mh hatariNgoja nicheke kidogo,
Kuna ka single mama Fulani hivi nilikakubali kweli yani sasa nikaomba tuwe wapenzi mtoto wake alikuwa na age kama ya miaka 6 hivi, uzuri Baba wa mtoto anajielewa hivyo akamchukua akamlee na akaanze shule mkoa tofauti na tuliopo....
Sasa wakati nikihangaikia penzi la huyu mama si akakataa na akadai nataka kumchezea [emoji1][emoji1][emoji1]
Haikupita mwezi nikasikia kuna kidume kinatoka naye na wanampango wa kufunga ndoa, kwahiyo akaniletea Kadi ya mchango wa harusi nikaipokea na nikampa baraka zoote za ndoa...
Kimbembe kikaanza week mbili kabla ya ndoa akaja kuniambia anataka kuanza clinic ila mzazi mwenzie ambaye week inayokuja anafunga naye ndoa kadai haitaji kuiona mimba, nikamwambia sasa matunda ya ndoa ni nini si mtoto mlete mje muanze clinic
Baada ya siku 3 akamleta mumewe mtarajiwa wakaanza fresh, week iliyofuata wakafunga ndoa
Baada ya miezi kadhaa namuona binti anapiga piga simu nikasema huyu si anatakiwa awe analea mumewe saizi[emoji38][emoji38][emoji38]
Mara paap nauliza ni nini tatizo naambiwa mwanaume kasema hawezi kulea mtoto saizi maana alitegemea baada ya miaka 3 ndio ampe mkewe kibendi...
Kwahiyo suluhisho waachane [emoji2958][emoji2958][emoji24] wakaachana ndoa ikiwa chini ya miezi 4
Saizi ananiita Baba watoto wawili[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wanawake wanawake, mnaswagaa
wivuu tu.. eti mkiachana mtu akiwa na mahusiano mengine mnasitisha kuhudumia watoto..Kutompelekea matumizi mwanamke anaepigwa miti na mtu mwingine ni kujitambua.... hamna ubahili hapo sihudumii mtoto unayemng'ang'ania zaidi ya miaka saba isipokuwa huduma za shule.
Nami ndo nakwambia hiyo ya kuokota yoyote ilikuwaga zamaniPesa sio tatizo,tatizo ndoa
Wanafanya kusudi tu!inakera lakini baba kutohudumia watoto
Masingo faza hatuko emotional kimapenzi,yaani mwendo wa fact tu,moja na moja ni mbili...lete ucchi tut*mbane,tutatafutana tukiwa na nnyyege Tena,hakuna kula hela kwa mgongo wa mtoto,tafuta zakoHapana sivyo... kuna utafiti naufanya
KUNA SHIDA KICHWANI,Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.
Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.
Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao.
pole naona bado una sononaYaani tuachane tena kwa kunisaliti then nitume hela ya matumizi mara sijui nitoe pesa ya kodii huuu ni uzuzu.ni hivi hadi ukanisaliti ulijua matokeo yake ila kwa jeuri ukachepuka tena kwa tambo nyingii oooh hata mimi naweza kuhudumia nikaonekana fala mbele za watu.yamekushinda unabaki unalia lia tu.pambana na hali yako potelea mbaliiiii.hichi ulichokiandika ndicho kimenitokea now anajutia hukoo
pole naona bado una sononYaani tuachane tena kwa kunisaliti then nitume hela ya matumizi mara sijui nitoe pesa ya kodii huuu ni uzuzu.ni hivi hadi ukanisaliti ulijua matokeo yake ila kwa jeuri ukachepuka tena kwa tambo nyingii oooh hata mimi naweza kuhudumia nikaonekana fala mbele za watu.yamekushinda unabaki unalia lia tu.pambana na hali yako potelea mbaliiiii.hichi ulichokiandika ndicho kimenitokea now anajutia hukoo
na mtoto ni nani sasa?KUNA SHIDA KICHWANI,
MWANUME NI MBEGU
MWANAMKE NI SHAMBA,
UWEZI FANANISHA HAWA WATU.x
Ni roho mbaya.nakutokujali mtoto wako .wew hapo unamlenga mama yake ndomana unatoa huduma ya shule tu unaisi anafaidika ulishaiwi jiuliza mtoto wako anakula nin,anavaa nn hata siku moja. Wanaume kama wew au mnamoto wenu jehanamu. 🤣🤣Kutompelekea matumizi mwanamke anaepigwa miti na mtu mwingine ni kujitambua.... hamna ubahili hapo sihudumii mtoto unayemng'ang'ania zaidi ya miaka saba isipokuwa huduma za shule.
Hela situmi nilikuambia kama ni mahitaji ya mtoto njoo uchukue lakini sio hela yangu kukupa tena wewe siwezi kwanza ulisha olewa tuliza kipira utaachika tena shauri yakoHabarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.
Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.
Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao.