Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Story tamu hiiLol......mmenishinda tabia mmekuja hadi huku?![]()
![]()
Story tamu hiiLol......mmenishinda tabia mmekuja hadi huku?![]()
![]()
Wazungu wajanja sanaHuyo jamaa angetafiti kwanza ili ajue kuwa hata inayodaiwa kuwa "sura" ya Yesu ilikuwaje hasa ikawa maarufu angejua jambo kubwa sana
Huyo Da Vinch mwenyewe alikuwa anabuni hizo mambo zake hazina ukweli wowote,siku moja nilikuwa natazama National Geographic Channel walikuwa wanazungumzia huu upuuzi wa kizazi cha Yesu
Kuna mambo mengine hata ukitumia akili za mtoto w chekechea tu utagudua ni uji.nga!
Ngoja nisome sasa maana nmesoma had page 3 tuStory tamu hii
hebu uwekeni hapa ili tujielimishe hata ambao hatujawahi kuuona mkuu.
Umeandika upumbav mwingi sana Mkuu. Kwann lkn umeamua kufanya hizi???Mkuu acha kuchemsha,
YESU ni mkuu kuliko unachotaka kueleza hapa. Hana ulinganifu na "katunisti" Davinci.
Yesu kristo Walimwita majina mengi hapa duniani great teacher, great man , great prophet.
YESU kupitia matendo yake mema na ya huruma na knowledge yake hapa duniani ambayo imeweza ku inspire wengi, tangu miaka 2000 iliyopita.
Ukiangalia Buddha, Zoaraster, Confucious, Muhamadans wanamchukulia YESU kama the most profound religion leader in the world history.
Yesu ni historical figure world wide. Hata great scholars wanalitambua hilo. Hata uwe atheists namna gani utakuwa na very weak arguments kupingana na
Ukuu alionao Yesu kristo hapa duniani.
na katika kuichanganua historia ya dunia hii ili ieleweke vyema
Dunia ya Leo tunaigawa sehemu mbili. Before Christ (BE) ama Anno Domini AD) latin name lenye maana ya "Year of Our lord".
Either unataka kupekua BC/AD labels, you must find, The birth of Jesus Christ has always been a dividing line in history.
Also nobody can deny the fact that every leader of every major religion on the world has confronted a historical Jesus Christ.
Muslims recognise Jesus as a prophet,
Buddhists regards Jesus as a "Bodhisattva" (a perfect enlightened being who vows to help others)
Hindu tradition called Jesus. A guru who learned yogic meditation in India.
Judaism regards Jesus as an exceptional rabbi who elevated to a deity by gentiles.
To make life simple
. Jesus of Nazareth has many followers than the rest of all.
Jesus has many followers than a "Cartonist Davinci."
YESU alichora mchangani watu wakajiona Wana dhambi wakakimbia bila kumpiga mawe yule mwanamke mzinzi waliompelekea YESU amhukumu. Chezea YESU wewe...?
Ningekushauri acha kumlinganisha YESU na wakina Charles hebdo.. Wa Italia.
.YESU kafanya Makubwa kuliko da Vinci.
Raise a dead into a life, feed thousands with bread and fish, executed judgement walipompelekea Malaya ili
Amhukumu., tembea juu ya maji, turned water into wine , teaching, daktari wa kuponya watu, kwa uchache . Jesus is a great philosopher.
Historian inakiri kuwa maendeleo ya dunia yamekuwa ya kasi sana duniani ndani ya muda mfupi tu baada ya YESU kristo kuliko uko nyuma kabla ya kuja kwa bwana YESU.
His life legacy remains till today. It helps the majorities to become good citizens of the world.
Acha uongo ww kasome vzr bibilia petro alioaHapa unachakachua..kuhusu Galileo, kwasababu hujui kanisa lilipoanzia.
Paulo na petro na yohana na eliya mtishbi, hawakuoa mke.
Swala la kuoa Paulo kalijadili vizUri. Ni swala binafsi zaidi. Hats hao mapadre wanajitoa kama sadaka wakiahidi kutokuoa. Watoto wao na familia yao inakua ni kanisa.
