Dubai Market
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,133
- 1,532
Kabla sijasoma threads yako nimependa salamu yako mkuu!
Acha udini na kukashifu imani za watu wengine...Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Hiyo kitu kwetu ss haijahalalishwa kabisa hiyo ni upuuzi wao tu ,kidini ni makosa makubwa, sasa upande wenu hiyo kitu imehalishwa aisee, soon na hao wanaofanya huo upuuzi watabadili dini kujiunga na nyie ili wapate uhalali wa huo upuuuzi kwetu ss mwiko kabisa
Ninamashaka trump atatia rupia kuvuruga nia yakeSi ndiye huyo Al-Islam! Naunga mkono wazo lake na MUNGU amsimamie aje ainyooshe Libya! Vijana wajinga sana, walimwua bure Mzee Gadaffi! Sasa wanajuta.
Nadhani hujui historia ya gadafi wewe na unaonekana ni mtu wa ku worship midia na wazungu...mungu akufungue machoKwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Gadafi yule aliyemsaidia Idd Amin kuua wanajeshi wetu au?Nadhani hujui historia ya gadafi wewe na unaonekana ni mtu wa ku worship midia na wazungu...mungu akufungue macho
'it is until all wells are dry that the price of water is known'Si ndiye huyo Al-Islam! Naunga mkono wazo lake na MUNGU amsimamie aje ainyooshe Libya! Vijana wajinga sana, walimwua bure Mzee Gadaffi! Sasa wanajuta.

Kwani yesu alivyokuwa msalabani Mungu alikuwa wapi? Kwann hakumtoa pale?Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?