Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

JK akichinjwa ana hasara gani, kuna cha maana anachofanya hapa duniani, bora Gadaffi kuliko huyu sharouharo.
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Unasumbuliwa na Creutzfeldt–Jakob Disease au kwa kifupi CJD
 
watanzania hatuna amani kama huyo muhitim wa shule ya kata anavyosema,bali 2nau2livu na hii k2 ita2ghalimu watz wenzangu reaction ndo mpango mzima,
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Rafiki, Mohammad Boodie mpigania uhuru wa Algeria aliwahi kusema-

"right is bought for blood, luky for the nation whose sons have got blood"

tuombe ccm na serikali yake wapunguze bei ya haki sawa kwa wote.wanaweza kufanya hivyo kuacha umma wenyewe utengeneze katiba mpya unayo itaka.
Kama cdm itakuwa front naiwe,
kama cuf ikiwa front naiwe,
kama tlp itakuwa front naiwe,
kama nccr itakuwa front naiwe.
Mohammad Boodie was right and will always be right.

Haki,haki,haki.
Gadaffi alikaza shingo, umma umeivunja.
Tuombe ccm isikaze shingo kama inavyo elekea.
Mungu ibariki Tanzania, Ipe hekima yako ccm na serikali yake,
 
Kuna watu humu JF ni mambumbu lakini wanaanzisha tu topic bila ya kuwa na data zozote na bila kujua kinachoendelea katika ulimwengu huu.
 
Wewe lazima utetee upumbavu kwa kuwa unafaidi mfumo huu wa kifisadi na hujawahi kulala njaa, kwa mlala hoi asiyejua kesho yake amani unayoihubiri ambayo hana haina maana yeyote wakati wewe na wachumia tumbo wenzako mnatuna matumbo tu.
 
Everywhere they are called lebels! Hata hao wazungu wanaowasapoti wanawaita lebels,unajua maana ya lebels mkuu? Wale ni waasi tu utake usitake, kama cdm wanavyojaribu kuvunja aman ndani ya tz! El 4 2015

uwezi kusema kuna waasi libya wakati wao ndio wenye serikali, ukichachukua serikali watakaoingia msituni au vitani na wewe wanakuwa waasi, hata wewe unaweza kuwa muasi kwenye familia yako kwa kutokubaliana nao.

uasi sio tusi ni kivumishi cha sifa hacha urofa . hao ni serikali no matter what, walikuwa waasi wakati wa Gaddafi kwa serikali ya Gaddafi, kasome maana ya uasi
 
Yani ningekuwa nakujua ningekutafutia zawadi nzuri nikakupa. Mi sioni wanachokitaka chadema ila kuharibu amani ambayo twajivunia kwa sasa. Kama malengo yao ni maendeleo, basi wangeshirikiana na vyama vyengine ili kutimiza malengo yao.but kauli mbiu yao ni kuitoa ccm madarakani na si maendeleo wala vyenginevyo. Kwanini hawaigi vyama vyengine? Mfano siku alipoapishwa kikwete pia alikuwepo lipumba ambae alikubali kushindwa. Na alipopewa fursa ya kutalk alipeleka ilani ya cuf na kumkabidhi kikwete ili kumpa yale walokusudia kuyafanya iwapo wangekuwa madarakani.sasa japo wameikosa fursa hiyo lakini mawazo yao wamempa kwa kuwa lengo lao ni kuleta maendeleo kwa watanzania. Lakini chadema, huko kufika ktk kuapishwa rais hawakufika. Je inamaanisha nini? Asiekubali kushindwa ni mgomvi. Lakini twamuachia mungu awafanye atakavyo.
Naamini katika wapumbavu ni pamoja na wewe. Huyo EL asahau uongozi kabisaa! Labda alete al-shababu wakumlinda.
 
Hivi CHADEMA nje ya kufikisha mafisadi mahakamani na kutoa posho ambazo hata wao bado wanazitamani,na uongo wa kusomesha watoto bure kitu ambacho hawawezi ni longolongo tu, ni muujiza gani watafanya?
 
Hivi CHADEMA nje ya kufikisha mafisadi mahakamani na kutoa posho ambazo hata wao bado wanazitamani,na uongo wa kusomesha watoto bure kitu ambacho hawawezi ni longolongo tu, ni muujiza gani watafanya?

Hata gadaffi alikuwa na mawazo kama yako dhidi ya wapinzani,akawaita mende, mende ndio NTC sasa!
Subiri muujiza wa mende kaka, utauona tu.
Be patient, u will c.
 
Hivi CHADEMA nje ya kufikisha mafisadi mahakamani na kutoa posho ambazo hata wao bado wanazitamani,na uongo wa kusomesha watoto bure kitu ambacho hawawezi ni longolongo tu, ni muujiza gani watafanya?
Ngoja KATIBA MPYA YA WANANCHI ipatikane. Maswali yako yatakuwa mepesi sana kama ubua
 
Muhurumiane tu muanzisha mada sababu
1. katumwa
2.wallichomtuma kusema hajakielewa na
3. anafikiri kwa miguu na wala sio kwa kichwa.

Baki na li-ccm lako, liko ICU, na madaktari wameshakata tamaa. Halitibiki na dawa zilizojaribu kulipa nafuu zimekwisha!
We are waiting for "RIP CCM"
 
Ntc imeanzishwa kwa interest za western kwa hiyo inakidhi interest zao tu,chadema iko kwa ajili ya wote sio mafisadi sawa?

Amani haiji ukiwa na njaa bali utulivu, tukuze uchumi amani itakuwepo, utaifanyia nini Tanzania kama una fikra za ccm, amka kijana TUMECHOKA MANENO TU, VITENDO LAZIMA.
 
Lengo la cDM siyo kumwondoa Kikwete madarakani bali kuondoa Ccm madarakani 2015 hivyo kwa sasa wanatimiza wajibu wao kwa wananchi(kutetea matatizo ya wananchi na kuiumbua serikali inaposhindwa wajibu),hivyo Cdm sio kama NTC,MAGEUZI LAZIMA.
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Matibabu ni ya msingi kwako,nyota yako inaonyesha utakuwa kichaa muda si mrefu, unahitaji pete ya kuondoa laana hii, nitafute kwa kuni-PM ili kukusaidia kuondoa ukichaa huo ulionao...!
 
Baseless analysis without deep thinking led by ideology you will realise yourself when the country will be led by CDM. It is not possible to have peaceful country with poor people, it is temporary situation and if things remain unchanged expect chaos in near future because nobody will stay hungry while other throw food in dustbin. So what your narrow mind thinks is falseful hopes.
 
CCM inajimaliza yenyewe kwa matendo yao. CDM inachofanya ni kuwafungua watu macho kwa walio tayari kufunguka. Kama huyu mtoa hoja naona ama amegoma kufunguka kwa makusudi au ndio mwisho wa upeo wake.

Tumsamehee bure ila wapenda amani na maendeleo tusonge mbele tuwaache hao CCM waendelee kuvuana magamba yasiyovulika watakapozinduka wajikute ni chama cha upinzani. Hapo kama ni wa kujifunza watajifunza lakini niwajuavyo walivyo kichwa ngumu sijui.
 
Back
Top Bottom