Leticia Musore wa CHADEMA ahamia NCCR

Kumbe Akina Maige wako wengi, Hivi mpaka leo mbinu za sungura sizitaki mbivu hizi bado watu wanatumia!
 
lazima tuseme ukweli,chadema ni chama cha kihuni tu,ni chama kilichojaa ukabila,hasa uchaga!wanaokihama wanaona mbali sana,acha watz wadanganyike,wachague hk chama 2015,wengi mtakuwa wapagazi wa wachaga,enzi za manamba zitarudi,mi niko ethiopia,kazi kwenu ndugu.

Kwanza nashukuru umejuwa ukweli kwenye blue kuwa, CDM itachukuwa nchi na wewe kukwepa kuwa manamba umesepa kwenda kuwa manamba kwenye red-Ethiopia!

Kipi bora, kuwa manamba kwenye nchi yako ama kwenye nchi nyingine, unakwenda kuficha aibu kwa kuwa hakuna anayekujua huko!
 
Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi kwani yeye alikuwa kati ya wabunge ishirini wa viti maalumu lakini jina lake likakatwa.

Mwenyekiti Mbowe shutuma hizi ni za kweli au za mfa maji?.
Walewale wenye uchu wa madaraka,kwani ukiwa mwenyekiti lazima uteuliwe wewe tu kuwa mbunge viti maalum? kama unaona unaubavu kwanini usiomne jimbo ugombee? mimi nina wasiwasi na uwezo wa huyu mama,hajui hata pa kukimbia yaani unakurupuka kukimbia kwenye mafanikio unaingia kwenye kaburi,mi sina cha kumshauri tofauti na kumwambia R.I.P
 
Duh!kakihama chama kitakatifu!chenye viongozi na wanachama watakatifu!

Ipo siku utakayojutia maneno yako, sawa na wale waliodai Kikwete chaguo la Mungu 2005. Ujui siasa ndumilakuwili? Tutatafutana!
Mzungu amesema haki, itumieni tu kwa sasa, kabla muda haujaamua!
Mungu wetu anaita!
 
Wacha utoto, unataka chama kiwe cha kanda ya kasikazini tu? Usiwe na hasira zisizo na maana, Gombea na wewe basi jimboni kwenu ukatoe mchango wa kumkimbiza chamani, unakaa kijiweni na kujenga chuki zisizo na msingi. Ina maana mpaka sasa huoni mchango wake chamani na Taifa kwa ujumla?

Bunge lililopita walikuwa wabunge wa chadema wa kuchaguliwa wangapi? fuatilia uone michango yake ilikuwa mizuri kiasi gani na kwa faida ya chama na taifa kwa ujumla.

Angalia, majimbo aliyokwenda kufanya kampeni kusaidia chama jinsi alivyokuwa anafunika mikutanoni, MUsoma, kibaha, shinyanga, lindi, Rukwa na majimbo mengine mengi.
Hakika nakwambia ZiTTo ana mchango mkubwa katika chama na taifa hili, kama humjuwi kaa kimya amefanya makubwa na ataendelea kufanya makubwa.

Na kugombea kwake, nafasi yoyote chamani ana haki ya msingi wala asipuuzwe, labda kama chama ni mali ya watu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara tu. Kuwepo kwake kunachangia kutanua chama sehemu mbalimbali.

Kama ni kujenga hoja anao uwezo, na ni jasiri.
Si vema kumsakama kwa kuwa ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili kupanua Demokrasia na si vema kukurupuka kumfukuza mwanachama mwenye mchango mkubwa ndio maaana tulimpoteza kafulila, huyu jamaa angekuwa mbunge wa chadema.

Uchaga uchaga utakiua chama,CHADEMA ni mali ya wachaga! Zitto hapendwi kabisa na hao jamaa licha ya juhudi kubwa alizotumia kukipendezesha chama.bro zitto tuko nyuma yako.
 
Bahati mbaya sana CDM haigawi ubunge na siaamini kama tunawahitaji watu wanaojiunga M4C kwa kutafuta vyeo, hawatusaidii na nashukuru wakiondoka mapema.

Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi kwani yeye alikuwa kati ya wabunge ishirini wa viti maalumu lakini jina lake likakatwa.

Mwenyekiti Mbowe shutuma hizi ni za kweli au za mfa maji?.
 
Tatizo la huyu mama yetu alikariri kwamba yeye lazima ilikuwa awe mbunge wa viti maalumu kwa sababu tu alikuwa mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Bahati mbaya kwake ni kwamba hatukuwa na kigezo specific cha kumlenga mwenyekiti wa bawacha au kiongozi yeyote mwingine. Katika vigezo tulivyotumia yeye aliangukia kwenye namba 29 kama inavyoonekana katika orodha hapa chini ya first 40 candidates.

Katika safari hii ya mapambano sio abiria wote watakaofika mwisho wa safari; wapo watakaoshukia njia-huyu ni mojawapo!!