Kuhusu Jesus christ, Hata kama wewe ni mwislamu imani hiyo haisemi kama YESU alioa. So hata kama bibilia waliibadili na koran yako pia waliibadili.
But In case your an atheist, basi utakua mpenzi ww kusoma conspiracy.
Kwakuwa watu wanaamini ngono ni tamu sana wanadhani si rahisi MTU kukataa kuoa kwa hiyari. Kila kitu kinawezekana chini ya jua.
Mpaka Leo mapadre hawaoi. Na utawala wa rumi Umekufa siku nyingi. So hii hoja kuwa warumi haina mashiko.
Luther alioa alipoondoka ukatoliki. Lakini hakuoa ndani ya ukatoliki.
Pia swala la kuoa na kutokuoa haliwalengi waumini wa kikatoliki. Bali viongozi wao.
So hakuna ujanja wowote hapo.
Shida ya watu wengi likija swala la imani wanatoka povu bila reasoning na utafiti wa kutosha kama wamerogwa, ni shidana mimi najiuliza sana kwa nini kama ni upuuzi watu wanakuwa wakali?
Well hapo tutagundua vitu vingi.Member kuna mwanachama alimuulizia Padri Privatus Karugendo kama angeingia humu angesaidia kutatua hizi picha za Da Vinci huu ndio ujumbe wake na amewapeni hichi kipande
Ndugu yangu, asante sana kunitumia ujumbe. Nikiwa na nafasi, ninapitia Jamiiforum. Nina siku nimepitia huko. Kuhusu swali lako la picha Monalisa. Ni kwamba baada ya Falsafa ya wagiriki ya Matter and soul, spirit na body kuliteka kanisa. Ikiwa matter ni dhambi na soul or form ni utakatifu, wanawake walilchukuliwa kama matter. Hivyo jitihada kubwa ilifanyika kuwaondoa kwenye sura ya kanisa. Pamoja na ushahdi wa kutosha kwamba wanawake walifanya kazi bega kwa bega na Yesu. Picha hiyo hapo ni kuonyesha kilichoficha cha kuwaondoa wanawake. Ukiangalia inaonyesha sura mbili ya mwanaume na mwanamke. Ukisoma Injili vizuri, hakuna sehemu wanayoonyesha mwanume yeyote yule kuwa karibu sana na Yesu. Alikuwepo mwanamke Maria Magdalena. Hata Yesu anapofufuka anaionyesha kwake. Hivyo hata picha ya chakula cha mwisho, mwtu aliyemlalia Yesu, wanasema ni Yohana, lakini ana sura mbili. Ina maana huyo msanii alitaka kuficha, lakini alitaka kumchora mwanamke, kwa vile mambo yalibadilika, na hasa 321, Emperor Constatine, alipolishika kanisa, ndipo piicha kama hiyo ikatokea. Hakuna siri, ila ni ukweli kwamba aliyekuwa karibu sana na Yesu, ni mwanamke na wala si mwanume. Waeleze hivyo kwenye Jamii Forum.
Tunaomba amuulize hilo swali pia atujibuWell hapo tutagundua vitu vingi.
Je huyo mwanamke alikuwa karibu nae vip kwa? Ni mpenziwe kama isemekanavyo?
Nenda google wameweka mambo yote wazihebu tuelimisheni mie hata simuelewi huyo mtu ila post zenu zimenifanya nitake kumjua zaidi
Raisi wa kiwango hata nchi yetu inapata heshima nje ya nchi.hapa kuna sababu ya kufurahia kuwa Mtanzania.
Mkuu acha kuchemsha,
YESU ni mkuu kuliko unachotaka kueleza hapa. Hana ulinganifu na "katunisti" Davinci.
Yesu kristo Walimwita majina mengi hapa duniani great teacher, great man , great prophet.
YESU kupitia matendo yake mema na ya huruma na knowledge yake hapa duniani ambayo imeweza ku inspire wengi, tangu miaka 2000 iliyopita.
