Regia Mtema alikuwa akiishi na Halima Mdee Halima Mdee anagafahamika mambo yake na Rafiki yake Esther bulaya .
Sasa kumsaka huyo Upendo Peneza nina maswali Fulani hivi hilo.kundi looooooo limekaa kifataki
Kuna vitu ukituhumiwaKaka Jambazi, mimi sio mtu wa mapicha picha ila mara moja moja
View attachment 1089097
Kuna vitu ukituhumiwaKaka Jambazi, mimi sio mtu wa mapicha picha ila mara moja moja
View attachment 1089097
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hiliView attachment 306576
Wanabodi,
Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.
Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).
Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.
Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.
Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili
Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus -
[QUOTERegia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.
Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.
Asanete sana.
Vipi bado tuu?.Paschal, bado kidogo.
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Maendeleo hayana Vyama vingi.Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.
Pp
Vipi bado tuu?.
P
Huyu Dada umeamua kumpigania arudi bungeni.Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.
Pp
Mimi Pia niliumia sana sana... Nakumbuka ilikuwa Jan. Jumamosi Tar. 14 DaaaaaahhhHakuna kifo cha kiongozi maarufu kitaifa kilichoniuma zaidi kama hiki. Regia nlikua namuona kama mtu wa kipekee katika siasa.
Huyu hawezi kurudi Bunge hata ukaloge! Geita hatumtaki, usiniulize kwanini!Huyu Dada umeamua kumpigania arudi bungeni.
Mimi nataka kujua... saitakuajeHuyu hawezi kurudi Bunge hata ukaloge! Geita hatumtaki, usiniulize kwanini!
Mimi nataka kujua... saitakuaje
mbunye?Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!
Soda, Fanta orangembunye?
ndio nini?!!
Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!