Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Pasco kila comment unai-like inamaana unavutiwa na comments zote au unachangamsha baraza?
Mkuu Mzito K, Mzito Kabwela hizo likes zangu, ni likes za shukani zangu kwa wote wanaochangia thead zangu!. Nikianzisha thread yoyote, kila anayechangia thread hiyo, anakula like yangu hata kama ameandika utumbo, hata akinitukana, bado atakula like yangu kwa kile tuu kitendo cha kufungua bandiko lako na kuchangia!. Hizi ni likes za appreciation kuchangia tuu ila sio like ya kusema ndio nimependa alichochangia!, like nyingine ni like, ni nod kukujulisha nimekusoma,nimekunote, nimekusikia!.

Baadhi ya sisi wengine sii watovu wa shukrani, we are very appreciative tunazimwaga tuu likes za kutosha, bwerere!!. Tunashukuru kwa yote mazuri na mabaya tunasema asante!.

Pasco
 
Mkuu Mzito K, hizo likes zangu, ni shukani zangu kwa wote wanaochangia thead zangu!. Nikianzisha thread, kila anayechangia, hata kama ameandika utumbo, hata kama ametikana, atakula like, ya ile tuu kuchangia!, ila sio like ya kusema ndio nimependa alichochangia!, like nyingine ni like, ni nod kukujulisha nimekusoma,nimekunote, nimekusikia!.

Baadhi ya sisi wengine sii watovu wa shukrani, tunazimwaga tuu bwerere!!. Tunashukuru kwa yote mazuri na mabaya tunasema asante!.

Pasco
Nimekusoma mkuu sana Pasco
 
Wanabodi leo tena nimemuona huyu Mbunge Upendo Furaha Peneza, akiuliza swali Bungeni kwa niaba ya Mhe. Lijualikali, kiukweli huyu Mhe. Bi Dada anapendeza sana na dressing zake haswa nguo zake zinavyomkaa kwenye kale kaji English figure chake, Peneza ana Pendeza.

Pia nitawaomba wazee Wenzangu tusameheane, wengine wenu uzee unatujia vibaya, kwa kadri umri unavyosonga, brain power concentration ya kusikiliza mambo muhimu yanayozungumzwa unapungua na badala yake macho ndio yanaongeza umakini kuona the beauty, the figures, dress codes na body mophological.

P
 
Wanabodi leo tena nimemuona huyu Mbunge Upendo Furaha Peneza, akiuliza swali Bungeni kwa niaba ya Mhe. Lijualikali, kiukweli huyu Mhe. Bi Dada anapendeza sana na dressing zake haswa nguo zake zinavyomkaa kwenye kale kaji English figure chake, Peneza ana Pendeza.

Pia nitawaomba wazee Wenzangu tusameheane, wengine wenu uzee unatujia vibaya, kwa kadri umri unavyosonga, brain power concentration ya kusikiliza mambo muhimu yanayozungumzwa na badala yake macho ndio yanaongeza umakini kuona the beauty, the figures, dress codes na body mophological.

P
Mpose basi paskali
Utampatia ngombe wa ngapi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Regia Mtema na Christopher Mtikila hakika ruvu pamemaliza watu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uko wapi Ben???????
Umetuachia sintofahamu huku
Pasco,

Una kumbukumbu nzuri. Nakumbuka nilifahamiana na Upendo kupitia kwa Regia Mtema Mwaka 2010.Naamini ndani ya Bunge,atakuwa miongoni mwa wabunge bora kabisa kuzidi hata wengine waliomzidi Umri
 
Back
Top Bottom