Mbona kila mwaka bidhaa hasa za ujenzi zinapanda bei, zimepanda kutokana na gharama za uzalishaji kupanda au zimepanda kutokana na kauli za Marais Mei Mosi?
Anakuja mtu anazungumzia mambo ya bodi ya kuratibu.

MISHAHARA. Je, miaka ya nyuma enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete kilitumika chombo gani kuratibu MISHAHARA?

Niseme sasa bila kupepesa macho kuwa kauli ya "Lile jambo letu bado lipo " ni miongoni mwa kauli zinazopaswa kutamkwa na kinywa kilichojaa upumbavu.
Punguza upumbavu mkuu, ingekuea ujinga ningekulipia ada ukautoe
 
Sidhani Kama wew ni mtumishi wa umma, kwa kipindi kifupi serikali ya Awamu ya 6 imelipa arrears za muda mrefu, imepandsha/inapandsha madaraja mpaka Sasa watumish wa umma wote wenye sifa wanapata madaraja, naweza kusema aliyoyafanya tu kwa muda mfupi kwa ss watumishi yametufanya tuwe na Imani kubwa Sana na MH. RAIS SSH.🙏🏼
 
Back
Top Bottom