Lile bao la jana! VAR" ya Chumbani

Lile bao la jana! VAR" ya Chumbani

Hebu tupe simulizi yake kidogo
Kulikuwa na binti mmoja, maisha yalikuwa yamembana sana… bad situation. Alikuwa amechoka kupita kiasi—kimwili, kiakili na hata moyoni. Siku moja jioni, baada ya mawazo kumzidi, akajisemea: “Ngoja nitoke kidogo, nipate fresh air, maybe nitatulia…”
Akatembea polepole bila mwelekeo maalum, akijaribu kupunguza mzigo wa mawazo. Ghafla, macho yake yakatua kwenye chupa ya ajabu iliyokuwa imekaa peke yake kama inamsubiri. Alipoisogelea… mambo yakabadilika.
Ile chupa ikaanza kumsemesha.
Ndiyo, ikaanza kumsemesha kwa sauti laini, yenye utulivu, yenye maneno matamu ya kuvutia—maneno yaliyomfanya ahisi kueleweka kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu. Ilikuwa ajabu sana… lakini ilikuwa halisi 🫰
Binti alisimama kimya, akisikiliza.
Ghafla, ile chupa ikafunguka taratibu… kisha ikasema kwa upole: “Kunywa kilichopo ndani yangu…
Binti, akiwa amechoka na maisha, bila kusita akainyanyua na kunywa.
Lahaula…!
Ndani ya sekunde chache, kila kitu kikabadilika. Akahisi kama mzigo wote aliokuwa amebeba umetoweka. Moyo ukatulia. Mawazo yakapoa. Ni kama amezaliwa upya… ajabu ya kweli 🙌
Baada ya kuridhika na ile hali ya utulivu na furaha, ile chupa ikajifunga yenyewe tena, kimya kimya… kama haijawahi kufanya chochote.
Binti alitabasamu kidogo, akaiangalia ile chupa kwa mshangao na shukrani.
Na hapo ndipo alipoamua kuipa jina…
“CHUPA YA MAAJABU.” ✨
 
Baada ya kuridhika na ile hali ya utulivu na furaha, ile chupa ikajifunga yenyewe tena, kimya kimya… kama haijawahi kufanya chochote.😀💪🏿

Hii imenivutia na kunifunza kitu kikubwa Sana💥
 
Asante kujifunza nafurahi umebarikiwa na kisa hiki chachupa ya maajabu

Ni nani ajuae huende chupa ikajifungua tena mala ya pili kwa Binti?
Binti ameitunza kwa matumaini akisubiri ifunguke tena
 
Hahahaha next time litatoka jini😂
 
Back
Top Bottom