The master
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 289
- 196
Labda nikuulize
Una ushahidi wa haya madai yako?
Yapo lakini hayayafanyi madai yako kuwa kweli!
Hapana!
Hebu leta hizi document!
Hapa unatakiwa ujue kutofautisha mambo ya kawaida na neno la Mungu
Neno la Mungu ni yeye mwenyewe anaelisimamia,hivyo kuwa makini sana na hii kitu!
kuna baaadhi ya wakristo hawapendi kabisa kuhoji mambo ya kanisa na imani kwa ujumla hata ukimwambia vinginevyo hataki hata kukubali hata kama ni kweli. mimi ni mkristo lakini nimejiruhusu kuhoji kila ninapoona inahitajika kufanya hivyo. na kamwe kuhoji kwangu hakutawahi kuja kunivunjia imani yangu juu ya mungu ila kuna imarisha kila siku. ila kila siku ninapohoji juu ya makanisa na taratibu za kuaabudu za makanisa huwa napata tabu sana kuziamini baadhi ya taratibu. ambazo zimejengwa na watu kama mimi na wewe. na kila mmoja akisema ndio taratibu sahihi au kafunuliwa na mungu kufanya hivyo.
imeandikwa tuitafute kweli nayo itatuweka huru.
kama watu wanaogopa kuhoji hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaficha watu mambo fulanifulani je hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaona wanaohoji wamepotoka je hiyo kweli itapatikana wapi?
Mkuu kuna hii documentary inaelezea jinsi biblia ilvyo tengenezwa icheki kaka tuje tushee understandings "banned from the bible"
Kaka unajua Kuwa biblia agano jipya lilikuwa compiled kwa initiative ya jamaa mmoja ambaye alikuwa ni tajiri na mfanyabiashara ambaye ni mchamungu na yeye ndo aloanzisha mchakato wa kutengeza biblia agano jipya na yeye na watu wake ndo walokuwa na uamuzi kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe inasemaekana baada ya kifo cha yesu viliandikwa vitabu vingi sana na waandishi wengi mmoja wao ni Mary Magdalene kitabu chake hakikuzingatiwa kwa kipindi kile ni sababu ya mtazamo wa jamii ya enzi izo towards wanawake. Siyo maneno yangu mkuu na mie nimepitia pitia hizi documentariea na google.
Dah! Kweli hii ishu ngumu, yani we huoni tatizo hapo. Hebu jiulize we utengeneze robot lako ambalo kila linachofanya we ndo unaliongoza halafu likuue wewe unaejua siri zake halafu useme hakuna tatizo? Ndugu yangu mi nashindwa kuelewa uwezo wako wa kufikiri.
Unajuaje kuwa neno hili ni la mungu na hili ni la mwanadamu ktk biblia?
Kaka unajua Kuwa biblia agano jipya lilikuwa compiled kwa initiative ya jamaa mmoja ambaye alikuwa ni tajiri na mfanyabiashara ambaye ni mchamungu na yeye ndo aloanzisha mchakato wa kutengeza biblia agano jipya na yeye na watu wake ndo walokuwa na uamuzi kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe inasemaekana baada ya kifo cha yesu viliandikwa vitabu vingi sana na waandishi wengi mmoja wao ni Mary Magdalene kitabu chake hakikuzingatiwa kwa kipindi kile ni sababu ya mtazamo wa jamii ya enzi izo towards wanawake. Siyo maneno yangu mkuu na mie nimepitia pitia hizi documentariea na google.
Tatizo la Eiyer hataki kuamini Biblia yote imeandikwa/andaliwa na kanisa Katoliki....Yani namshangaa sana..kama haamni Vatcan ni vyema pia angetupa hiyo Biblia yake mbali...
Hivi unajua kanisa Katoliki halikuwepo wakati Yesu anapaa kwenda mbinguni?
Hivi unajua kuwa kanisa Katoliki halikuwepo karne ya kwanza?
Kama walikuwa na uwezo wa kuandika biblia how do you think wanashindwa kuficha familia ya yesu? Biblia yenyewe inajicontradict kwenye maisha ya yesu kuanzia ukoo wake, maisha yake, kukamatwa kwake, kufa kwake, kufufuka kwake na mwisho kupaa kwake kwenda mbinguni. So kwa wenye akili na wanaotaka kujua ukweli juu ya ukristo lazima wataibuka na maswali mengi ambayo yanasababisha mtu kutoiamini biblia na hivyo kuifanyia utafiti. Yesu alikuwa myahudi lakini historia yake inapatikana zaidi ktk lugha tofauti na za kiyahudi the question is still there WHY???
Hii sentensi yako iko sawa kweli?Huenda Kanisa lililokuwa linajulikana kwa jina kama "Katoliki"
Kwa mtazamo wako Wakristo wa kwanza walikua wanasali kama Wakatoliki?ni kweli lilikuwa halipo kipindi hicho....LAkini taratibu zilikuwepo...Maaana kanisa lilianza kuenea sana maeneo mengi ya ulimwengu wakaamua kuliita Catholi..(Universla),,,,,Iliyo enea...Rejea maana ya Catholic kwa ki-Giriki ndo utajua maana..
