Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.
Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.
Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao.