Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

2Q==

Sio huyu kweli ?.
 
Pasco banah!! Juzi alikiri kuwa Dr. Tulia alimchanganya pale Nkurumah hadi akazungusha LLB!! Sasa ukiona mtu anachanganyikiwa hadi na mtu asiye na mvuto kimahaba kama Dr. Ntulia wewe unategemea kwa Upendo atakuwaje!! Jamaa kwa pendapenda namvulia kofia! Kashawasifia wabunge vijana wote wakike!! Anakuja humu na visifa vya uongo na kweli kumbe jamaa hoi kiakili!!

Hahahahahaa just imagine mtu anazungusha kisa Dr. Ntulia kamchanganya!!
 
Last edited by a moderator:

%Kubwa ya waSUKUMA hilo ndio eneo lao
 
Last edited by a moderator:
Huwa nikiona bandiko lolote linalomhusu Upendo mwili huwa unasisimka na nakua na hisia kali sana sijui kwa nini. Lazma nilifungue haraka sana. Nataka niwaulize wana-saikolojia kwa nini kitu kama hiki kinitokee wakati hata hatujawahi kuonana, kuandikiana, au kufahamiana kwa namna yoyote ile.

Pia Pasco ameandika kitu muhimu sana ambacho kinahitaji fikra ambazo si za kawaida kukiandika. Si watu wote wenye kipawa cha kuhusisha matukio na kuja na mada kama hii.
 
Last edited by a moderator:
Pasco banah!! Juzi alikiri kuwa Dr. Tulia alimchanganya pale Nkurumah hadi akazungusha LLB!! Sasa ukiona mtu anachanganyikiwa hadi na mtu asiye na mvuto kimahaba kama Dr. Ntulia wewe unategemea kwa Upendo atakuwaje!! Jamaa kwa pendapenda namvulia kofia! Kashawasifia wabunge vijana wote wakike!! Anakuja humu na visifa vya uongo na kweli kumbe jamaa hoi kiakili!!

Hahahahahaa just imagine mtu anazungusha kisa Dr. Ntulia kamchanganya!!

Nimefurahi mkuu☺☺☺
 
Last edited by a moderator:
Pasco,

Una kumbukumbu nzuri. Nakumbuka nilifahamiana na Upendo kupitia kwa Regia Mtema Mwaka 2010.Naamini ndani ya Bunge,atakuwa miongoni mwa wabunge bora kabisa kuzidi hata wengine waliomzidi Umri

Mkuu Upendo analevel gani ya Elimu!!!,??.....
 
Frankly speaking huyu Upendo Furaha Peneza kila siku niliomba aingie bungeni. Nimefuatilia sana hoja zake ndani na nje ya CDM na nilivutiwa sana na harakati zake. In fact ni hazina ya nchi yetu na ni kati wanasiasa vijana makini SANA hapa nchini. NI IMANI YANGU ATATOA MCHANGO MKUBWA SANA KTK BUNGE LA 11.
 
Last edited by a moderator:
Pasco,

Una kumbukumbu nzuri. Nakumbuka nilifahamiana na Upendo kupitia kwa Regia Mtema Mwaka 2010.Naamini ndani ya Bunge,atakuwa miongoni mwa wabunge bora kabisa kuzidi hata wengine waliomzidi Umri

Mkuu Upendo analevel gani ya Elimu!!!,??.....
 
Last edited by a moderator:
Kamanda kibosho unajihangaisha bure watu ata hawako kwenye level ya elimu si mnajijua nyie makamanda, hapo watu wanaangalia alivoumbika basi sifa telewale. But she's cute thou
 
Back
Top Bottom