Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!
Acha kumchafulia jina Dada Upendo...sio poa.
 
Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!
Kumchafua Mwanamke mstaarabu anayejiheshimu na kuheshimiwa kwa tuhuma hizo, it's not fair, utajichumia dhambi bure kwa kudhania, unless wewe ndio ulikuwa ukimshikia mguu...!.
Please!.
P
 
Dah.... hatari sana! Kama ni kweli nitaamini roho sio sura, huyu hafanani kabisa na hilo alilofanya
Huko anakoenda kutakua kubaya zaidi kwake
Don't believe everything people says kuhusu hawa beautiful girls wenye beauty with porpoises. Wengine ni wivu tuu, walitamani wawe wao, au walimtaka akakataa sasa wananchafua!.
Watu wengine ni wasafi sio machoni tuu, bali mpaka moyoni, hata uwachafue vipi, hawachafuliki, hata uwapake matope, utawapaka usoni tuu, moyoni huwezi kupafikia na ndipo usafi halisi ulipolalia!.

Nimekusoma kaka P🙏
 
View attachment 306576
Wanabodi,

Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.

Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).

Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.

Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.

Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili

Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus -

[QUOTERegia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.

Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.

Asanete sana.
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hili
Nimempata Upendo Peneza

ambapo hata hivyo hakusema anamtafutia nini!.[QUOTE Regia Mtema]Wiki chache zilizopita nilijithilokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.

Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.[/QUOTE]

Baada ya kumpata, baada ya muda wa kutosha kutimiza alichomtafutia, ndipo Regia akaenda ile safari...!.

Jee inawezekana ujio wa Upendo Furaha Peneza bungeni has something to do with kule kutafutwa na Regia?!.

Angalizo:Msije kutafsiri kuwa kuwa namuuliza Marehemu au namchunguza Maehemu, wala hili sio swali kuwa Jee Regia alikuwa anamtafutia nini Upendo Peneza, wala Upendo ambaye ni member humu, hatakiwi kuja kujibu Regia alimtafutia nini bali hili ni bandiko la mambo ya "life after life!" ambayo huwa hayazungumzwi bali yanashuhudiwa tuu kwenye performance!.

Paskali

Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu

Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte

Upendo Furaha Peneza (gold in the rough), Vijana CHADEMA

Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA -

Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA

Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia

Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya

Na kuhusu life after life
life after death

Dou you believe life after death ?

Do you believe in life after death?

Nini hutokea baada ya kufa?

Topic: Kifo ni nini na usababishwa na nini?

Topic: Kifo: Ni stahili yetu au adhabu?

Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa
View attachment 1624526
[/QUOTE]
Ni kijana binti mdogo mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja za kitaifa na kimataifa,huwezi kumsikiliza usimpongeze vinginevyo uwe na wivu uliopitiliza mno.
Nawasilisha kama kuna mwenye kumfahamu zaidi amwagike.
Mkuu sweya lugendo, naunga mkono hoja, CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?, nimependekeza asimamishwe EALA!.
P
 
View attachment 306576
Wanabodi,

Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.

Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).

Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.

Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.

Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili

Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus -

[QUOTERegia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.

Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.

Asanete sana.
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hili
Nimempata Upendo Peneza

ambapo hata hivyo hakusema anamtafutia nini!.[QUOTE Regia Mtema]Wiki chache zilizopita nilijithilokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.

Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.[/QUOTE]

Baada ya kumpata, baada ya muda wa kutosha kutimiza alichomtafutia, ndipo Regia akaenda ile safari...!.

Jee inawezekana ujio wa Upendo Furaha Peneza bungeni has something to do with kule kutafutwa na Regia?!.

Angalizo:Msije kutafsiri kuwa kuwa namuuliza Marehemu au namchunguza Maehemu, wala hili sio swali kuwa Jee Regia alikuwa anamtafutia nini Upendo Peneza, wala Upendo ambaye ni member humu, hatakiwi kuja kujibu Regia alimtafutia nini bali hili ni bandiko la mambo ya "life after life!" ambayo huwa hayazungumzwi bali yanashuhudiwa tuu kwenye performance!.

Paskali

Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu

  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Na kuhusu life after life
life after death

Dou you believe life after death ?

Do you believe in life after death?

Nini hutokea baada ya kufa?

Topic: Kifo ni nini na usababishwa na nini?

Topic: Kifo: Ni stahili yetu au adhabu?

Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa
View attachment 1624526
[/QUOTE]
Asante sana, i am very humbled. Majibu yako ni mazuri sana na yananipa maswali mengi.

Naomba nikuulize kitu kuhusu mwanasiasa anaitwa UPENDO PENEZA. Naamini unamfahamu.

Kwa utambuzi wako, unadhani kwamba mwili wa UPENDO PENEZA unatumiwa na marehemu REGIA MTEMA?

Nauliza swali hili kutokana na uzi wako uliouandika kuhusu hawa watu wawili na nimekuwa nikijiuliza sana kama hichi ndicho ulichomaanisha.

Samahani kama swali langu litakuwa limevuka privacy ya hawa watu wawili. Lengo langu ni kutaka kujua tu kuhusu UWEZEKANO wa hili jambo.

Na kwa jinsi inavyoonekana, kwa mtiririko wa mahusiano ya hawa watu wawili katika kipindi cha mwisho cha uhai wa REGIA MTEMA, nashawishika kuamini kwamba wakati mwingine kunakuwa na MKATABA FULANI WA KIROHO wa mtu kuamua mwenyewe kwa ridhaa yake kumpa mwili wake mtu mwingine? Hii inawezekana?

