leta tatizo lako au kesi tata hapa(itatatuliwa)

kwa kwa kwa kwiiiiiiiiii yaani nimecheka hadi chozi limetoka, kweli duniani viroja havitaisha.
 
mmeni quote vibaya,in my introductory thread above,there is no part of it where i appear calling myself mganga,
USILOLIJUA.......
Kaeni na shida zenu.
 
Nina tatizo la kuingia jf kila siku hasa MMU.
Nahitaji msaada wako al shabab tatizo hilo liishe.
Natanguliza shukrani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom