Leo zamu ya masingle Faza

Leo zamu ya masingle Faza

Ri ri

Senior Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
141
Reaction score
221
Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.

Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.

Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao.
 
Wewe umeachwa na mumeo na akaamua kubaki na watoto. Na hicho kitendo kimekuuma sana. Maana umeelezea kwa hisia sana.

Kama hujaachwa basi uli-date nao na wakakupiga chini. Kwa hasira ulizonazo umeona ni bora uwaelezee kwa namna hiyo.
Hapana sivyo... kuna utafiti naufanya
 
Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.

Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.

Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao.
Pole sana mkuu, watoto wamechukuliwa kwa hyo chanzo cha mapato kimekatwa?
 
Unakuta mama alkuwa anakaa na watoto bila support yoyote kutoka kwa baba ndo mwishowe anaamua kumpelekea akae nao mwenyewe
Umesema wanaokaa na watoto sasa kwanini atume hela kwa mzazi mweunakuta mama anakaa na watt bila msaada wowote ad
 
Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.
Umetumwa?
 
Masingo faza wanawajibika sana Kwa watoto wao, Kuna baba mmoja amekimbiwa na mke wake tangu Mtoto wake mkubwa Yuko darasa la tano amepambana mwanae anaingia from three saizi, watoto wanampenda baba na baba anawapenda watoto
 
wanawajibika wakishaachiwa watoto kama ivo..
 
Tatizo tukiwaoa mje mtusaidie kulea watoto mnaanza kuwatesa mnasahau kua hao watoto ndo sababu ya sisi kuoa matokeo yake mnaanza kutusagia kunguni huku jf ila fresh tu yaan tutabanana hvohvo had mtatuelewa
 
Back
Top Bottom