Ukiangalia Buddha, Zoaraster, Confucious, Muhamadans wanamchukulia YESU kama the most profound religion leader in the world history.
Yesu ni historical figure world wide. Hata great scholars wanalitambua hilo. Hata uwe atheists namna gani utakuwa na very weak arguments kupingana na
Ukuu alionao Yesu kristo hapa duniani.
na katika kuichanganua historia ya dunia hii ili ieleweke vyema
Dunia ya Leo tunaigawa sehemu mbili. Before Christ (BE) ama Anno Domini AD) latin name lenye maana ya "Year of Our lord".
Either unataka kupekua BC/AD labels, you must find, The birth of Jesus Christ has always been a dividing line in history.
Also nobody can deny the fact that every leader of every major religion on the world has confronted a historical Jesus Christ.
Muslims recognise Jesus as a prophet,
Buddhists regards Jesus as a "Bodhisattva" (a perfect enlightened being who vows to help others)
Hindu tradition called Jesus. A guru who learned yogic meditation in India.
Judaism regards Jesus as an exceptional rabbi who elevated to a deity by gentiles.
To make life simple
. Jesus of Nazareth has many followers than the rest of all.
Jesus has many followers than a "Cartonist Davinci."
YESU alichora mchangani watu wakajiona Wana dhambi wakakimbia bila kumpiga mawe yule mwanamke mzinzi waliompelekea YESU amhukumu. Chezea YESU wewe...?
Ningekushauri acha kumlinganisha YESU na wakina Charles hebdo.. Wa Italia.
.YESU kafanya Makubwa kuliko da Vinci.
Raise a dead into a life, feed thousands with bread and fish, executed judgement walipompelekea Malaya ili
Amhukumu., tembea juu ya maji, turned water into wine , teaching, daktari wa kuponya watu, kwa uchache . Jesus is a great philosopher.
Historian inakiri kuwa maendeleo ya dunia yamekuwa ya kasi sana duniani ndani ya muda mfupi tu baada ya YESU kristo kuliko uko nyuma kabla ya kuja kwa bwana YESU.
His life legacy remains till today. It helps the majorities to become good citizens of the world.
mkuu huyo mwandishi DAN BROWN aliandika vitabu vyake vyote baada ya miaka mingi sana kupita tangu kufa kwa Leonardo Davinci ,kutokana na michoro ya davinc..hakuibua yeye taarifa hizo.....Leonardo alizikuta taarifa hizo......, usimuhukumu mwandishi...tuambie uzushi huo ulianza lini na kwa nini.....kwa nini wanatheologia wanawashambulia sana watu wanaoleta taarifa hizo..kwa nini wengine waliuwawa, kwa nini waliokuwa wanahoji kuhusu bible na ukristu kwa ujumla waliishi kwa tabu sana zama hizo?.........mkuu usichezeshe Lugha......tunajua fiction ni kitu cha Kubuni....lakini hii kitu ni Fact though is highly probable
Leonardo da Vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baloon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya Monalisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa Yesu Kristu alimuoa Marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu
Huyo jamaa angetafiti kwanza ili ajue kuwa hata inayodaiwa kuwa "sura" ya Yesu ilikuwaje hasa ikawa maarufu angejua jambo kubwa sana
Huyo Da Vinch mwenyewe alikuwa anabuni hizo mambo zake hazina ukweli wowote,siku moja nilikuwa natazama National Geographic Channel walikuwa wanazungumzia huu upuuzi wa kizazi cha Yesu
Kuna mambo mengine hata ukitumia akili za mtoto w chekechea tu utagudua ni uji.nga!
ndugu imani ya mutu kuitia matatani ni kujiingiza matatani wewe mwenyewe
Leonardo da Vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baloon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya Monalisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa Yesu Kristu alimuoa Marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu
Angels and demons.... Unaweza kuacha kusali..Wakuu nimesoma vimakala vifupifupi kuhusu huyu mtu, sio siri vimenichanganya. Aliyemsoma kiundani naomba ufafanuzi tafadhali, maana amegusa imani, yani hatari...! Natanguliza shukran.