Na ndo huyo huyo akamfufua siku ya tatu kwa kuyashinda mauti na kuutangazia wokovu matendo makuu ya Mungu. Sijui mudi ilikuwajeNadhani Mkuu kuna kitu unakichanganya Allah ni jina la M/Mungu usigope na huyo Allah nyie ndio mwamuita Mungu baba ambaye alimtelekeza mwanae akakongwa misumari ya kutosha msalabani unadhani alishindwa kumuokoa pia Mungu baba huyohuyo alishindwaje kumwambia pumzika mwanangu neno langu nitawaelekeza viumbe wangu kupitia bongo zao?,kuna wakina nabii yunus walimezwa na samaki chewa ilishindikana nini kuokolewa asimezwe si mtu wa karibu na muumba? Wewe mwenyewe kila siku unakesha madhabahuni kwa unyenyekevu unaomba ushinde biko mbona hushindi kwakuwa Muumba ameshasema amkataae maisha yake ni milele jahannam na hicho ndicho mlichokichagua bila kujielewa ktk imani iliyo na ukakasi poleni sana.
Quran 4:157ukiweka ushahidi hapa allah anasema alieteswa alikua simione mkerene napost pic yangu na id
Nadhani alikuwa upande wa waasi.Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
unajichungulia makalio unajicheka mwenyewe,,, hivi huoni raha MGALATIA wewe mpaka UMDHARAU ALAH?Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Dah!!! Pole sana mkuu kwa kuharibiwa mindset yako na Western Media.... Kuhusu Gadafi mm siyo muslim ila fanya tafiti kabla kwanza..... Kabla ya kuongea ulicho kiongea...Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga huyo Gadafi aliua sana watu kipindi yupo madarakani hvyo kifo chake ni kama Karma
Bado Magufuli tuu.40 yake yaja.Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga huyo Gadafi aliua sana watu kipindi yupo madarakani hvyo kifo chake ni kama Karma
Ni wabaya au sie na waarabu ndo wabaya,MBONA wazungu hawakubali ujinga wa kuchonganishwa km sie.Wazungu ni watu wabaya saba
Mtu akiwa chini ya jaribu asiseme mungu anamjaribu,maana yeye hamjaribu mtu kwa uovu....Umeeleza vizuri mkuu, nkuulize swali dogo tu... Je, unaamini katika majaribu kutoka kwa Mungu? Na je, unafahamu kuwa Mungu ana namna nyingi za kutoa funzo kupitia majaribu? Kwa kifupi ukisoma vitabu maandiko yanasema kabla Mungu alikuwa na adhabu za hapo hapo pale maovu yanapozidi mfano zama za Luti, Nuhu etc... Lakini kuanzia zama za yesu na Muhammad Hakuna adhabu ya pamoja mpaka doomsday
Wazungu wanafiki sana aisee.Ni wabaya au sie na waarabu ndo wabaya,MBONA wazungu hawakubali ujinga wa kuchonganishwa km sie.
Mkuu hata la vita na Idd Amin nayo Western Media zimehusika kumchafua?Dah!!! Pole sana mkuu kwa kuharibiwa mindset yako na Western Media.... Kuhusu Gadafi mm siyo muslim ila fanya tafiti kabla kwanza..... Kabla ya kuongea ulicho kiongea...
Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia, wazungu walitumia kila mbinu kuhakikisha Gadaf anaonekana mwenye sura mbaya kwenye ulimwengu wa hii dunia
Kwanini wasema ana chuki?Naona chuki zinakuhamisha kwenye hoja, haya basi yesu amuongoze
Bado huoni kama kuna tofauti kati ya Uganda na Libya?Mkuu hata la vita na Idd Amin nayo Western Media zimehusika kumchafua?
Waarabu je?Wazungu ni watu wabaya saba
Ghadaffi alimpatia silaha Idd Amin mwaka 1978 ili awaue watanzania.Allah amtangulie arudishe hadhi ya Libya iliyoasisiwa na Late Ghadaf senior
Wazungu ni watu wabaya saba
Jiulize au tukuulize huyo YESU mpaka sasa yuko wapi? Na huyo Pilato wako yuko wapi? Acha kutoa mifano ya kijinga ukimfananisha YESU.Dah! Mkuu unanikumbusha wale wasemao Yesu ni muokozi wao wakati Yusu mwenyewe ailishindwa kujiokoa pale alipo tandikwa mijeledi na Pilato. hayo ndio mambo ya imani
Nawahakikishia huyu jamaa akigombea urais atauwawa fasta kama walivyouawa vibaya watoto wa Saddam hussein.Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga huyo Gadafi aliua sana watu kipindi yupo madarakani hvyo kifo chake ni kama Karma
Ni sawa kabisa na Muddy ambaye yeye aliwaambia waumin wake wamwamini Allah na yeye nabii wake asiyejua kusoma na kuandikaDah! Mkuu unanikumbusha wale wasemao Yesu ni muokozi wao wakati Yusu mwenyewe ailishindwa kujiokoa pale alipo tandikwa mijeledi na Pilato. hayo ndio mambo ya imani