Kama hivyo ndivyo, ni yapi hasa yanaweza kuwa malipo na masharti ya aina hii ya MKATABA? Ni mkataba halali?
Duh...!. Kiukweli hapa nilijiandikia tuu na hata baada ya kukutana na Upendo Peneza, kiukweli nilichanganyikiwa kwa mengine ya kibinaadamu nikasahau kuliulizia swali hili!.

Kwa vile soon mgogoro wa wabunge 19 wa Chadema utamalizika na Upendo ni mmoja wa wabunge wa viti maalum wa Chadema atakayeteuliwa, naomba swali hili liahirishe kwanza kwa sasa, nitamtafuta Upendo Peneza akiwa Bungeni na kumuuliza alitafutiwa nini na Regia, kisha nitakurudia.

Naomba maswali yatoshe maana maswali mengine ni magumu sana, too personal, too private, na too sensitive yanaweza ku infringes people's right to privacy na kuibua deep emotional feelings ambazo might hurt!.

P
 
Mkuu Pasco, huyu binti huwa unamzimia toka kitambo.
Pasco kama Pasco katika ubora wako. Hakika ulitufanya wengi Tujunga na kufuatilia mijadala ya JF. Hakika wewe ndio RONALDO au GOAT wa JF alafu mchawi mstaafu bro wetu Mshana Jr ndio Lionel Messi wa JF huku GENTAMYCINE yeye ni Sawadogo wa JF na Mpwayungu Village yeye ni hafidh konkon kabisa wa JF😀😃😄😁

Big upo sana kwako bro. Umetuvutia na kutufanya wengi Tujiunge na JF kipindi hiko cha 2010's.
 
Huyu nlikuwa namjuwa vizuri kabla na hata ya kuwa mb....alikuwa anaishi msasani
Wako twins
Nlikuwa namtaniaga sana kuwa asipende kuliendesha vx lake amazon lile bora awe anamtumia dereva
Pascal Mayalla

Ova
 
Mimi nimemfahamu akiwa primary mimi niko chuo TSJ, Ilala Shariff Shamba. Nyumba ya Priva Mtema ni jirani na TSJ.
P
 
Pasco kama Pasco katika ubora wako. Hakika ulitufanya wengi Tujunga na kufuatilia mijadala ya JF. Hakika wewe ndio RONALDO au GOAT wa JF alafu mchawi mstaafu bro wetu Mshana Jr ndio Lionel Messi wa JF huku GENTAMYCINE yeye ni Sawadogo wa JF na Mpwayungu Village yeye ni hafidh konkon kabisa wa JF😀😃😄😁

Big upo sana kwako bro. Umetuvutia na kutufanya wengi Tujiunge na JF kipindi hiko cha 2010's.
Kuna Watu si tu ni Wapumbavu sana bali pia ni Washamba mno yaani unaanzisha Uzi wa Kujisifia hivi kwa ID yako nyingine halafu mbeleni unakuja kuji Like katika Posta za Wengine kwa kutumia ID yako Zoeleka na Kongwe hapa JamiiForums ukidhani wenye Akili Kubwa na zilizotukuka hatutokujua. Njaa haina Adabu hata ukiwa umesimama Ikulu unauliza Swali.
 
View attachment 306576
Wanabodi,

Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.

Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).

Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.

Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.

Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus

[QUOTE Regia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.

Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.

Asanete sana.
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hili
Nimempata Upendo Peneza

ambapo hata hivyo hakusema anamtafutia nini!.[QUOTE Regia Mtema]Wiki chache zilizopita nilijithilokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.

Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.[/QUOTE]

Baada ya kumpata, baada ya muda wa kutosha kutimiza alichomtafutia, ndipo Regia akaenda ile safari...!.

Jee inawezekana ujio wa Upendo Furaha Peneza bungeni has something to do with kule kutafutwa na Regia?!.

Angalizo:Msije kutafsiri kuwa kuwa namuuliza Marehemu au namchunguza Maehemu, wala hili sio swali kuwa Jee Regia alikuwa anamtafutia nini Upendo Peneza, wala Upendo ambaye ni member humu, hatakiwi kuja kujibu Regia alimtafutia nini bali hili ni bandiko la mambo ya "life after life!" ambayo huwa hayazungumzwi bali yanashuhudiwa tuu kwenye performance!.

Paskali

Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu

  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Na kuhusu life after life
life after death

Dou you believe life after death ?

Do you believe in life after death?

Nini hutokea baada ya kufa?

Topic: Kifo ni nini na usababishwa na nini?

Topic: Kifo: Ni stahili yetu au adhabu?

Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa
View attachment 1624526
[/QUOTE]
Chadema yapata Pigo la Mwaka!, yapoteza niki kitu!.
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .
View: https://youtu.be/aHJGqYKrX5U?si=uX9m2pe3OIrHIHTX,
Nimemsikiliza, nimeguswa!.

Kiukweli I was very right about this beautiful queen, young and very energetic lovely lady ambaye ni beauty with brain!.

Nilimfahamia Upendo Peneza kupitia kwa Regia Mtema (RIP) Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Angalieni niliwahi kusema nini kumhusu Upendo Furaha Peneza humu[/SIZE]
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Nilikuja kumtafuta na nikaja kukutana nae View attachment 2879719
Hapo tulipokutana, yeye akiwa 20 something, mimi nilikuwa 50 something, nikiwa nimeisha oa na nina watoto 10!, hivyo sikuthubutu kumweleza lolote la moyoni mwangu, ila ningekuwa kijana... nakuapia... Haki ya ...!, nisinge kubali, .... naomba nisimalizie!.

Mungu ambariki sana Upendo Furaha Peneza!, hapa CCM imelamba dume!, naomba mimi ndio niwe mwana JF wa kwanza kuwatangazia Mbunge wa Geita 2025!.
P
 
Back
Top Bottom