Life begins at 40 Vs Midlife crisis

kwaiyo tuendelee kufyatua tu watoto hata uzeeni haina shida?
Naam. kama mbegu ipo na shamba la kupanda lina rutuba, watoto ni mtaji mwengine tulojaaliwa sisi masikini.

Kama unaweza, tafuta historia ya wacheza tennis MAARUFU Serena na Zuhura. Inakupatia ndoto ya mzazi wa kiume ya kupata watoto watakaokuwa mahiri na maarufu michezoni.
 
Kuna inspirational speaker alinukuliwa akisema "wale wanaopata mafanikio mapema, wana hatari ya kufa mapema kutokana na kumaliza kutimiza malengo ya kuzaliwa kwao duniani"

Sijuwi kuna ukweli hapo au hii message ilikuwa too objective?
 
Usipojisaidia hata huyo Mungu unayemwamini atakuacha ufe njaa au uwe na uzee wa taabu na dhiki kuu.
Ili uwe ushuhuda kwa wakubwa na wadogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Kuna inspirational speaker alinukuliwa akisema "wale wanaopata mafanikio mapema, wana hatari ya kufa mapema kutokana na kumaliza kutimiza malengo ya kuzaliwa kwao duniani"

Sijuwi kuna ukweli hapo au hii message ilikuwa too objective?
Aisee kitu ulichosema ni cha ajabu sana sijui hata nikujibuje, okay fanya hv subiri mafanikio yaje uzeeni uishi milele.
 
Uko sahihi mkuu ila kuna dada namjua yuko early 40's ana nyumba 11 Dar na nyumba yake ya kwanza alijenga alivyomaliza form six tu.Huyo kaanza hustle toka yuko primary.
So wapo waliofanikiwa mapema ila ni wachache
 
Nimependa ulichosema.
Mi nimejipangia nikifika 45 napress hustle button off party button On.Ni party life till the wheels fall off.
 
umeongea point kubwa sana
 
Kiukweli ukishafikisha miaka 40+ unaanza kuwa matured. Akili inaanza kuwaza katika mambo makubwa. Kama hujajenga utaanza kujitafuta ili ujenge na kama hujawekeza utatafuta uwekezaji ili uwekeze. Halafu ukiwa 40 na zaidi ndio kipindi ambacho hata ufunuo wa kumjua Mungu zaidi unaupata. Pole pole unaanza kuachana na mambo ya kujirusha na matumizi yasiyo ya lazima. Binafsi, nimefanya maendeleo ya kipato na kifamilia katika kipindi hiki. Ni kipindi ambacho nimejenga nyumba 3 na naendelea na ujenzi wa nyumba 1 (ghorofa). Halafu nimefanya uwekezaji wa mashamba makubwa. Nafanya kilimo cha mpunga, maparachichi na viazi mviringo, vilevile nafuga Ng'ombe, Mbuzi na Kuku kwa wingi. Zaidi, nimejikita kwenye shughuli za kiroho kwa kumtumikia Mungu na kuwasaidia wahitaji (Wagonjwa, Wajane, Wagane na Wasiojiweza). Ninatamani na nimeweka Agano na Mungu la kuwa na Informal Institution ya kusaidia wahitaji. Naomba kuwasilisha WanaJF.
 
Hongera sana mkuu upo vizuri kimafanikio na inapendeza zaidi unamtumikia Mungu wako.
 
Amina. Najisikia raha sana ninapomsaidia mtu mwenye uhitaji.
Ni jambo zuri sana binafsi napenda sana kufanya hivyo kadri ya nilivyojaaliwa hasa kwa walemavu. Nadhani katika kitu nafanya kwa upendo mkubwa kabisa ni hiki
 
Ni jambo zuri sana binafsi napenda sana kufanya hivyo kadri ya nilivyojaaliwa hasa kwa walemavu. Nadhani katika kitu nafanya kwa upendo mkubwa kabisa ni hiki
naomba unisaidie milioni 2 nikasome kama utakuwa na uwezo tafadhal uncle...
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…