BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,584
- 21,941
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hili
Nimempata Upendo Peneza
ambapo hata hivyo hakusema anamtafutia nini!.[QUOTE Regia Mtema]Wiki chache zilizopita nilijithilokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.
Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.
Baada ya kumpata, baada ya muda wa kutosha kutimiza alichomtafutia, ndipo Regia akaenda ile safari...!.
Jee inawezekana ujio wa Upendo Furaha Peneza bungeni has something to do with kule kutafutwa na Regia?!.
Angalizo:Msije kutafsiri kuwa kuwa namuuliza Marehemu au namchunguza Maehemu, wala hili sio swali kuwa Jee Regia alikuwa anamtafutia nini Upendo Peneza, wala Upendo ambaye ni member humu, hatakiwi kuja kujibu Regia alimtafutia nini bali hili ni bandiko la mambo ya "life after life!" ambayo huwa hayazungumzwi bali yanashuhudiwa tuu kwenye performance!.
Paskali
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
- Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
- Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
- Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
- Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
- Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
- Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
- Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
- Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
- Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
- Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
- Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
- Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
- Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
Na kuhusu life after life
life after death
Dou you believe life after death ?
Do you believe in life after death?
Nini hutokea baada ya kufa?
Topic: Kifo ni nini na usababishwa na nini?
Topic: Kifo: Ni stahili yetu au adhabu?
Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwaView attachment 1624526
[/QUOTE]
Chadema yapata Pigo la Mwaka!, yapoteza niki kitu!.
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .
View: https://youtu.be/aHJGqYKrX5U?si=uX9m2pe3OIrHIHTX,
Nimemsikiliza, nimeguswa!.
Kiukweli I was very right about this beautiful queen, young and very energetic lovely lady ambaye ni beauty with brain!.
Nilimfahamia Upendo Peneza kupitia kwa Regia Mtema (RIP) Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
Angalieni niliwahi kusema nini kumhusu Upendo Furaha Peneza humu[/SIZE]
- Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
- Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
- Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
- Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
- Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
- Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
- Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
- Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
- Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
- Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
- Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
- Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
- Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
Nilikuja kumtafuta na nikaja kukutana nae View attachment 2879719
Hapo tulipokutana, yeye akiwa 20 something, mimi nilikuwa 50 something, nikiwa nimeisha oa na nina watoto 10!, hivyo sikuthubutu kumweleza lolote la moyoni mwangu, ila ningekuwa kijana... nakuapia... Haki ya ...!, nisinge kubali, .... naomba nisimalizie!.
Mungu ambariki sana Upendo Furaha Peneza!, hapa CCM imelamba dume!, naomba mimi ndio niwe mwana JF wa kwanza kuwatangazia Mbunge wa Geita 2025!.
P
[/QUOTE]
Braza Pasco unakumbuka tuliongea sana kwenye huu uzi!!!!
I have a good theory, Regia Mtema alipotaka kufa, akamuomba Upendo peneza amuhost Roho yake.
Hakuwa tayari kuondoka duniani, she was so attached to the material world, akaona bado saa yake, akataka kutumia mwili wa mtu kujishikiza kwa makubaliano maalumu.
Ni kama yule MUHUNDA wa MWITONGO, yeye nasikia bado yupo yupo anaranda randa.
Nipe somo kidogo kuhusu MUHUNDA WA MWITONGO.