kwa kweli Eiyer na IronLady no offense ila mmetuchanganyia madesa na kutuharibia uzi huu
Kwa mtazamo wangu nafikiri lengo la uzi huu lilikua nikumjadili Leonardo Davinci na mitazamo yake na ubunifu wake ila nyie mmeenda mbali mpaka mkapoteza uelekeo wa uzi si semi hoja na majadiliano yenu hayana maana hapana sema hayausiani na maada ya msingi ambayo ni kumjadili leonardo. Na sio mabishano yenu ya mistari ya Biblia na madhehebu.
Mmetupa wakati mgumu sie wengine wa kupata muunganiko mzuri wa michango ya baadhi wadau waliojikita kwenye mada ya leonardo
Please next time mkiona malubambano yenu yamenoga kiasi ya kwamba yanaama kwenye topic ya msingi basi ni vizuri mkafungua uzi wenu.
MY TAKE
Kwanza thibitisha kuwa Isa ni Yesu kiha tuendelee na haya maelezo yakoJe, Yesu amesulubiwa?
Qurani inaeleza katika Sura 4:157 kuwa Yesu hakusulubiwa: Na kwa (ajili ya) kusema kwao: Sisi tumemuua Masihi Isa, mwana wa
Maryamu, Mtume wa Mungu, hali hawakumwuua wala hawakumsulubu,...
Hutaki kuamini?Je, unaendelea kuamini kuwa Yesu amefia msalabani?
Sio kukuambia,ndivyo ilivyounaweza kuniambia Ndiyo, alikufa na baadaye akafufuka.
Mbona husemi kuwa wapo walioshuhudia akifa na kuzikwa?KWANZA Ufahamu kuwa hakuna mtu aliyeshuhudia muda aliofufukia.
Haiwezekani kwa kuwa lengo la Quran ni kupotosha ukweliWao walilikuta kaburi alilolala Yesu likiwa tupu na wakahitimisha kuwa amefufuka, kwa sababu wanafunzi na mashahidi wengine walimwona akiwa hai baada madai ya kusulubiwa. Je, haiwezekani kuwa, kama inavyodai Qurani, kwamba hajafa msalabani?
Kweli lazima utupe huo ushahidiWaweza kuuliza , Ushahidi upo wapi?
Twende kazi maamumaMajibu . Hebu tutazame vifungu vya Biblia ambavyo vinaunga mkono hitimisho hilo.
Vyote navipa uzito sawa kwa kuwa havikinzaniJe, unayapa uzito zaidi yale aliyoyasema Yesu au tetesi za wanafunzi, mitume, na mashahidi wengine?
Kwanini unauliza na kujijibu wewe mwenyewe?Bila shaka, zaidi ni kwa kile alichosema Yesu mwenyewe.
Unajua hapa alikuwa anazungumzia nini au umerukia ndege inayoanza kuruka?Hiyo ni kwa mujibu wa vile alivyosema Yesu: Matayo 10:24
Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumwa hampiti bwana wake.
Ndivyo ilivyoUnaweza kuniambia tena , Lakini Yesu mwenyewe amesema kuwa atafufuka miongoni mwa wafu: Luka 24:46
Si jibu umeshalipata we maamuma?Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, Kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu;
Uongo ni sifa yenu nyie maamumaJIBU ,Kuteseka mara nyingi kunatiwa chumvi zaidi katika Biblia kwa kutumia msamiati wa kufa, kama Paulo aliovyosema katika 1 wakorintho 15:31 Naam, ndugu, kwa huku kujisifu kwangu nilikonako juu yenu katika Kristo Yesu Bwana wetu, ninakufa kila siku. (yaani ninateseka kila siku).
Mbona mnapenda kudanganya watu nyie watu?Huu ni ushahidi mwengine:
1. Msalabani, Yesu alimsihi sana Mungu amsaidie: Matayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Katika Luka 22:42, inasimuliwa kuwa; Akasema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si
mapenzi yangu, bali yako yatendeke. (Kombe hilo ni kombe la mauti.)