Kibiblia neno kanisa lina maana zaidi ya moja sijui wewe unazungumzia ipiKama unasemea kanisa kwa jina sawa..
How do you know this?Anyway!! Wewe ni mjuaji...
Utaratibu wa kumuabudu Mungu wa kanisa la kwanza ni kumuabudu Mungu katika roho na kweli baasiNimekubali kuwa mimi sijui naomba nijuze hapa sasa hivi "kanisa gani lilikuwa karne ya kwanza"? Utaratibu wao wa kuabudu ulikuwaje....? Baada ya kupaa KAnisa gani lilikuwa...? Tafadhali nijuze sitaki porojo..
Hii ni kazi ya Roho Mtakatifu ..!!
Jamani tuseme mara ngapi Biblia haikuandikwa na mtu?. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na watu mbalimbali tena wengine kwa malengo ambayo kabla hawakujua yangeweza kuwa Biblia. Waandishi hawa walivuviwa na Roho Mtakatifu na kujikuta wakinakili ujumbe wa Mungu kwa wanadamu kwa njia ya ya Roho Mtakatifu. Sasa hapa inabidi mtu uanze na kujua Roho Mtakatifu ni nani, anafanyaje kazi kupitia wanadamu, nk.
So far hakuna contradiction yoyote ya msingi kuhusu kuzaliwa, maisha na kufa kwa Yesu Kristo. Kama ipo iweke mezani
Hii sentensi yako iko sawa kweli?
Kwa mtazamo wako Wakristo wa kwanza walikua wanasali kama Wakatoliki?
Hivi unajua kiongozi wa kwanza wa kanisa Katoliki alikuwa mwaka gani?
Unajua neno Papa lilianza kutumika mwaka gani?
Hebu nijibu kwanza hayo
Kibiblia neno kanisa lina maana zaidi ya moja sijui wewe unazungumzia ipi
How do you know this?
Utaratibu wa kumuabudu Mungu wa kanisa la kwanza ni kumuabudu Mungu katika roho na kweli baasi
Soma matendo ya Mitume utajua haya yote!
Hapo napo ndo nashindwa kuwaelewa maana hilo ndo kimbilio la watu wavivu wa kufikiri. Hamtaki kuchambua mambo kwa kisingizio cha roho mtakbtifu kwamba ili mtu aijue biblia na aielewe lazima awe na roho mtakatifu. Sitaki nikuulize kama unamjua huyo roho mtakatifu kiundani au unamjua juu juu tu kwa maana hiyo ni mada nyingine ya kujadili kirefu. Anyway nikuache kwa leo maana umejitahidi sana kujieleza na kujibu kulingana na uelewa wako hoja mbalimbali ambazo watu wamekulenga wewe. Nakupongeza kwa hilo but one thing to remember is that fungua macho na moyo wako so that you can learn kuhusu dini zote and be free in what you beleave. Utakuwa na uhakika na kile unachokiamini kuliko kung'ang'ania imani ambayo haikupi uhuru wa kuichallenge na imani nyingine. Hapa ninachokushauri ni kusoma basics zake tu. You'll be free.
Kaka unajua Kuwa biblia agano jipya lilikuwa compiled kwa initiative ya jamaa mmoja ambaye alikuwa ni tajiri na mfanyabiashara ambaye ni mchamungu na yeye ndo aloanzisha mchakato wa kutengeza biblia agano jipya na yeye na watu wake ndo walokuwa na uamuzi kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe inasemaekana baada ya kifo cha yesu viliandikwa vitabu vingi sana na waandishi wengi mmoja wao ni Mary Magdalene kitabu chake hakikuzingatiwa kwa kipindi kile ni sababu ya mtazamo wa jamii ya enzi izo towards wanawake. Siyo maneno yangu mkuu na mie nimepitia pitia hizi documentariea na google.
Pia Da Vinci ndo aliyechora michoro iliyopo cistine chapel, hasa mchoro maarufu wa mwanaume aliye uchi wa mnyama uitwao michangelo, hili ni eneo lililopo inner conclave na ndipo makadinali hukusanyika kumchagua papa mpya, I stand to be corrected.
Its worth it to know for the sake of knowing napend kukazia maarifa kwa kitabu cha ufunuo wataalamu wanasema kuwa kulikuwa na vitabu viwili vya ufunuo kimoja cha peter na kingine cha yohane kilichukuliwa cha yohana kikaachwa cha peter kwa nn? Inasema peter kitabu chake kilkuwa so straight na kinasema aliambiwa Christ kuwa mwishowe wote waovu watasamehewa na maisha yataendelea lakini wahusika wakaona si logic ya kukijumuisha kitabu hicho sababu watu hawatakuwa na hofu ya kuacha mabaya kwa sababu wanajua mwishowe watasamehewa. Jamani narudia haya si maneno yangu