Hata huo uwakilishi wenyewe ni timu ngapi zinabeba au kushiriki UEFAUbora wa ligi unatokana na uwakilishi mzuri kwenye michuano ya kimataifa kwa vilabu vya ligi husika. Mathalani La Liga karibu kila msimu kuna timu inabeba moja kati ya makombe ya UEFA
Kama ni hivyo, mbona hizo timu zenye ushindani zikienda kwenye michuano ya UEFA zinapigwa?EPL ni ligi bora na yenye ushindani lakini haimaanishi ina timu bora kuliko ligi zingine Ulaya.
Hapa ndiyo wapenzi wa La Liga wanaposhindwa kuelewa. Kinachofanya EPL kuwa na ushindani ni PESA.
PESA. PESA. PESA!!! Pesa inayomwagwa EPL ndiyo inafanya ligi kuwa yenye ushindani kwasababu timu zote zinaweza kutoshana misuli. United, Pool, City, Arsenal, Spurs, Chelsea, wote wana pesa ya kununua wachezaji ghali kila msimu. Ukija kwa hizi mid-table Newcastle taratibu wanajenga ufalme wao. Nottingham F. kwa msimu anaweza ku-spend 200m pounds, bado kuna West Ham, Palace, Brighton.
Ukitaka kubisha wewe kaza fuvu ila data zipo. Madrid na Barca wanapozishinda timu nyingine ni wameweza kuendeleza ubabe wao kwasababu ndiyo timu zenye pesa, na kwasababu timu nyingine ni dhaifu kwenye ligi zinapata mafanikio zaidi kwenye ligi na vikombe vingine vya ndani. Sasa ile hali ya ushindi kila msimu inavutia wachezaji wazuri kwenda kule. Na ukiongelea Europe kwa Spain ni Madrid tu ndiyo anaweza kuongea, sasa hivi mafanikio yao ni kusajili wachezaji waliomaliza mikataba. Wachezaji wengi hawaji EPL maana wanajua vikombe vya ndani vinagawanywa kwa kila timu, kushinda treble ni mpaka kikosi kama cha City ile ya moto. Sasa ukishakosa domestically unabaki na kombe la Ulaya na huko ndiyo unakutana na super teams kama PSG. EPL ndiyo ligi bora!
Madrid, Barca, Bayern, PSG wanaweza kuwa na vikosi bora ila ligi zao ukitoa wao ni dhaifu sana. EPL kila timu ina pesa hivyo utofauti kati ya timu na timu ni mdogo.
Manobisha angalieni hapa timu za La Liga zilivyo masikini:
View attachment 3343950
Duuh!EPL ni ligi bora na yenye ushindani lakini haimaanishi ina timu bora kuliko ligi zingine Ulaya.

Wewe ilikuwa kaz ya nuno Mendez aliye mpga pin Salah kutoka eplHuyu dogo kapitia anayopitia saka kila wiki cheki alivyopoteana
Akija uingereza huyu anauzwa kwa pauni million 15
View attachment 3368638
Mpira wa pasi tatu goli pqle epl ulishaondoka na fergie sasa hivi nchi nzima haichezi huu mfumoLigi ya Uingereza ni ligi maarufu tu wala haina ubora wala havutii kuitazama, sema ni hivyo tu ilifanikiwa kujitangaza mapema.
Mfano unajisifia ligi bora huku pasi tatu mpira upo Langoni kwa mpinzani huo ubora upo wapi? Mpira hauna flow hata chembe kazi kukimbizana tu na hakuna cha ufundi wala nini.
Ukisikia anasifika mchezaji wa EPL ujue huyo ni beki. Striker kama Halland anasifika lakini siku timu ikishikwa anakuwa hana msaada wowote zaidi ya kuzurura.
kumbukumbu zinaonyesha spain ziko zaidi ya mbili..Jumlisha UEFA za england alaf fananisha na za madrid peke yake ndio uje hapa
Sasahivi hadi brighton anafanya build up kutokea nyuma daadeki.Mpira wa pasi tatu goli pqle epl ulishaondoka na fergie sasa hivi nchi nzima haichezi huu mfumo
Na ndio mpira uliomfanya akacheza fainali mbili mfululizoSasahivi hadi brighton anafanya build up kutokea nyuma daadeki.
Bado anapumua huyo tandika kichwaniMfano PSG kutoka ligi mbov kazipasua MAN CITY,LIVER,VILLA,ARSENAL utaitetea vip hyo lig ya epl
Ukweli anaujua lakin hatak kukirBado anapumua huyo tandika kichwani
Ni uvivu wa tu kufyatua matofali unamsumbua huyoUkweli anaujua lakin hatak kukir
Alikuwa pancha mzeeNi uvivu wa tu kufyatua matofali unamsumbua huyo
Mbona edn Hazard aliondoka epl akiwa wa moto ila akaishia mbao ndefu Spain mpaka kustaafu? Vipi Gareth Bale?
Hana lolote huyo ushabiki umemjaa tu
Kipimo kizuri zaidi ni mafanikio ya hizo ligi kwa upande wa UCL ambapo huwa wanakutana sanaHehehehehe
Alikuwa pancha mzee
Ilibidi Madrid wamsajili ronaldo kutoka man u bale kutoka spurs na luka kutoka spurs ndio watawale ulaya
Kila mwaka Madrid anahangaika kuchukua wachezaji uingereza
Hata mchezaji bora wa la liga alikuwa flop uingereza
Ila kwakuwa ni mbishi utabisha