Lifahamu Vumbi la Congo: Historia, Matumizi, Faida na Hasara zake

Umeambiwa vumbi la Congo haliongezi nguvu za kiume, bali linapiga mboo nusu kaputi ili usikojowe haraka na ndicho wanawake wengi wanachohitaji.

Ukiwa na mwanamke ambaye ni wa kwako, wa kukutosha yaani yule wa kufanana nae huhitaji hekaheka zote hizo.
Shida yote hiyo inakuja pale unapotaka kutumia wanawake tofautitofauti
 
Ukiwa na mwanamke ambaye ni wa kwako, wa kukutosha yaani yule wa kufanana nae huhitaji hekaheka zote hizo.
Shida yote hiyo inakuja pale unapotaka kutumia wanawake tofautitofauti
Sasa nyinyi mnatununia bila sababu kwani hicho kikojoleo unacho peke yako?
 
Sasa nyinyi mnatununia bila sababu kwani hicho kikojoleo unacho peke yako?

Ona sasa, mwanamke ananuna wewe mume unashindwa kumfurahisha unaishia kwenye vumbi la kongo. Mmeambiwa muishi nao kwa akili sio kwa miguvu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Na mtapata tabu sana😅😅😅😅
 
Ona sasa, mwanamke ananuna wewe mume unashindwa kumfurahisha unaishia kwenye vumbi la kongo. Mmeambiwa muishi nao kwa akili sio kwa miguvu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Na mtapata tabu sana😅😅😅😅
Wa nje wala hawanuni, nyinyi endeleeni kununa wenzenu wala.
 
Vijana fanyeni kazi kwa bidii ili mpate chakula bora kitakacho wapa nguvu za kufanya kazi yoyote ile kwa ufasaha.
Kazi sio lazima iwe ya kuajiriwa. Pata ushauri kwa wafanyabishara, wengine watakushauri vizuri.

Dunia hii huwezi kumridhisha Binadamu ambaye wakati mwingine hata Mungu wake hamridhishi.
 
Mambo mengi ya nini? Kuleni todi muinjoi Caribbean love (tamka 'lov')
20210901_211550.jpg
 
Ila bhangi aka stick zina play part vizuri kuliko hayo mavumbi. Unaenjoy show at the same time unachelewa kukojoa unavyopenda. Sema tu ina kama addiction ukiwa na show afu hujastua show inakua ya kawaida mno.
 
Back
Top Bottom