Uongo mwingine mkubwa sana huu2. Ombi la Yesu asife msalabani lilikubaliwa na mungu, kwa mujibu wa Luka, mwandishi wa Waebrania, na Yakobo. Kwa hiyo, vipi afie msalabani?
Luka 22:43 Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu. Hili linamaanisha kuwa malaika amemuhakikishia kuwa Mungu hato mwacha bila ya kumpa msaada:
Unaweza kuwahadaa watoto wadogo tu kwa haya maelezo yako ya ki.jingaWaebrania 5:7 Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu.
Huna llolote ulilosema hapa la maana zaidi ya kutoa porojo tu hapaMaombi ya Yesu yalisikilizwa, jambo linalomaanisha kuwa maombi yake yalijibiwa na Mungu kwa wema:
Leo biblia imekuwa inasema kweli eeehhh!Yakobo 5:16 ...Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.
Hii haijachakachuliwa?Yesu mwenyewe amesema katika Matayo 7:7-10 Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?
Yaani wewe huoni namna ulivyoandika mambo ya hovyo sana?Ikiwa maombi ya Yesu yote yalikubaliwa na Mungu, likiwemo lile ombi lake asife msalabani, sasa itakuwaje mng`ang`anie kuwa amefia msalabani?
Kwanza thibitisha kuwa Isa ni Yesu kiha tuendelee na haya maelezo yako
Hutaki kuamini?
Sio kukuambia,ndivyo ilivyo
Mbona husemi kuwa wapo walioshuhudia akifa na kuzikwa?
Haiwezekani kwa kuwa lengo la Quran ni kupotosha ukweli
Unashindwa tu kujiuliza kuwa wakati Yesu anakufa kulikuwa na makaburi mengi sana kwanini waende kwenye kaburi hilo na sio lingine?
Halafu kauli yako ya kuwa walihitimisha tu kuwa alifufuka kwa kuwa walikuta kaburi wazi ni uongo,kwanini husemi kuwa waliokwenda kaburini siku ile ni wale wale walioshuhudia akizikwa?
Au unajidai huelewi tu?
Kweli lazima utupe huo ushahidi
Twende kazi maamuma
Vyote navipa uzito sawa kwa kuwa havikinzani
Kwanini unauliza na kujijibu wewe mwenyewe?
Au unajiuliza wewe mwenyewe na majibu unatoa wewe mwenyewe?
Unajua hapa alikuwa anazungumzia nini au umerukia ndege inayoanza kuruka?
Ndivyo ilivyo
Si jibu umeshalipata we maamuma?
Uongo ni sifa yenu nyie maamuma
Halafu huo ni mtazamo wako wewe
Pia Paulo hapo hakumaanisha kuteswa kama unavyotaka kutuaminisha wewe hapa
Pia hujasema alimaanisha nini aliposema atafufuka[kama hakufa]
Halafu hujatuambia Yesu kama alikuwa na maana ipi na Paulo alikuwa na maana ipi kama wote walikuwa wanazungumzia jambo moja maana hujui hata Yesu alikuwa anazungumzia nini na Paulo alikuwa anazungumzia nini wewe umekurupuka na kuyahusianisha maneno yao kama vile walikuwa wanazungumzia jambo lilelile
Mbona mnapenda kudanganya watu nyie watu?
Au dini yako ndio inavyokufundisha?
Hebu nioneshe ni wapi kwenye biblia panasema kuwa hilo kombe ni la mauti?
Uongo mwingine mkubwa sana huu
Huyu mtu hajui hata hiyo nguvu aliyopewa ni ya namna gani
Halafu umeshindwa tu kuunganisha matukio na kupata majibu sahihi
Kilichokuwa mbele ya Yesu ni mateso jiulize alitiwa nguvu ili nini wakati hakungekuwa na mateso?[kwa mujibu wako]
Unaweza kuwahadaa watoto wadogo tu kwa haya maelezo yako ya ki.jinga
Kwanini hutaki tu kusema ukweli kuwa kumtoa kwenye mauti ni kumfufua kutoka wafu?
