Ligi ya Hispania ni mbovu kulinganisha ya Uingereza

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,553
Reaction score
41,467
Kila nikiangalia la liga nachoka sana. Yani flop za uingereza ndio zinasumbua Spain yaani Raphinha na Antony

Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu anajifikiria cha kufanya yupo kwenye box la timu pinzani.

Huo muda hupati uingereza yani weekend hii unacheza na Newcastle wiki ijayo ucheze na Nottingham bado kuna Brighton

Huyo dogo wanayemsifia angekuwa Uingereza hakabwi na mtu mmoja.

Si mmemuona Saka Akishika mpira kuanzia namba sita left wing na lb wote wanamuangalia inabidi uwe elite player ili ukompete unatakiwa uwe mchezoni kuanzia asilimia 85 kila mechi

Ndio maana msimu huu timu za Uingereza zimewafunga sana wahispania.
 
Kila nikiangalia la liga nachoka sana
Yani flop za uingereza ndio zinasumbua spain yaani raphinha na antony
Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu anajifikiria cha kufanya yupo kwenye box la timu pinzani
Huo muda hupati uingereza yani weekend hii unacheza na Newcastle wiki ijayo ucheze na Nottingham bado kuna brighton
Huyo dogo wanayemsifia angekuwa uingereza hakabwi na mtu mmoja
Si mmemuona saka
Akishika mpira kuanzia namba sita left wing na lb wote wanamuangalia inabidi uwe elite player ili ukompete unatakiwa uwe mchezoni kuanzia asilimia 85 kila mechi
Ndio maana msimu huu timu za uingereza zimewafunga sana wahispain
Ya kwetu je?
 
Makombe ya ulaya yanasemaje kwani?
 
Ligi ya Uingereza ni ligi maarufu tu wala haina ubora wala havutii kuitazama, sema ni hivyo tu ilifanikiwa kujitangaza mapema.

Mfano unajisifia ligi bora huku pasi tatu mpira upo Langoni kwa mpinzani huo ubora upo wapi? Mpira hauna flow hata chembe kazi kukimbizana tu na hakuna cha ufundi wala nini.

Ukisikia anasifika mchezaji wa EPL ujue huyo ni beki. Striker kama Halland anasifika lakini siku timu ikishikwa anakuwa hana msaada wowote zaidi ya kuzurura.
 
Sasa waambie wanaotulaumu United kumuondoa Antony.... Eti United is cursed.... Antony hawezi ng'aa epl... The same to Sancho.... EPL IS FOR MEN Tena Toka enzi na Enzi ndomana hata WA Brazil hawapendi kuleta pua zao England
 
Sasa hizo timu za england huwa zinakwama wapi kubeba makombe ya ucl, kama tu arsenal hadi leo hawana na man city ndio kwanza wamechukua juzi juzi, bora ungesema ligi za italy na germany ila england na spain zipo kwenye level moja
Uingereza kuna timu sita tofauti zimebeba uefa
Spain ni timu mbili tu unaweza ukaelewa
 
Ligi ya Uingereza ni ligi maarufu tu wala haina ubora wala havutii kuitazama, sema ni hivyo tu ilifanikiwa kujitangaza mapema.

Mfano unajisifia ligi bora huku pasi tatu mpira upo Langoni kwa mpinzani huo ubora upo wapi? Mpira hauna flow hata chembe kazi kukimbizana tu na hakuna cha ufundi wala nini.

Ukisikia anasifika mchezaji wa EPL ujue huyo ni beki. Striker kama Halland anasifika lakini siku timu ikishikwa anakuwa hana msaada wowote zaidi ya kuzurura.
Timu kupiga pasi tatu ni mfumo tu hii inaonesha hao wapigaji wa pasi wana ufanisi wa kutosha
Timu ikishikwa hadi Messi alikuwa anazurura uwanjani
 
Hata kukaa na mpira sekunde 8 ni kipaji
 
Back
Top Bottom