Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Mwenzi wako akiugua uchizi( ugonjwa wa akili kwa zaidi ya miaka miatatu ) je!! Bado hauruhusiwi kuvunja ndoa hii na kuoa aubkuolewa na mwengine??

Sent using Jamii Forums mobile app
As long as ulimuoa akiwa na akili timamu, hauruhusiwi kuvunja ndoa.

Kumbuka wakati wa kuoana uliapa kumpenda kwenye shida na raha, afya na magonjwa.

Hakuna sababu nyingine, tofauti na kifo, inayoweza kuvunja ndoa.
 
Inafurahisha sana kuona watu wasiojua kitu kuhusu watu fulani wakiwajadili watu wenyewe. Unabaki kutabasamu tu.
 
Mkuu acha uongo RC wanatumia nguvu kufanikisha dini yao!!!? acha uongo wanao tumia nguvu mbona wapo na wanajulikana au wewe RC unaelewa mkuu wa mkoa?
Kwanini RC wamekua na mambo ya Siri namna hii na wanatumia nguvu nyingi kufanikisha dini yao ijulikane

Huku kwetu mikoa ya pwani ambapo inaonekana kuna waislaam wengi wameongeza nguvu ya kuanzisha NGO's mbalimbali za misaada na utetezi wa kijinsia nadhani hawa ndio hao JESUIT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vatikan siku hizi ipo Zanzibar? Sishangai maana kisiwa cha Unguja kimezungukwa na hoteli za Wataliano, nini cha ajabu ikiwa mambo ni haya...

Kitabu: 85% ya makasisi wa Vatican ni mashoga
WTF!!!! Yani niamini iyo takataka yako uliyo ileta bila any proven evidence bytheway ni kawaida sana kwa RC kuchafuliwa sana kwenye jamiii wachafuaji wakubwa ni Wasabato na Nyie swala tano kumbe mnakula kitimoto
 
Ushahidi ni video inayothibitisha unachosema,hii ni nukuu tu


Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana uelewa wako unanitia mashaka. Umeelewa kilichoandikwa hapo na umefata hiyo link na kuisoma?

Kama hujaelewa, sema kweli tu ili tukueleweshe kwani naona huna ufahamu wa kutosha kujadiliana kwa hayo uliyoyaandika hapo juu.

Sidhani hata kwmwbvideo itakusaidia kwani nnamashaka kama utaelewa kinachosemwa. Hicho ulichokitaka...

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom