Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,365
- 3,066
sasa pale leeds angecheza na akna nanHehehehehe
Alikuwa pancha mzee
Ilibidi Madrid wamsajili ronaldo kutoka man u bale kutoka spurs na luka kutoka spurs ndio watawale ulaya
Kila mwaka Madrid anahangaika kuchukua wachezaji uingereza
Hata mchezaji bora wa la liga alikuwa flop uingereza
Ila kwakuwa ni mbishi utabisha