Libya: Mtoto wa Gaddafi kugombea urais mwakani

Libya: Mtoto wa Gaddafi kugombea urais mwakani

Acha ujinga kama unawaza kwa kutumia makalio , allah == god == mungu, ni ni matamshi tu ya kumuita mungu kwa lugha tofauti acha ujinga ww, kwan vitendo viovu vinavyofanyika mungu huwa hayupo , au nyie upande wenu mnavyohalalisha hizo ndoa za jinsia moja mungu hayupo, acha ujinga mkuu, usikurupuke tuu,
tapatalk_1513619073186.jpeg

Karibu mjadalani yakhee...!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Inna lilah waina ilaih rajiun,,,, msiba mkubwa hyo MGALATIA WEWE,,,
Hahaha....mimi huwa nakiri kuwa Mgalatia.

Hao ni Mashoga wa kiarabu.

Unamjua Imam shoga aitwaye Daaliye Abdullah mwenye waumin wengi sana kwasasa?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Quran 4:157

Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini

Nasubiria picha sababu id ndio hii tushaijua
sijaona simione mkerene hapo..
 
Kwani ni Lini KANISA LILIPINGA USHOGA?
Kanisa lisipopinga ushoga Ukristo unapinga.

Unawajua hao mashoga wa kiarabu na Imam maarufu Daaliye Abdullah?

Je yule Imam wa Canada aliyejitangaza pia kuwa ni Shoga.

Unawajua au mpaka nikuwekee picha zao wakizungukwa na waumin kedekede?
 
Hayo mashoga ni WAGALATIA mliowapandikiza kwenye uislam,, IMAM ni kiongozi,, na ukishakuwa SHOGA hufai hata KUSWALIWA MAITI YAKO,, hatuna viongozi wa aina hyo Muslim,,,, Ni WAGALATIA baada ya kuona Kuna mapadri mashoga mkatafuta namna ya kutafuta mashoga mkayapandikiza ktk uislma,,,, na hakuna UKRISTO unaopinga USHOGA wakati upo MAKANISANI...
 
Gaddafi alikuwa dictator na aliua watu wengi waliokuwa wanapinga utawala wake!
Na ndio maana alikufa kifo kibaya sana!
 
Hayo mashoga ni WAGALATIA mliowapandikiza kwenye uislam,, IMAM ni kiongozi,, na ukishakuwa SHOGA hufai hata KUSWALIWA MAITI YAKO,, hatuna viongozi wa aina hyo Muslim,,,, Ni WAGALATIA baada ya kuona Kuna mapadri mashoga mkatafuta namna ya kutafuta mashoga mkayapandikiza ktk uislma,,,, na hakuna UKRISTO unaopinga USHOGA wakati upo MAKANISANI...
Hahaha...Waarabu walianza kuwafanyia ufiraji wake zao na kulinda bikra za tupu ya mbele...

Wakaona haitoshi, sasa wamehamia kwa wanaume wenzao.

Ile style ya wanaume kubinuliana makalio ndio iliyowafanya wanaume marijali kuwasimamishia wanaume wenzao sheikh...[emoji23]
 
Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Congo,Msumbiji,Nigeria,Angola,Central Afrika nk haya nayo yanatofauti gani?Fanya utafiti kabla ya kuhoroja
 
Wao wenyewe wa Libya wanataka sana huyu jamaa awe Rais...sasa nyie mnaosema walifanya makosa kumuachia sijui akili za wapi...nchi ile imepasuka pasuka kila mtu ni mjeshi na ana serikali yake ...imekwama imegota kabisa wanataka mtu aje aifufue manyangau wale walioua Gadaf wanapata shida sana kuithibiti mana hakuna serikali wakimbizi wanazama kila leo sasa hata wao watamsaidia kuijenga kwa mana ya kumpa tu suport ya kelele za media basi aiunde upya...ameshaumia sana na familia yao pia imeumia ila wataijenga kwa manufaa ya wote kuliko kutaka kulipiza kisasi...Navyoelewa Saif hatalipiza nia yake ni kwamba watu watajua zama zile salama za gadaf zimerudi arekebishe mapungufu ya mzee basi maisha yaende
 
kweli [emoji117] Kweli

Kwa hio [emoji117] Kwahiyo?

Uwe unaandika kwanza vizuri vinavyoeleweka.
upo sahihi kabisa.

nilitakiwa kuandika kwa hiyo na sio kwa hio.. hapo nakubali kosa,

ila mangi ushapiga mbege asubuhi yote hii?
 
Back
Top Bottom