Ligi ya Hispania ni mbovu kulinganisha ya Uingereza

PSG kapiga kuanzia Liverpool,Man City,Aston Villa na Arsenal hapo hata ingewekwa Timu ingine ya Uingereza ingefungwa maana mfumo ni ule ule kwa hiyo wote wamefungwa na copy moja tu wakati ni ngumu Timu ya Nchi moja kuzifunga timu nne au tano zote za Spain,Italy au German hiyo ni ngumu.
 
England ni Tim mbovu zinazo kamiana🙅
 
Katika ligi za hovyo duniani ni ligi ya spain haina ushindani kwenye ligi asipochukua barca anachukua real. Ile ligi inazidiwa na italy angalau kuna ushindani.
 
Mimi lig zangu pendwa ni BUNDESLIGA,LALIGA,SERIA A
 
Katika ligi za hovyo duniani ni ligi ya spain haina ushindani kwenye ligi asipochukua barca anachukua real. Ile ligi inazidiwa na italy angalau kuna ushindani.
Upo sahihi kabisa, watu wanabishania ubora wa ligi humu lakini hawazingatii nini maana ya ligi, badala yake wanahamia kwenye ubora wa vilabu vikubwa vya ligi hizo. PSG anaweza kupiga timu zote za epl lakini hiyo haimaanishi ubora wa ligu 1, maana wenzie wote wanamsubiri awakung'ute na kubeba kombe bila mawaa.

Ligi ya Spain haina tofauti na ya Tz, kabla hata ya ligi kuanza unajua kabisa bingwa ni kati ya Barca na Madrid, kama ilivyo kwa Simba na Yanga huku bongo.

Atletico nayo ni Azam ya Spain, nafasi yao huwa ni ya tatu. Hata ubingwa wa ligi zao, tangu nianze kufuatilia mpira wote wamechukua ubingwa mara moja. Miaka yote iliyobaki ni ya giants wawili wa ligi hizo.

Kuna watu wanasema "ohh bora Bundesliga na Ligue 1". Hizo ligi zilifikia hatua ya kuitwa monopoly kwa sababu zinahusisha giant mmoja na vibonde wake 19 (au 17), kila msimu anawafanyia tohara wote kisha anajibebea ndoo kwa tofauti ya points 20+ zikiwa zimebaki mechi 4/5 ndipo ligi iishe! Hata epl imeshuka hivi karibuni baada ya Pep kufika na kutaka kui monopolize, ila afadhali sasa mambo yameanza kumchenjia kidogo.
 
Seria A kwa sasa imekuwa ngumu kutabir bingwa ni nan
 
Kwa Vigezo vyako kina Henry, Anelka, Owen to name just a few wasingekuwa Flops Spain... Niambie apart from Ronaldo ni nani alifanya Transition ya Premier to La Liga na akafanya makubwa kama alipotoka, arguably hata David Beckham aliflop...

Spain unahitaji technical ability more than anything ukiwa na technical ability utafanya vizuri Spain ila any good player can adapt; kwahio kwa maneno yako mwaka huu ligi bora ni France na Italy ?!!!!

Ingawa binafsi Ligi ni Ushindani na kuna mwaka nilisema ligi bora duniani ilikuwa ni Algeria....

Kwa miaka mingi misimamo kwenye ligi hizo msimu ukichanganya humo kati ni kawaida kukuta ikisoma hivi kwa top 6:

EPL: 61, 59, 55, 54, 52, 52 ...

SERIE A: 59, 57, 54, 49, 48 ...

LA LIGA & BONGO: 58, 57, 37, 32, 32, 31 ...

BUNDESLIGA & LIGUE 1: 60, 42, 40, 39, 39, 36 ...

Bora SERIE A kunakuwaga na ushindani inafukuzana EPL.
 
Seria A kwa sasa imekuwa ngumu kutabir bingwa ni nan
Huo ndo ubora wa ligi sasa, watu watoane jasho. Sio giant mmoja anayesumbua huko UEFA anajichukulia ndoo ya ligi kuu bado ana game 10 mkononi huku wenzie wote wakiwa kama wake zake eti ndo ubora wa ligi.
 
Kwa miaka mingi misimamo kwenye ligi hizo msimu ukichanganya humo kati ni kawaida kukuta ikisoma hivi kwa top 6:

EPL: 61, 59, 55, 54, 52, 52 ...

SERIE A: 59, 57, 54, 49, 48 ...

LA LIGA & BONGO: 58, 57, 37, 32, 32, 31 ...

BUNDESLIGA & LIGUE 1: 60, 42, 40, 39, 39, 36 ...

Bora SERIE A kuna kaushindani inafukuzana EPL.
Kwa hiyo kwako wewe ligi bora ni ile yenye ushindani sio? Hata kama wanaoshindana ni vibonde kama EPL?
 
Kwa Vigezo vyako kina Henry, Anelka, Owen to name just a few wasingekuwa Flops Spain... Niambie apart from Ronaldo ni nani alifanya Transition ya Premier to La Liga na akafanya makubwa kama alipotoka, arguably hata David Beckham aliflop...

Spain unahitaji technical ability more than anything ukiwa na technical ability utafanya vizuri Spain ila any good player can adapt; kwahio kwa maneno yako mwaka huu ligi bora ni France na Italy ?!!!!

Ingawa binafsi Ligi ni Ushindani na kuna mwaka nilisema ligi bora duniani ilikuwa ni Algeria....

Hizi ndo ligi za kufuatilia sasa
 
Huo ndo ubora wa ligi sasa, watu watoane jasho. Sio giant mmoja anayesumbua huko UEFA anajichukulia ndoo ya ligi kuu bado ana game 10 mkononi huku wenzie wote wakiwa kama wake zake eti ndo ubora wa ligi.
Ubora wa ligi unatokana na uwakilishi mzuri kwenye michuano ya kimataifa kwa vilabu vya ligi husika. Mathalani La Liga karibu kila msimu kuna timu inabeba moja kati ya makombe ya UEFA
 
Kwa Vigezo vyako kina Henry, Anelka, Owen to name just a few wasingekuwa Flops Spain... Niambie apart from Ronaldo ni nani alifanya Transition ya Premier to La Liga na akafanya makubwa kama alipotoka, arguably hata David Beckham aliflop...

Spain unahitaji technical ability more than anything ukiwa na technical ability utafanya vizuri Spain ila any good player can adapt; kwahio kwa maneno yako mwaka huu ligi bora ni France na Italy ?!!!!

Ingawa binafsi Ligi ni Ushindani na kuna mwaka nilisema ligi bora duniani ilikuwa ni Algeria....

Kama ishu ni kutajiana aliyeflop EPL akawika La Liga mifano ipo pia.

Sidhani kama hicho kinahitajika kua kipimo. Nafikiri kipimo sahihi angalau kiwe ni kuangalia ligi husika bingwa hua anagewa ushindani kwa kiasi gani na timu zingine.

Mfano Italia Juve iliwahi kufanya ile ligi ionekane ya hovyo, Bayern same kwa Bundes Liga, Paris Ligue 1 na Madrid na Barca wakawa wanapokezana La Liga.

EPL inawezekana kugeuzwa na City hivyo kama yataendelea baadhi ya mambo. Kuna mwaka fulani wakati Pep anafundisha Bayern mashabiki waliacha kwenda uwanjani kwakua walisema wanaona wanashinda sana bila changamoto
 
Back
Top Bottom