Lift imeniponza

Lift imeniponza

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,974
Reaction score
13,432
Habari za mchana wakuu,natumai wote hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu za kila leo.
Jana kuna my friend wangu aliniazima gari lake ili nisafishe jina kitaani,basi kumbe kuna rafiki yangu mwengine ambaye my girlfriend wake hakulala nyumbani kwake.
Basi leo asubuhi nikiwa na lile gari yule shemeji yangu akaniona na kuniomba nimpe lift ya kumpeleka kwake,sikumkatalia nikamchukua mpaka nyumbani kwake,tunafika nyumbani kwake rafiki yangu kanuna kwasababu demu wake huyo hakulala nyumbani,basi mie nikasalimia na kuendelea na zangu.
Baada kama ya nusu saa huyu rafiki yangu ananipigia simu na kuniambia kuwa mie natembea na demu wake na jana kalala kwangu ndio maana nimemrudisha pale asubuhi.
Ila ukweli ni kwamba mie sikulala na wala sijawahi kutembea na huyu shemeji yangu,ila wasionitakia mema wamenizushia hayo ili nigombane na rafiki yangu,je mwenzangu hakuna mkasa uliokupata leo hii? Nalog off
 
Sasa wewe WASHAWASHA vp, umeshalog off hapa tuweke maoni ya nn ambayo hutayaona????????????????
 
Huyo mwanamke muwekeni kati mkiwa pamoja asije wakosanisha
 
Habari za mchana wakuu,natumai wote hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu za kila leo.
Jana kuna my friend wangu aliniazima gari lake ili nisafishe jina kitaani,basi kumbe kuna rafiki yangu mwengine ambaye my girlfriend wake hakulala nyumbani kwake.
Basi leo asubuhi nikiwa na lile gari yule shemeji yangu akaniona na kuniomba nimpe lift ya kumpeleka kwake,sikumkatalia nikamchukua mpaka nyumbani kwake,tunafika nyumbani kwake rafiki yangu kanuna kwasababu demu wake huyo hakulala nyumbani,basi mie nikasalimia na kuendelea na zangu.
Baada kama ya nusu saa huyu rafiki yangu ananipigia simu na kuniambia kuwa mie natembea na demu wake na jana kalala kwangu ndio maana nimemrudisha pale asubuhi.
Ila ukweli ni kwamba mie sikulala na wala sijawahi kutembea na huyu shemeji yangu,ila wasionitakia mema wamenizushia hayo ili nigombane na rafiki yangu,je mwenzangu hakuna mkasa uliokupata leo hii? Nalog off
hii habari ingefaa itokee kwenye gazeti letu la udaku..!!!lol..
 
mwite mweleze ukweli ulikuwje na akikataa mkule ukwelikweli wife wake

Kwa hiyo unamhamasisha azini lol, "umuonapo mtu anapotea usimuonye hakika yake mtu yule atapotea lakini damu yake nitaitaka mikononi mwake".
 
ha ha ha ha....

umesahau
1. Kitaa
2. Kusafisha jina

hapa kuna habari 2. kuomba gari ya rafiki na kumpa lift girlfriend wa another rafiki...au mim sijaelewa 😛hoto:

Tunga sentensi kwa kutumia maneno haya
1. Rafiki
2. Gari
3. Mwanamke
4. Nizushia
5. Lift
 
Back
Top Bottom