Mtu ambae hajaingia mautini atatilewaje mautini?
Kama hakufa si ingeandikwa akaepushwa na kifo?
Mtu aliyeokolewa kutoka kwenye mafuriko ni sawa na yule aliyeyaepuka?
Huna llolote ulilosema hapa la maana zaidi ya kutoa porojo tu hapa
Leo biblia imekuwa inasema kweli eeehhh!
Hii haijachakachuliwa?
Yaani wewe huoni namna ulivyoandika mambo ya hovyo sana?
Biblia uliyoiquote hapo sio ile iliyochakachuliwa?
Narudia tena Bwana yesu hakufa msalabani kwa mujibu wa maandiko ,usichangnye hoja na kubabaisha wasomaji
Ombi la Yesu asife msalabani lilikubaliwa na mungu, kwa mujibu wa Luka, mwandishi wa Waebrania, na Yakobo. Kwa hiyo, vipi afie msalabani?
Luka 22:43 "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu." Hili linamaanisha kuwa malaika amemuhakikishia
kuwa Mungu hato mwacha bila ya kumpa msaada:
Waebrania 5:7 "Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu."
Maombi ya Yesu "yalisikilizwa," jambo linalomaanisha kuwa maombi yake yalijibiwa na Mungu kwa wema: Yakobo 5:16 "...Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii."
Yesu mwenyewe amesema katika Matayo 7:7-10 "Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa; kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?"
Ikiwa maombi ya Yesu yote yalikubaliwa na Mungu, likiwemo lile ombi lake asife msalabani, sasa itakuwaje mng`ang`anie kuwa amefia msalabani?
Miguu yake haikuvunjwa na askari wa Kirumi: Yohana 19:32-33
"Basi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili, aliyesulubiwa pamoja naye. Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu."
Je, wewe unategemea madai ya askari hao kuwa Yesu alikuwa amekwishakufa, au walitaka kumwokoa kwa kuwa walikuwa wanaamini kuwa Yesu alikuwa hana kosa kabisa?
Kama Yesu alifia msalabani, damu yake ingeganda na kwa hiyo kusingekuwa na damu ya kububujika kutoka mwilini mwake pale alipochomwa kitu cha ncha kali. Lakini Injili inaeleza kuwa damu na maji zilitoka:
Yohana 19:34 "Lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji."
Mafarisayo walipomtaka Yesu athibitishe kazi yake ya kweli, alijibu:
Matayo 12:40 "Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi."
Bila kujali kipengele cha wakati, ambacho nacho hakikuwa michana mitatu na mausiku matatu bali ilikuwa ni mchana mmoja (Jumamosi, mchana tu) na mausiku mawili (usiku wa Ijumaa na wa jumamosi).
Je, Yona alikuwa hai katika tumbo la nyangumi
Ndiyo.
Je, Yona aliendelea kuwa hai pale alipotemwa kutoka tumboni mwa nyangumi?
JIBU NI Ndiyo.
Basi Yesu alikuwa bado yu hai, kama alivyotabiri.
Yesu mwenyewe ameeleza kuwa, yeye hajafia msalabani. Mapema, asubuhi ya Jumapili Mariamu Magdalena alienda kaburini, lililokuwa tupu. Alimwona mtu amesimama anayeonekana ni kama mtunza bustani.
Baada ya mazungumzo, Magdalena alitambua kuwa huyo alikuwa ni Yesu na akataka kumgusa. Yesu alisema, kama inavyosimuliwa katika Yohana 20:17 "Yesu akamwambia, Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba..." "Usinishike" "Kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba." Maana yake ni kuwa yeye bado yupo hai, kwa sababu mtu
anapokufa anarudi tena kwa Muumba. Huu ulikuwa ni uthibitisho wenye nguvu sana na umekubaliwa na Yesu mwenyewe.
