Astaghafirullah ...!!!Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app