Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

By the way tatizo ulilonalo ni tatizo la wazanzania wengi ni “ passive audience” kwenye media badala ya kuwa “ active audience” chochote unachokisikia kwenye media tumia akili yako kukitafakari, kukichambua, then pima na weka positive altitude kwenye hilo jambo....baada ya hapo utakuwa na majibu sahihi

Sio kwamba nabishana na utafiti wa gazeti ila unaangalia 80% inawezekanaje mapadri wote wakawa mashoga.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo habari.hebu jifunze
Kutumia Google kablq.hujalaumu. wengine tueifanyia utafiti wa kimtsndao kabla hatujaitumia JFNdiyo maana tunaweka source.

Hakiki ulete majibu yako.
 
Mimi siangalii makunyanzi , ndoa ya kikristo kwangu hakuna hiki kipengele "alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu " vyote ameunganisha binadamu na mbwembwe zake !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu mkuu
Hii ni moja ya conspiracy theories ambazo tumezoea kuzisikia kwa msiolijua Kanisa Katoliki. Unasimuliwa vihadithi huko mtaani halafu ndio unavibeba kama vilivyo unatuletea hapa.


Kama unajua, Sakramenti zote za Kanisa Katoliki ukishazipokea, tunasema haziondoki. Zinaacha alama ya milele, isiyofutika. Mfano: ukishafunga ndoa, hauwezi kuifungua kokote; ukishabatizwa, wewe ni Mkristu wa milele hivyohivyo kwa Sakramenti nyingine ikiwemo upadre. Na kwa upadre, ni mapdre wote, sio kwa Jesuits pekee. Huu ulioandika ni upotoshaji.


Haya ni mambo ambayo kila mtu anayajua. Hizo hatua wanazozipitia Jesuits ndio almost wanazozipitia mapadre wa majimbo na mashirika yote duniani kote. Kila Jimbo na shirika lina utaratibu wake, lakini mapadre wote ni lazima wapitie malezi, wasome falsafa (diploma au shahada), wasome theolojia (diploma au shahada), wapitie mwaka wa uchungaji, wapewe ushemasi ndio wawe mapadri. Shida haujui na unaandika mambo usiyoyajua. Unapotosha.


Dhambi haiondoi Sakramenti. Kwahiyo hata ukiua au kuzini, au kuiba bado utaendelea kuwa Padri (kupitia Sakramenti ya Upadre), utaendelea kuwa mwanandoa (kupitia Sakramenti ya Ndoa) utaendelea kuwa Mkristu (kupitia Sakramenti ya Ubatizo), n.k. Acha upotoshaji.

Mapdre wote huwa hawalipwi. Na ikitokea ukaacha kutoa huduma za Kipadre, maana yake unajitegemea kwa kila kitu. Ndio maana akina Padri Slaa unawaona wanapambana na hali zao.


Ndio. Majimbo yote na mashirika, ambayo kimsingi ndiyo hulea na kutoa mapadre, yapo ndani na chini ya Kanisa Katoliki.


Uongo mwingine ambao kila siku tunaupinga humu. Nani ameshaona mtu ameshikwa eti kisa ameungama kwa Padri, huyo mtu, atoe ushuhuda na uthibitisho humu. Acheni uongo.


Kwanza CIA ni shirika la ujasusi la Marekani linalohusika na mambo ya intelijensia na ujasusi nje ya ardhi ya Marekani. Halina uhusiano wa aina na namna yoyote ile na Kanisa Katoliki.

Ukishakuwa mchungaji, au sheikh, n.k. maana yake unapingana na mafundisho walau ya Mama Kanisa. Hiyo inapelekea excommunication. Ukiwa excommunicated maana yake umejitenga na Kanisa. Wewe inahesabika kuwa sawa na mpagani. Kwahiyo hii hoja yako inakosa mashiko automatically. Unachotaka kutuambia wewe, kwa hoja hii, ni kuwa Jesuits sio Wakatoliki, kitu ambacho sio kweli.

Ninaomba mleta uzi uwe unafanya utafiti kabla ya kuanzisha uzi, tena kwenye jukwaa hili tunaloliheshimu. Mambo uliyoyaleta, hata kwa Mkatoliki wa kawaida tu ambaye anajua taratibu hizi ndogondogo za Kanisa, atakushangaa sana.

