Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,365
- 3,066
Msimu huuMsimu upi ?
Msimu huuMsimu upi ?
Wanaiita ligi ya wakulima lakini cha ajabu timu 4 za EPL zimepigwa 😂Mfano PSG kutoka ligi mbov kazipasua MAN CITY,LIVER,VILLA,ARSENAL utaitetea vip hyo lig ya epl
Akili hunaEPL ni mtu mwenye jina kuuuubwa ila hana kitu, upuuzi mtupu. Achana na Laliga, EPL inazidiwa hadi na ligi za South America huko.
bora uangalie mpira wa bundesliga unaweza kukuvutia ila sio eplEPL ni mtu mwenye jina kuuuubwa ila hana kitu, upuuzi mtupu. Achana na Laliga, EPL inazidiwa hadi na ligi za South America huko.
Huna marinda.Akili huna
Raphinha hakuwa flop acha uongo ndugu yangu.Raphinha alikuwa flop uingereza akiwa leed utd mpaka wakashuka daraja wewe unataka kusemaje
Sawa ila tatizo ni idadi ya hizo uefa, hizo timu huwa zinakuwa wapi hadi madrid anachukua uefa 15, barcelona anachukua tano na kina ac milan wanachukua sabaUingereza kuna timu sita tofauti zimebeba uefa
Spain ni timu mbili tu unaweza ukaelewa
Pamoja na bayern anachukua 6 alaf epl ni lig ya wana siasa/wapga domo hakuna mpira mzurSawa ila tatizo ni idadi ya hizo uefa, hizo timu huwa zinakuwa wapi hadi madrid anachukua uefa 15, barcelona anachukua tano na kina ac milan wanachukua saba
Yeah mkuu siku hizi hata ile rivalry iliyokuwepo kati ya Liverpool na Man U hainogi tena kama rivalry iliyopo kati ya Barcelona na Real Madrid, Man U ndio hao siku hizi kila mtu anajipigia tu na Liverpool nao hawaeleweki msimu mmoja wako vizuri msimu unaofuata wanaflop huku mashabiki wa Arsenal na Chelsea nao ni kama wamejikatia tamaa, yani toka Man City waanze kuchukua ubingwa back to back ni kama ligi ya EPL ikaanza kuwa hainogi tena, maana ni timu ambayo haikuwa na mashabiki ilipata mashabiki kutoka kwenye hizo timu kubwa zilizoanza kuflop, hivyo hao mashabiki ni kama walikuwa wanatafuta furaha waliyoikosa kwenye zile timu zao tu na si kwamba ni wapenzi wa Man CityPamoja na bayern anachukua 6 alaf epl ni lig ya wana siasa/wapga domo hakuna mpira mzur
Acha kujilisha upepo na hiyo EPL yako, kwani ndani ya miaka zaidi ya 24 iliyopita EPL yenyewe imechukua Ballon D'or imetoa wachezaji wawili tu ambao Ni Cristiano Ronaldo na Michael Owen. Huku ndani ya miaka hiyo Spain Laliga imechukua mara 14 na bado unasema si ligi bora?Timu kupiga pasi tatu ni mfumo tu hii inaonesha hao wapigaji wa pasi wana ufanisi wa kutosha
Timu ikishikwa hadi Messi alikuwa anazurura uwanjani
Ni kweli maana Bundesliga ni ligi bora ya pili kwa kucheza mpira wa kuvutia duniani. Hao kenge wa EPL baada ya kuona ligi haina mvuto bali ina promosheni kubwa wakaja na kamsemo chao cha kujificha "dah mpira mna matokeo ya kikatili sana"bora uangalie mpira wa bundesliga unaweza kukuvutia ila sio epl
Chambuzi la ball,asanteSasa hizo timu za england huwa zinakwama wapi kubeba makombe ya ucl, kama tu arsenal hadi leo hawana na man city ndio kwanza wamechukua juzi juzi, bora ungesema ligi za italy na germany ila england na spain zipo kwenye level moja
Kwanza Raphina hajawai kuwa flop uingereza.Raphinha alikuwa flop uingereza akiwa leed utd mpaka wakashuka daraja wewe unataka kusemaje