How? JustifyAm in horns of dilemma to think that even u,believe in GOD
Sitaki kupotez nguvu kukuelewesha stori ya Libya na Europe, na jinsi Sarkozy alivyokopeshwa pesa ndefu naQaddafi ila mwisho wa siku wakapendekeza aondolewe madarakani.Umeandika nini sasa?
ndiye huyo, aliteswa sana huyu mtuHivi ni yule aliyekamatwa kipindi cha vita? Kwani aliachiwa
Nadhani Mkuu kuna kitu unakichanganya Allah ni jina la M/Mungu usigope na huyo Allah nyie ndio mwamuita Mungu baba ambaye alimtelekeza mwanae akakongwa misumari ya kutosha msalabani unadhani alishindwa kumuokoa pia Mungu baba huyohuyo alishindwaje kumwambia pumzika mwanangu neno langu nitawaelekeza viumbe wangu kupitia bongo zao?,kuna wakina nabii yunus walimezwa na samaki chewa ilishindikana nini kuokolewa asimezwe si mtu wa karibu na muumba? Wewe mwenyewe kila siku unakesha madhabahuni kwa unyenyekevu unaomba ushinde biko mbona hushindi kwakuwa Muumba ameshasema amkataae maisha yake ni milele jahannam na hicho ndicho mlichokichagua bila kujielewa ktk imani iliyo na ukakasi poleni sana.Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
MkuuNadhani Mkuu kuna kitu unakichanganya Allah ni jina la M/Mungu usigope na huyo Allah nyie ndio mwamuita Mungu baba ambaye alimtelekeza mwanae akakongwa misumari ya kutosha msalabani unadhani alishindwa kumuokoa pia Mungu baba huyohuyo alishindwaje kumwambia pumzika mwanangu neno langu nitawaelekeza viumbe wangu kupitia bongo zao?,kuna wakina nabii yunus walimezwa na samaki chewa ilishindikana nini kuokolewa asimezwe si mtu wa karibu na muumba? Wewe mwenyewe kila siku unakesha madhabahuni kwa unyenyekevu unaomba ushinde biko mbona hushindi kwakuwa Muumba ameshasema amkataae maisha yake ni milele jahannam na hicho ndicho mlichokichagua bila kujielewa ktk imani iliyo na ukakasi poleni sana.
Hakuna cha kukufuru huo ndio ukweli mengine kutishana tuNdugu unakufuru, tafadhali chukua muda wa kutafakari ulichoandika.
Sitaki kupotez nguvu kukuelewesha stori ya Libya na Europe, na jinsi Sarkozy alivyokopeshwa pesa ndefu naQaddafi ila mwisho wa siku wakapendekeza aondolewe madarakani.
Bahati mbaya Mbabe Putin hakuwepo madarakani, asingeruhusu huu upuuzi hata kidogo.

Acha ujinga kama unawaza kwa kutumia makalio , allah == god == mungu, ni ni matamshi tu ya kumuita mungu kwa lugha tofauti acha ujinga ww, kwan vitendo viovu vinavyofanyika mungu huwa hayupo , au nyie upande wenu mnavyohalalisha hizo ndoa za jinsia moja mungu hayupo, acha ujinga mkuu, usikurupuke tuu,Kwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Hivi ni yule aliyekamatwa kipindi cha vita? Kwani aliachiwa
Mwambie huyo mchungaji maana haelewi inaonekana ubongo wake ni mfinyu.Acha ujinga kama unawaza kwa kutumia makalio , allah == god == mungu, ni ni matamshi tu ya kumuita mungu kwa lugha tofauti acha ujinga ww, kwan vitendo viovu vinavyofanyika mungu huwa hayupo , au nyie upande wenu mnavyohalalisha hizo ndoa za jinsia moja mungu hayupo, acha ujinga mkuu, usikurupuke tuu,
twende ukahesabiwe achana na kushinda JFUmeandika "Wazungu ni watu wabaya saba"
Ndiyo nikauliza, ndiyo umeandika nini?
Maneno meeeengi
Kila kitu kinatokana na sababuKwani wakati hiyo hadhi inapotea huyo Allah alikuwa wapi?
Wakati Gadafi anaua wale wanaompinga huyo Allah alikuwa anafurahi?
Na huyo Allah anayeaminiwa na mataifa mengi ya jamii ya kiarabu kwa nini asiyalinde yakawe na amani badala yake ndio yanaongoza kwa machafuko na kuifanya dunia ionekane sio sehemu salama?
Nina wasi wasi na hilo pia, lakini damu nzito.. akipewa majukumu kwa namna yoyote ile atalipiza kisasi.Na utashangaa wanaweka kila aina ya vizingiti asigombee huo uraisi