Baada ya tuhuma za kusulubiwa, wale wanafunzi walidhani kuwa yule aliyesulubiwa hakuwa ndiye Yesu yule yule kimwili bali kiroho, kwa sababu miili iliyofufuliwa inakuwa "kiroho."
UNAWEZA KUNIAMBIA Vipi unahakikisha kuwa miili iliyofufuliwa inakuwa ni ya "kiroho"?
JIBU: Hicho ndicho alichokisema Yesu mwenyewe katika Biblia: kuwa wao ni sawa na malaika.
SUALI : Wapi anaposema hivyo?
JIBU Katika Luka 20:34-36 "Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo."
Kisha Yesu aliwakinaisha kuwa yeye alikuwa ni mtu yule yule kwa kuwaruhusu waguse mikono yake na miguu yake. Kwa kuwa bado walikuwa hawajamwamini, aliwaomba wamletee nyama ili awaonyeshe kuwa yeye bado anakula kama kila kiumbe hai kinavyokula.
Soma Luka 24:36-43 "Na walipokuwa katika kusema habari hiyo, yeye mwenyewe alisimama katikati yao, akawaambia, Amani iwe kwenu Wakashtuka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho. Akawaambia, mbona mnafadhaika? na kwa nini mnaonashaka mioyoni mwenu?
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone;kwa kuwa roho
haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo. Na baada ya kusema hayo aliwaonyesha mikono yake na miguu yake. Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu,
aliwaambia, Mna chakula cho chote hapa? Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa. Akakitwaa, akala mbele yao."
amekula ku-prove kitu gani ???kuwa alikufa na kufufuka ??? au kutoa ushahidi kuwa yeye ndiye mwenyewe na hakuwa roho kwani hakufa ???
kama alikufa na kufufuka , wanafunzi wake walikuwa wanaelewa roho haihitaji chakula wala bwana yesu alikuwa hana haja ya kula kuprove kuwa hakufa
Before going any father,naomba unijibu swali langu hili
Hayo maandiko uliyaquote ili kusapoti madai yako umeyatoa kwenye Biblia gani?
Iliyochakachuliwa au ambayo haijachakachuliwa?
Ukinijibu hilo nitarudi kujibu hiyo mistari yako mmoja baada ya mwingine!
Tumalize na mambo ya kufa na kufufuka baadaye tuje huko kwenye mada mpya maana hiyo peke yake ni thread
au kama una haraka fungua thread nitakujibu bila wasiwasi wowote
Kama bado unaamini kuwa alikufa msalabani, basi alikuwa ni mtume wa uwongo na amelaaniwa na Mungu kwa mujibu wa vifungu hivi:
Kumbukumbu 13:5 "Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe..."
Kumbukumbu 21:22-23: "Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; mzoga wake
usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku hiyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako."
Kuamini kifo hicho cha msalabani ni kuabisha unabii wake.
Wayahudi wanadai kuwa wao wamemuua Yesu msalabani ili kuonyesha kuwa Yesu ni nabii wa uwongo.
Wakristo wanaamini kuuliwa msalabani, ni lazima kwa ajili ya imani yao ya kuokolewa dhambi na, matokeo yake, wanalazimika waamini kulaaniwa kwa Yesu, vilevile.
Imani hii ya Kikristo inapingana na mafundisho ya Biblia katika Hosea 6:6 "Maana nataka fadhili wala si sadaka; na kumjua Mungu kuliko sadaka za kuteketezwa."
Pia inapingana na mafundisho ya Yesu mwenyewe katika Matayo 9:13 "Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka..."
Yesu amesema tena katika Matayo 12:7 "Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia."
SUALI; kwa nini watu wanaamini ufufuo?
MAJIBU;
Paulo ndiye aliyefundisha ufufuo: Matendo 17:18 "...Wengine [Wayahudi] wakasema, Mpuzi huyu [Paulo] anataka kusema nini?
