Leo zamu ya masingle Faza

Leo zamu ya masingle Faza

mna ubinafsi hamtunzi watoto wenu wakiwa kwa mama zao..
Tunawatunza ila sasa shida mnakuwa na mizinga na uongo mwingi sana. Utakuta mtóto anaumwa kila week na hataki umkatie bima kumbe hata haumwi ni gear ya kukupiga mizinga.
Sema kulea mtoto ni experience nzurí sana ila nimegundua inafaa mtoto alelewe na baba na mama na vzuri wawe wanaishi wote kama wanandoa.
 
Umesema wanaokaa na watoto sasa kwanini atume hela kwa mzazi mwenza?
yani nimemaanisha wanakuwa hawawajibiki kutunza watoto wakiwa na mama zao halii inayopelekea wapelekewe watoto wapambane nao wenyewe
 
Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.

Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.

Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao
Watoto wako wote wapo kwa baba zao.

Ulitaka kuwachuna wakastukia?
 
Tatizo tukiwaoa mje mtusaidie kulea watoto mnaanza kuwatesa mnasahau kua hao watoto ndo sababu ya sisi kuoa matokeo yake mnaanza kutusagia kunguni huku jf ila fresh tu yaan tutabanana hvohvo had mtatuelewa
na wanawake hatutaki kuolewa na masingle faza sababu wana matatizo yao mengi ndo maana wameachiwa watoto walee wenyewe
 
hapana ni ivo ivo Ri ri napenda
Mkuu no offense but jina la Id yako na jinsi ulivyoacha space kati ya Ri ri kwakweli kila nikilisoma linakua linaSound kama Tag ya RIP kwenye account za wanachama waliotutoka!

Natumaini ulitaka kujiita Riri Williams, Righ
 
Tunawatunza ila sasa shida mnakuwa na mizinga na uongo mwingi sana. Utakuta mtóto anaumwa kila week na hataki umkatie bima kumbe hata haumwi ni gear ya kukupiga mizinga.
Sema kulea mtoto ni experience nzurí sana ila nimegundua inafaa mtoto alelewe na baba na mama na vzuri wawe wanaishi wote kama wanandoa.
yeah mkuu ni vizuri sana watoto kulelewa na wazazi wote..
masingle maza wengi wanajielewa ni wachache sana ndo wana matatizo kama ivo
 
Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao.

Masingle faza nnaowaongelea ni wale wanaoishi na watoto wao wenyewe bila mama kuwepo. Asilimia kubwa ya hawa watu wanakuaga hawajui majukumu yao, hawajitambui,wana tabia zisizovumilika, wabinafsi, bahili na wenye roho mbaya na chuki za kutotaka kutuma matumizi kwa mama watoto kuona atafaidi nk.

Hebu share experience yako kama ushakutanaga nao.
Kutompelekea matumizi mwanamke anaepigwa miti na mtu mwingine ni kujitambua.... hamna ubahili hapo sihudumii mtoto unayemng'ang'ania zaidi ya miaka saba isipokuwa huduma za shule.
 
unakuta mama alkuwa anakaa na watoto bila support yoyote kutoka kwa baba ndo mwishowe anaamua kumpelekea akae nao mwenyewe
sasa kuna ubaya wowote kama mwanamke hatoi hata kumi yake? Kwanini ulalamike wakati huna mchango wowote kwenye masuala ya fedha.... unataka kuchangia nini labda yani?
 
Sasa atatumaje matumiz wakat yeye mwenyew ndo anaishi na watoto,yaan akutumie wew ulieacha watoto na ukaenda kutanua huko

Nyie kina mama kuweni na huruma basi
 
Ngoja nicheke kidogo,

Kuna ka single mama Fulani hivi nilikakubali kweli yani sasa nikaomba tuwe wapenzi mtoto wake alikuwa na age kama ya miaka 6 hivi, uzuri Baba wa mtoto anajielewa hivyo akamchukua akamlee na akaanze shule mkoa tofauti na tuliopo....

Sasa wakati nikihangaikia penzi la huyu mama si akakataa na akadai nataka kumchezea [emoji1][emoji1][emoji1]

Haikupita mwezi nikasikia kuna kidume kinatoka naye na wanampango wa kufunga ndoa, kwahiyo akaniletea Kadi ya mchango wa harusi nikaipokea na nikampa baraka zoote za ndoa...

Kimbembe kikaanza week mbili kabla ya ndoa akaja kuniambia anataka kuanza clinic ila mzazi mwenzie ambaye week inayokuja anafunga naye ndoa kadai haitaji kuiona mimba, nikamwambia sasa matunda ya ndoa ni nini si mtoto mlete mje muanze clinic

Baada ya siku 3 akamleta mumewe mtarajiwa wakaanza fresh, week iliyofuata wakafunga ndoa

Baada ya miezi kadhaa namuona binti anapiga piga simu nikasema huyu si anatakiwa awe analea mumewe saizi[emoji38][emoji38][emoji38]

Mara paap nauliza ni nini tatizo naambiwa mwanaume kasema hawezi kulea mtoto saizi maana alitegemea baada ya miaka 3 ndio ampe mkewe kibendi...

Kwahiyo suluhisho waachane [emoji2958][emoji2958][emoji24] wakaachana ndoa ikiwa chini ya miezi 4

Saizi ananiita Baba watoto wawili[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Wanawake wanawake, mnaswagaa
 
Ngoja nikaanue nguo nipasi kwanza kesho kazini nisijekosa umeme baadae umeme wenyewe nivtia maji tia maji.
Huu uzi hata haunihusu mi sijazalisha bado
 
Back
Top Bottom