Lift imeniponza

Lift imeniponza

Pole sana mkuu. Kama vipi nenda nyumbani kwa rafiki yako mkayamalize.
 
we mweleze mshikaji ukweli kama hakuelewi we log off tu
 
Tunga sentensi kwa kutumia maneno haya
1. Rafiki
2. Gari
3. Mwanamke
4. Nizushia
5. Lift
We si unaogopa bandwith yako kuisha? Nikitungia sentensi maneno hayo si itaisha kabisa! Nalog off
 
Usimwamwini sana mzee wa kulog off kwa sababu anaweza kuwa alishawahi kulamba hiyo kitu halafu anajitetea kinoma.
Tata Zambe yoka Losambo eeh! Losambo x2. Hapana mkuu bado sijambandua huyu my shemeji yangu. Nalog off
 
Back
Top Bottom