Umeleta upotoshaji tu. Inaonekana umeandika kitu usichokijua. Shame on you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kitu kipya kabisa since niiishi na makatekista na mapadri wa jimbo flani kwa muda wa miaka zaidi ya kumi
 
Nimekaa kwa zaidi ya miaka saba kwa ukaribu sana na hawa Mapadre, mabruda na masister wa kikatholic....
Aisee hawa jamaa wote wana character flan moja ambapo huwa najiuliza sana!!! Ni coincidence tu wote kua na tabia hiyo moja au ni mafundisho!!??

Ni hivi, hawa watu bhana, wanapenda sana kujifanya wakarimu, wana huruma sana kwa binadamu na wanapenda kusmile na kucheka na watu........lakin ukikaa kuwachunguza kwa umakini wa jicho na upembuzi thabiti, utagundua hawa jamaa ni wana roho mbaya mbaya na ya kikatili sijapata kuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia vigezo gani kuchunguza kwa jicho la tatu na kipepumbuzi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Confidence ya huu uzi sina, naogopa kuandika hapa, ninatetemeka, maana hii taasisi inatisha kuliko hata amateur jihad fighters.

So I'll keep it short and sweet ila Jesuits, I'm sorry in advance. Msinitafute please.

UPADRI:
Iko hivi: Upadri ukiusomea kuna stage inafika inaitwa no return stage, in that stage unaambiwa kabisa...wait kwanza.

Quick Analogy: Kama unavyoingia Freemason, mwanzoni si wanakuambia hiki ni chama tu kama vicoba? Yani hakihusishi dini wala imani yoyote, hakina mambo ya kafara wala nini, ni kwa ajili ya kusaidia jamii kuondokana na umasikini. Lakini si ukishaingia ukazidi kuusoma na kupanda degree, kuna ile degree inafika unaambiwa sasa hapa there is no return.

Hapo ndipo utaanza kufundishwa true intention ya FM na kuhusu ibada za shetani n.k. At that stage wanakuambia ukiacha tu tunakuua.

Turudi kwenye mada sasa.

Hivyo hivyo inakuwaga upadri. Ukienda kusoma unapopanda madegree mpaka Vatican huwa kuna stage. Sasa inafika unaambiwa the true face of Catholicism na unaambiwa kabisa who is our god, our plans for this world, who are our enemies na mambo mengine kedekede. At that stage inakuwa too late huwezi tena kuacha.

Hii ipo true na ni fact kuwa huwezi kuacha upadri, hata uzini, uue, uibe unaweza ukafukuzwa kazi lakini utaendelea kukaa sehemu malumu ukichungwa na kuendelea kulipwa, lakini siyo kurudi mtaani na kuanza mishe za boda boda, hata ukirudi mtaani watakua wanakuchunga sana.

Hata ivo watakuwa wanakuamini sana mpaka wakuruhusu urudi mtaan (kama mfungwa wa nje)

Huwezi kubadili dini maana wanajua utaenda umwage siri za Vatican, personally niliambiwa hizi mambo na padri fulani alizini akataka kubadili dini wakathreat kumuua. Hii ishu baadhi ya wajuvi watakuwa wanajua ngoja niishie hapa.

JESUITS: Hii organization ipo ndani ya dini na ni far, far, far, far worse zaidi ya upadri maana kazi ya padri ni kuhakikisha anashika raia wengi kanisani lakini hawa CIA kazi yao ni kudeal na affairs za kikanisa nje ya kanisa. Hawa ndo wanakuwa marais, mashehe, wachungaji, wanasiasa, wanamziki, wafanyabiashara wakubwa n.k n.k n.k.

Hawa kukupoteza ni dakika sifuri. Kuna kiongozi wa dini fulani (kapuni) isiyo RC alifukuzwa baada ya kugundulika ni Jesuit.

Hawa ndiyo mimi nawaogopa na ninajua nimeshawakosea kwa kuvujisha siri hapo juu.

With that being said wajameni Jesuits nilikua natania tu hapo juu msichukulie serious (I'm serious)
Hopeless kabisa! huna data sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom