Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
Mkuu una chuki na udini. Hapo ni sawa angesema Mungu amtangulie. Usichokijua Allah ni jina la Mungu kwa lugha ya kiarabu. Jaribu kutembea duniani walau hapo Comoro tu, utashangaa kanisani Mungu anaitwa Allah.Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Acha chuki na udini.