Jamaa kaaibisha na kuidhalilisha sana nafasi ya uenyekiti juzi Bugando. Hastahili kabisa.Huyu dada kwangu mimi ndiye aliyepaswa kuwa mwenyekiti wa Bavicha taifa baada ya John Heche na si huyu wa sasa hivi ambae hata anachofanya hakieleweki.
Kabisa afai afai huyu ajui kama yeye ni kiongozi Wa vijanaHuyu dada kwangu mimi ndiye aliyepaswa kuwa mwenyekiti wa Bavicha taifa baada ya John Heche na si huyu wa sasa hivi ambae hata anachofanya hakieleweki.
Thanks
Huyu dada kwangu mimi ndiye aliyepaswa kuwa mwenyekiti wa Bavicha taifa baada ya John Heche na si huyu wa sasa hivi ambae hata anachofanya hakieleweki.
Pasco banah!! Juzi alikiri kuwa Dr. Tulia alimchanganya pale Nkurumah hadi akazungusha LLB!! Sasa ukiona mtu anachanganyikiwa hadi na mtu asiye na mvuto kimahaba kama Dr. Ntulia wewe unategemea kwa Upendo atakuwaje!! Jamaa kwa pendapenda namvulia kofia! Kashawasifia wabunge vijana wote wakike!! Anakuja humu na visifa vya uongo na kweli kumbe jamaa hoi kiakili!!
Hahahahahaa just imagine mtu anazungusha kisa Dr. Ntulia kamchanganya!!
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hili![]()
View attachment 306457View attachment 306458
Wanabodi,
Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.
Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).
Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.
Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.
Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili
Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus -
[QUOTERegia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.
Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.
Asanete sana.
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..
Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.
Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.