Wengine walisema, Anaonekana kuwa mtangaza habari za miungu migeni, kwa maana alikuwa akihubiri habari za Yesu na ufufuo."
Paulo ambaye hajamwona Yesu, vilevile alikiri kuwa ufufuo wa Yesu ni Injili yake 2 Timotheo 2:8 "Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo injili yangu."
Vilevile Paulo alikuwa ni mtu wa kwanza kutangaza kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu:
Matendo 9:20 "Mara [Paulo] akamuhubiri Yesu katika masinagogi, ya kwamba yeye ni Mwana wa Mungu."
Kwa hiyo, Ukristo si mafundisho ya Yesu bali ya Paulo.
Hapo mwisho wa maelezo yako umeandika "Ukristo ni mafundisho ya Paulo"
Tayari hapo umeshaleta mkanganyiko
Paulo na YESU maelezo yao uliyoyaleta hapa umeyatoa kwenye Biblia
Inakuwaje unayatenga na kudai ya Yesu ni sawa na ya Paulo si sawa?
Umetumia kipimo gani kujua hayo?
Yaani hujaona mantiki ya madai yangu kuwa inatakiwa useme hapa hayo maelezo ni ya kutoka biblia ipi?iliyochakachuliwa au laa?
Pia madai yako kuwa hiyo ni thread sio rellevant kwa kuwa hapa unazungumza huku ukiiquote biblia ambayo wewe mwenyewe unadai kuwa imechakachuliwa,sasa unatumiaje kitabu ambacho wewe mwenyewe una mashaka na usahihi wake?
Huoni unaingia shimoni?
mambo ya kuchakachua biblia sisemi mimi hayo ni maneno ya hao wanaowaandikia biblia waone
waone hapa wanasema nini kwenye hii documentary Jesus the evidence ( Episode One - 1 of 3 ) - YouTube
Wanaotuandikia biblia?
Hao ni akina Marko?
pitia hizi attach kwa davince na kwa kitabu cha enoch kipo kwa screen moja moja waweza pitia pia.no stone left unturnedhebu uwekeni hapa ili tujielimishe hata ambao hatujawahi kuuona mkuu.
google last supper/davinci code.......wanafalsafa wa kale wamekuwa wakidadisi kwa muda mrefu sana uhusiano tete kati ya yesu na Marry Magdalena...kuna waandishi wengi ambao waluigusia uhusiano huu na wakaishia kupotezwa na Romani empire ikiwamo Leonanardo davinci...baada ya mchoro huo Davinci alihama nchi yake kwa kuhofia maisha yake ambayo yaliwekwa rehani na utawala wa Roma wa kipindi chake...kisa chake kinamambo meni ..lakini simulizi ambazo zimeendelea kuzikwa ni ukweli kuhusu maisha ya Yesu...
1)..nini position ya Marry Magdalena b4, during & after jesus christ.
2) mbona alivuma ghafla katika biblia na kupotea ghafla baada ya kifo cha yesu..ni sawa na maisha ya Yoseph mme wa mama yake yesu nayo ni kizungu mkuti.
3) alegations kwamba yesu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Merry Magdalena na walipata watoto wawili ni za kale even b4 Leonardo who is did put the thing in public via drawings..na inasemekana baada ya kifo chake watoto na familia yake ilitoroshewa ulaya magharibi inasemekana hasa parts za Ireland/UK
Naona leo Mkuu wamekushika pabaya,maana umekuwa mkali kama PILIPILI KICHAA,changia hoja bacHii nayo ni pumba nyingine
Hivi tuwaeleweje nyie watu?
Mara Yesu ni story tu na hapakuwahi kuwepo na mtu aliyeishi duniani wa aina hii!
Mara sijui nini!
Mbona mnatapatapa?
sasa unamsikia ndugu tedo anasema kavunje vatcan?
vitabu vipo na viliachwa makusudi. wao wanadai kwa maslai ya kanisa na imani.
mimi naendelea kusema ni kwa maslai yao binafsi wala sio kanisa.