thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,858
Expansion joint!
Baada ya salam ya kikandarasi niende kweny hoja ilonileta....
Mtoto wa aliyekuwa rais wa Libya kwa takriban miaka 42 Bw Saif Al-I slam Gaddafi anatarajiwa kugombea urais wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika mapema mwanzoni mwa mwaka 2018.
Akitoa taarifa hizi mwanafamilia mmoja aliyefahamika kwa jina la Basem Hashimi Soul amesema kuwa Bw Saif anatarajiwa kutangaza nia rasmi ifikapo mwakan kupitia vyombo vya habari.
Hii inakuja baada ya kuyumba kwa usalama wa wana Libya ambao umepekelekea wananchi wake kumkimbuka kipenzi wao Muammar Gaddafi