Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015
Wewe isitoshe ni mchawi,unapenda vipi matatizo??? CHADEMA siyo rebels, hawapo msituni wamo mjini humu humu, hawana silaha silaha mnazo ninyi CCM na CUF wakezenu! Serikali inaitambua kambi rasmi ya upinzani hebu sema kiongozi wake ni nani? wewe unatoka wapi, ni kweli kuuawa kwa Ghadafi siyo kitu kizuri indeed, lakini ku-suppress wananchi its not good either! Si CUF waliokaribia kupigwa marufuku kwa Udini? but wamebadilika! wewe umeishiwa, huna la kuzungumza, unashinda kwa waganga wa kienyeji kutafuta uchawi sasa unategemea uwe hata na haki ya kupiga kura wewe? Be honest with your self, nakushauri ujiue kwa namna ingine yoyote before 2015, only the truth will rise! kungojea ati kupewa bakshishi hata dogo January haimpendezi, kafanya kazi ngumu kupata ubunge! NTC walikataliwa na kupingwa na rais aliyekuwa madarakani na hata kwa vita! sasa CDM nani kaikataa, mbona mnaishiwa vibaya ninyi, tunasema CCM iondoke kwa sababu imeshindwa kufanya kazi na kuondoa kero kwa wananchi, hatujasema mfe! kama unataka kufa well thats your destiny, lakini ukibahatika kuwepo, utaonafaida, hakuna kuogopana unaweza kazi unafanya kazi mnatuchelewesha mno kwenye maendeleo! Nakuomba usijibu hii ujumbe kwa sababu naamini uelewa wako ni mnute! Rebels wanakaa porini! Opposition parties wanakaa humuhumu mjini!
 
hapo kwenye Bold nimecheka mpaka basi yaani, ni sawa na Ghadaf wakati anapigwa yeye alikuwa anaendelea kujipa moyo, na kwa maneno yako hapo juu imeonyesha ni jinsi gani ulivyo mchovu wa fikra....

I hope alikuwa na maan ya to go to hell! Hawa jamaa wamerogwa sijui nini? huwezi amini kwa akili ya kawaida kila kitu hakiendi yeye anasema go! Go to where?
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Kauli mbiu ya Ccm ni chukua chako mapema na mafisadi kwao sawa.HUU NI UGONJWA WAKO.Huku Chadema tunaamini nguvu ya Umma na pia tunaamini Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.Peoples Power.
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Hivi wakati Gaddafi anashirkiana na Idd Amini kuuwa ndugu zetu Kagera wewe ulikuwa hujazaliwa nini??? Wengene tulikuwa Katoke, Muleba that time wakati Amin anapiga mabomu pale.

Halafu wewe unatuletea upuuzi wako hapa kwa vile tu jamaa alijenga misikiti Bongo. Have you ever wondered why he never visited TZ in his 42 years in power if he was really our true friend but he visited Malawi and Zimbabwe?

Eti unampenda kuliko wa Libya wenyewe...!
 
nadhani una upungufu wa akili kichwani...huyo mmeru wenu alirithiwa na mmasai hawezi kua rais tanzania ya sayari ya dunia...labda aende mars..,hata akilala uchi kanisani
 
Chadema ni waasi kabisa...naomba itangazwe rasmi kua chadema ni janga la kitaifa kama malaria na ukimwi..mtuliepuke jamani..mwatanzania hamjazoea vita acheni kuwaendekeza wajinga wachache wenye uchu wa madaraka kwa propaganda za kutetea haki za watanzania na wengine vibaraka kama CUF na MTIKILA...fungueni macho yenu watanzania

Kila kitu kibaya iwe ni mfumo, chama au mtu binafsi kuna wanaonufaika nacho na kuna wanaoteseka. Kwa mtoto wa Gaddaff sitegemei kama aliona baya lolote la babaye au wale wasaidizi wake wa karibu. Sasa unaposema Chadema ni hatari ni kwa nani?

Kwa ufupi Chadema ni hatari kwa mfumo kandamizi (CCM), kwa mafisadi kwa kutowajibika kwa wanaojifanya miungu mtu kumbe nao ni binadamu tu. Lakini kwa wapenda maendeleo na haki basi Chadema ni Chaguo lao. Mimi nafikiri kama nchi Gaddaf wetu ni CCM kwani ndiyo imekuwa ikandaa watoto wake (marais ambao wote mpaka sasa) kwa ajili ya kutetea mabaya ya baba yao CCMKweli kama wewe ni mtoto wa sisiem unayo kila sababu ya kuogopa Chama kingine hata kama sio Chadema.

Kumbuka walioitwa mende, panya na bwana Gaddaf leo wako Ikulu. Tulia ndugu yangu kubali mabadiliko. Tena ya CCM ni mbaya zaidi kwani Gaddafi aliwalete maendeleo watu wake akawanyima uhuru na demokrasia sisem hakuna maendele hakuna demokrasia ya kweli.
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Nakuangalia kwa jicho la ubembuzi na kukuona kama kilaza wa hali ya juu au mwizi ndani ya CCM ila ujue nchi ikikombolewa nyie mtachinjwa hadharani.
 
CDM Sio ya kuikimbia na kuiogopa kama unavyowaongopea watu bali unatakiwa kuukimbia ujinga na uoga wako ili uweze kuwa huru.
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Kauli mbio ya CCM ni "Tutashinda uchaguzi kwa gharama yoyote ile". Green Guard Wamemwua kinyama Masudi Mbwana na pamoja na wanawake wawili huko Igunga.

DSC0001.JPG

Hayo maafa wanaoleta CDM yako wapi? Embu tuonyeshe basi.
 
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia Gadaf.

CHADEMA wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja JK wetu na magwanda yao kama chinjachinja!!

Sipendi CHADEMA wanachofanya, sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya CCM na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya CHADEMA kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia!

Go CCM, go JK, go Nape! I believe the new CCM is coming soon, CCM itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi!

Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa CHADEMA, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan rebels=CHADEMA!! El 4 2015

Ndugu yangu sahau hakuna maisha yenye neema chini ya CCM. Kama umeamua kuwa masikini chini ya CCM wewe lwako. Sisi wengine tunasema ni bora kufa tukiwa tumesimama kuliko kuishi tukiwa tumepiga magoti. Uko sahihi hakuna ukombozi wa kweli bila damu kumwagika, ni lazima baadhi yetu tujitoe kafara kwa ajili ya Tanzania yenye neema baadaye. wale waoga wote kaeni kando.

Go Chadema!! Go Mbowe. Sisi vijana tuko tayari kwa mapambano, semeni neno moja tu.
 
..acha utoto, Gaddafi hakuwa mzalendo!! wewe unafikiri aliua wangapi ili kukaa madarakani? Na watanzania acheni ushabiki wa kihohehahe, watu tunataka kama kiongozi hutakiwi na wananchi uondoke madarakani, siyo mtindo wa kuiba kura kama CCM ya Nape huku unasema wananchi wanakupenda kumbe wanaogopa kuuawa kama wanachadema walivyouawa Igunga.

Waasi+NATO ndio hawakumtaka Ghadafi na si wananchi.
RIP The African Hero.
 
Back
Top Bottom