Orodha ya wanaopendekezwa kuwa wabunge wa viti maalumu-CHADEMA
Orodha ya wanawake 40 wa juu
1.Lucy Fidelis Owenya
2. Esther Nicholas Matiko
3. Mhonga Said Ruhwanya
4. Anna MaryStella John Mallac
5. Halima James Mdee
6. Paulina Philipo Gekul
7. Conjesta Leos Rwamlaza
8. Susan Kiwanga
9. Grace Sindato Kiwelu
10. Susan Lyimo
11. Regia Mtema
12. Christowaja Mtinda
13. Anna Valerian Komu
14. Mwanamrisho Abama
15. Joyce Mukya
16. Leticia Mageni Nyerere
17. Naomi Kaihula
18. Chiku Abwao
19. Rose Kamil Sukum
20. Christina Lissu Mughiwa
21. Raya Ibrahim Hamisi
22. Philipa Geofrey Mturano
23. Mariam Salum Msabaha
24. Rachel Mashishanga Robert
25. Sabrina Hamza Sungura
26. Rebecca Michael Mngodo
27. Cecilia Daniel Pareso
28. Subira Shabani Waziri
29.
Leticia Gati Musore
30. Helen John Kayanza
31. Rosana Osemu Chapita
32. Mona Shomary Bitakwate
33. Evarim Adrian Mpangama
34. Asha Sudi Kayumba
35. Hija Rashid Wazee
36. Mary James Martin
37. Sophia Hebron Mwakagenda
38. Bupe Odeni Kyambika
39. Magreth Thadei Mangowi
40. Esther Cyprian Daffi

Inaoneka alipenda ubunge zaidi.
 
CDM ndiyo ninaamini itasaidia kunyoosha hii nchi. Hakuna cha ukabila wala nini. Kwani tulipo SSM ambako vyeo vinazunguka kwa walewale wengine tunaishia tu kupata fulana na kanga mbona hakusemwi? Yaani hata baadhi ya wabunge hasa wale vijana ni lazima connect the dot tu. Mimi kwa mfano huyu Angela Kairuki ni mtoto wa Esther Mkwizu ambaye you may connect the dot na .... halafu mkwe wake huyo kijana wa Kairuki si alichukua ile nafasi ya January Chapuchapu baada ya mke kuukwaa unaibu waziri? Baadaye huyo huyo mkwe ameteuliwa na rasi kuwa mkurugenzi wizara ya mambo ya nje tena kwa hadhi ya ubalozi!!! Ili kule nyumbani ndoa iende mke asiwe superior kwa mume au? Tukianza kuchambua mmoja baada ya mwingine wote SSM mtafunguka macho na mtahama maana huna cheo chochote utapata kama hauko kwenye hiyo vicious cycle yao (I name it that way maana haina faida kabisa as they are vicious cyle of poverty!!!
 
Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi kwani yeye alikuwa kati ya wabunge ishirini wa viti maalumu lakini jina lake likakatwa.

Mwenyekiti Mbowe shutuma hizi ni za kweli au za mfa maji?.

Mbona ulivyosikia Shibuda amehamia CDM hukumuuliza JK kama ni kweli... achana na hii kitu bana!!!
 
achape lapa tu kwanza alikuwa anakwamisha na kuvujisha siri za CDM, hana impact yeyote ile. huyu alikuwa na tamaa ya ubunge na si mwanaharakati wa ukwel
 
If that is the reason, it is a Non sense reason. Kwani wakati anajiunga alikuwa hajui mazuri na mabaya ya CDM, alijiunga unga vp, mi nafikiri kabla hajajiunga alikifahamu chama kwa uzuri kabisa au anataka kusema hayo mabaya ya chama yameanza leo? Falsafa ndogo hapa, amekosa ubunge wa vit maalum.
 
Leo ndio ameona hayo siku zote alikuwa wapi?

Jnashangaza! wakati yeye alipokuwa mwenyekiti wa wanawake Taifa atuambie alikuwa ndugu ya Mbowe au rafiki yake?! Huyu nahisi hatumii akili kufikiri-lazima atakuwa anatumia ile Masaburi alisema
 
Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi kwani yeye alikuwa kati ya wabunge ishirini wa viti maalumu lakini jina lake likakatwa.

Mwenyekiti Mbowe shutuma hizi ni za kweli au za mfa maji?.

wanasema Nyerere aliijenga TANU kwa kua hands on kama M/kiti, lakini Mbowe siyo Nyerere, na mwaka 1950's siyo sasa, huyu Mbowe kwa kujilimbikizia nguvu nyingi kwenye chama anahatarisha uhai wa chama wa muda mrefu..ikizingatiwa nguvu ya sasa hivi ya CDM ni kutokanana na upuuzi wa CCM na siyo mvuto wa CDM yenyewe kama chama cha siasa....
 
bado Zitto ,yaani huyu siku akiondoka ntalipia hata kikosi cha matarumbeta toka pale magomeni na wale wacheza vibao kata wamsindikize huko CCM

Zitto atakua waziri mmoja mwandamizi CCM 2015...na baadae mgombea urais kupitia CCM, ZZK hawezi kukaa kuongozwa na kilaza Mbowe
 
lazima tuseme ukweli,chadema ni chama cha kihuni tu,ni chama kilichojaa ukabila,hasa uchaga!wanaokihama wanaona mbali sana,acha watz wadanganyike,wachague hk chama 2015,wengi mtakuwa wapagazi wa wachaga,enzi za manamba zitarudi,mi niko ethiopia,kazi kwenu ndugu.

Akili ya kushikiwa hiyo, kwanza unajiita pilitoni (piriton kabisa ww). ukiwa ethiopia sisi inatuhusu nn. wadandia treni kwa mbele!
 
Back
Top Bottom