Sole Proprietor
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 223
- 254
Kuna seminary ndogo na kubwa. Malezi pamoja na masomo yote toka uingie seminary kubwa si chini ya miaka saba ndio ufikie ushemasi. Na utakaa mwaka tena kama mchungaji ndio ifikie hiyo hatua mshana anaita ordination. Na hicho kiwango kuna wananaojifunza hadi miaka kumi na moja. Mpaka hapo mshana katudanganya.una point lakini...pengine mshana anazungumzia maisha aliyoishi seminari kipindi hicho baadae akagundua hana wito wa kuwa pandre....
Sent using Jamii Forums mobile app


