Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Nimekaa kwa zaidi ya miaka saba kwa ukaribu sana na hawa Mapadre, mabruda na masister wa kikatholic....
Aisee hawa jamaa wote wana character flan moja ambapo huwa najiuliza sana!!! Ni coincidence tu wote kua na tabia hiyo moja au ni mafundisho!!??

Ni hivi, hawa watu bhana, wanapenda sana kujifanya wakarimu, wana huruma sana kwa binadamu na wanapenda kusmile na kucheka na watu........lakin ukikaa kuwachunguza kwa umakini wa jicho na upembuzi thabiti, utagundua hawa jamaa ni wana roho mbaya mbaya na ya kikatili sijapata kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapimaje "kujifanya" wakarimu nk nk na hiyo roho mbaya kwa hilo jicho la kipembuzi nini chanzo chake? weka wazi mkuu!
 
Haona zanzibar hapk hadi shekhe katoa tamko maustaz wanalawiti san watoto wa madrasa
anafanya kusudi. kama sio sera ya taasisi ulawiti utabaki kuwa maamuzi ya mtu Mmoja Mmoja.

ndio maana mashehe, mapadri, wachungsji wote wanakashfa z kulawiti kunyume na taratibu zao.

kwanza anatakiwa ajue kabla ya globalization, nchini waislam hasa waarabu walikuwa wanatuhuma hizo zaidi ya mtu mwingine yoyote. hata mwanaume alikuwa akifanya kazi Kwa mwarabu ilichukuliwa analiwa ndogo pia.

cc
@Faizafox
 
Wakuu,

Confidence ya huu uzi sina, naogopa kuandika hapa, ninatetemeka, maana hii taasisi inatisha kuliko hata amateur jihad fighters.

So I'll keep it short and sweet ila Jesuits, I'm sorry in advance. Msinitafute please.

UPADRI:
Iko hivi: Upadri ukiusomea kuna stage inafika inaitwa no return stage, in that stage unaambiwa kabisa...wait kwanza.

Quick Analogy: Kama unavyoingia Freemason, mwanzoni si wanakuambia hiki ni chama tu kama vicoba? Yani hakihusishi dini wala imani yoyote, hakina mambo ya kafara wala nini, ni kwa ajili ya kusaidia jamii kuondokana na umasikini. Lakini si ukishaingia ukazidi kuusoma na kupanda degree, kuna ile degree inafika unaambiwa sasa hapa there is no return.

Hapo ndipo utaanza kufundishwa true intention ya FM na kuhusu ibada za shetani n.k. At that stage wanakuambia ukiacha tu tunakuua.

Turudi kwenye mada sasa.

Hivyo hivyo inakuwaga upadri. Ukienda kusoma unapopanda madegree mpaka Vatican huwa kuna stage. Sasa inafika unaambiwa the true face of Catholicism na unaambiwa kabisa who is our god, our plans for this world, who are our enemies na mambo mengine kedekede. At that stage inakuwa too late huwezi tena kuacha.

Hii ipo true na ni fact kuwa huwezi kuacha upadri, hata uzini, uue, uibe unaweza ukafukuzwa kazi lakini utaendelea kukaa sehemu malumu ukichungwa na kuendelea kulipwa, lakini siyo kurudi mtaani na kuanza mishe za boda boda, hata ukirudi mtaani watakua wanakuchunga sana.

Hata ivo watakuwa wanakuamini sana mpaka wakuruhusu urudi mtaan (kama mfungwa wa nje)

Huwezi kubadili dini maana wanajua utaenda umwage siri za Vatican, personally niliambiwa hizi mambo na padri fulani alizini akataka kubadili dini wakathreat kumuua. Hii ishu baadhi ya wajuvi watakuwa wanajua ngoja niishie hapa.

JESUITS: Hii organization ipo ndani ya dini na ni far, far, far, far worse zaidi ya upadri maana kazi ya padri ni kuhakikisha anashika raia wengi kanisani lakini hawa CIA kazi yao ni kudeal na affairs za kikanisa nje ya kanisa. Hawa ndo wanakuwa marais, mashehe, wachungaji, wanasiasa, wanamziki, wafanyabiashara wakubwa n.k n.k n.k.

Hawa kukupoteza ni dakika sifuri. Kuna kiongozi wa dini fulani (kapuni) isiyo RC alifukuzwa baada ya kugundulika ni Jesuit.

Hawa ndiyo mimi nawaogopa na ninajua nimeshawakosea kwa kuvujisha siri hapo juu.

With that being said wajameni Jesuits nilikua natania tu hapo juu msichukulie serious (I'm serious)
Ulivyoandika kwa kuruka ruka Mungu ndiye anajua. Mara Majusuit ni mapadre mara ndio wanakuwa viongozi wakubwa mpaka marais, mara ni CIA Duuu!! Ebu rudi uje utujuze kile ulinuia kutujuza maana mimi binafsi sijakuelewa
 
Hiyo habari.hebu jifunze
Kutumia Google kablq.hujalaumu. wengine tueifanyia utafiti wa kimtsndao kabla hatujaitumia JFNdiyo maana tunaweka source.

Hakiki ulete majibu yako.

Hakuna utafiti wa kimtandao unaweza kukupa majibu sahihi unazijua process za utafiti lakin


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sema wewe nimekupendea kitu kimoja..wewe ni muungwana lakini usiejua vingi hivyo points zako hazinipingi direct kwasababu haujajaribu kupotosha.
Points zote umebase maelezo ya sakramenti n.k n.k
Sasa nakujibu hivi,vipi mke wako akifa? Hauruhusiwi kuoa mwingine??
Vipi sasa imani yako katika kanisa ikifa?? Hauruhusiwi kubadili dini wewe kama padri?
Point is hao mapadri wana siri nyingi na zinalindwa by all costs including death threats.



Hii ndo the only point iliyojaribu kupinga sasa kuhusu jesuits; hao wanaoperate in shadows,a secret society if i may,
Sasa hao wanaweza kufanya chochote na wasiwe excommunicated.... Hivyo hio sio point kwasababu hawa jamaa hawafanyi kazi zao openly kila mtu ajue kuwa sheikh flan ni jesuit au ni mroma, but wanaoperate undercover ndiyo maana katiba yao inakataza mtu yeyote mwenye background ya kiislam (hata kama babu yake na babu yake alikuwa muislam) kuja kuwa jesuit
Unahisi kwanini?? Na lengo kuu la hii society ni nini?
Nilikuwa Nina mpango nimpeleke mwanangu lkn hicho kipengele cha kuwa na wazazi waislamu kitamuharibia na lengo langu halitotimia,ngoja nimtoe
Nalog off
 
Kabla ya kupata upadri lazima uweke nadhiri ya daima ( kiàpo cha milele ( point of no return) hii huwa wanasema kabisa hata kanisani mtu akiwa anakaribia kiwa padri wanasema sasa anaweka nadhiri ya daima .yes i agree with you viapo vingi na sakramenti za ukatoliki ukishaingia ni for good



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point of no return haipo kwenye upadre tu, ipo kwenye Sakramenti nyingine zote.

Kwa mfano, ndoa ya Kikatoliki haifunguliwi popote. Mkishafunga ndio imetoka, mpaka kifo kiwatenganishe.

Maana yake, the moment mnapofunga ndoa, mnakuwa mmeingia kwenye point of no return.
Mwenzi wako akiugua uchizi( ugonjwa wa akili kwa zaidi ya miaka miatatu ) je!! Bado hauruhusiwi kuvunja ndoa hii na kuoa aubkuolewa na mwengine??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom