Leonardo Da-Vinci

Hayo ni mawazo ya kipumbavu. Kama mtu alizaliwa mamia ya miaka baada ya kuwepo Yesu, kwa nini apate special attention kwa mambo aliyokuwa akibumi tu? Sisi wakristo tunaamini ktk Biblia siyo Da vinci

umenena vizuri watu wanashupaza Shingo kweli kuhusu danvici proof hamna
 
Naona leo Mkuu wamekushika pabaya,maana umekuwa mkali kama PILIPILI KICHAA,changia hoja bac

Inaonekana umeshikwa wewe huko pabaya

Unawezaje kuuona ukali kwenye maandishi?
Unajua hoja ni nini?
 
Ndugu Eiyer sorry to be saying this but your actions contradict your Signature. You do lose temper quit easily when your beliefs are put to challenge.
Yaaaah.....! huwa anapenda sana ku-comment in a negative manner,but I'm surprised today somebody has just raise his temperature......! daaah....! hatari sana Bro.
 
Leonardo Da Vinci alikuwa mystic.In a catholic sense alikuwa mpagan ila kwa ma free thinkers alikuwa free spirit

Yale mambo yake ya Prior of Sayion na Holy Grail sina uhakika kama ni kweli.Inawezekana Dan Brown alitaka kuuza vitabu tu

Ndo waanzilisha wa Renaissance.Da Vinci,Michaelengelo,Donatelo na Raphael
 
Ngoja tusubiri tuone kama wataweza kujibu,but for sure hawatoweza.In fact you can't know what U have till you loose it,cjui wanasomaga hao jamaa kwenye kitabu chao,mnfyuuuuuuh.......!
 
Ni Lini mtasema kuwa Pia Alitembea na mwanafunzi wake Yohana maana alimpenda Sanaa

Maana huu ni utawala wa Baba yenu Shetani. Ila Yesu amesema Atakaye Mkufuru yeye atasamehewa ila Atakayemkufuru Roho mtakatifu Hatosamehewa kamwe... Kwahiyo mtukaneni sanaaa mwezavyo ila mkumbike kuomba msamaha
 

ungetumia busara kidogo kuelewa nilichoandika kuliko kukurupuka kuita wenzio vilaza, haya hebu tupe unachokielewa wewe uliye mwerevu.
 
Ngoja tusubiri tuone kama wataweza kujibu,but for sure hawatoweza.In fact you can't know what U have till you loose it,cjui wanasomaga hao jamaa kwenye kitabu chao,mnfyuuuuuuh.......!


Kwa ushabiki uliotumia ku Quote hiyo post ya mwenzio tayari nishakujua ww ni mtu wa kundi gani.

ni bora kutojibizana na manyangau.
 
Umeitoa wapi hii?
Dini ipi unaizungumzia hapa?

Umbwe ni nini?

Nani amewaita watu mashetani?

Una uhakika na hili?

Kivipi?
Jamaa bhanaaa....! unajitia uhamnazo,unauliza maswali kwa kujifanya mwana FALSAFA ili kukimbia mada,ww hayo maswali unayoyauliza unaweza yajibu lakini.....?
 
Daaaah.....! hatareeeeeeeee.........!
 
Mbona MICHAEL HART ktk kitabu chake cha The most influential people in the world hajamuweka kuwa wa kwanza........!
 
Kwa ushabiki uliotumia ku Quote hiyo post ya mwenzio tayari nishakujua ww ni mtu wa kundi gani.

ni bora kutojibizana na manyangau.
1. Kwa hiyo ku Quote post ya mtu ni ushabiki....! kama ndio bac hata ww ni shabiki.2.Sasa hapo umemjibu nani...? 3.Halafu ngoja nikusaidie co MANYANGAU NI MANYANG'AU maana povu limekujaaa kweli. 4.Hebu jibu hiyo hoja ilyopo kwenye hiyo post nilyo-quote kwa ushahidi unaopinga hayo maandiko yanayotolewa co unabwatabwata hovyo
 

Umenikosha!!
 

Hahaaaaa mkuu mbona bado mnang'ang'ana mno na hivyo vitabu kuondolewa kwa bible, nadhani mdau tedo alijaribu kulijibu vizuri hapo mwanzo.

ukitaka majibu zaidi nijibu hili swali kwa uzuri tuu,
hivi mbwa akifurahi huwa anajisikiaje?
 

Kwani wewe ni dhehebu gani...? Nilikuwa nataka kukuambia kama unamfahamu Padre Titus Amigus snajua historia ya Biblia na Kanisa kwa ujumla...

Kuna namna ambayo ipo wazi kabisa ni jinsi gani walichsmbua vitabu....Ni hatua iliyochukua muda na muda....

Dahh....Ngoja nitafute contact zake..
 
Ngoja nikuulize,hivi ni kitu gani kinakufanya uamini hivi vitabu vipo?
Umeshaviona?

Kama umesha viona,ni kitu gani kunakufanya uamini viliandikwa na hao wahusika na sio kwamba vilitungwa tu na watu kwa maslahi yao binafsi?[kuleta coffusion]

Biblia ni mkusanyiko mkuu...Usijitoe ufahamu...Maana yake vitabu vyake vimekusanywa na pia si kitabu kimoja bali vingi.....

Hata Ijili zilikusanywa 24 kwapamoja....Kati ya hizo zikachambuliwa zikabaki 4......Sasa unachatakiwa kujua ni sababu gani zilipelekea vitabu na Injili zingine kuachwa...

Naona una ombwe kubwa la historia....Na historia uliyonayo ni yakupotosha(Biased).....

Unatakiwa kulipa kanisa Katoliki Heshima yake ya kukupa Biblia hata kama unalichukia na hukubaluani nalo...
 

Mungu hana jina....Alijitambulisha tuu kama "Mimi nipo ambaye Nipo"
 
Mbona MICHAEL HART ktk kitabu chake cha The most influential people in the world hajamuweka kuwa wa kwanza........!

Sikatai hilo mkuu, kila mwandishi anapoandika kitabu au makala anakua na lengo au kusudi lake analotaka kuliwakilisha kupitia huo uandishi. Sijajua lengo la Michael Hart lilikua ni lipi lakini haimaanishi kila alichokiandika yeye kiko sahihi kwa mitazamo yote na kwa watu wote.

Hivyo basi, Yesu kutokuwepo kwenye hiyo orodha yake haimaanishi hakua maarufu. Inategemea alikua anaongelea ummarufu upi na kwa vigezo gani.
 
Jamaa bhanaaa....! unajitia uhamnazo,unauliza maswali kwa kujifanya mwana FALSAFA ili kukimbia mada,ww hayo maswali unayoyauliza unaweza yajibu lakini.....?

Falsafa ni kitu gani?
Kwanini unadhani mtu anaweza kujifanya mwanafalsafa?

Unajua hata maana ya kujifanya?

Acha kukurupuka kijana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…