Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Ntakuwa hapa......BOOKERs Tegeta......KIOTA KIPYA
mkuu acha utani wewe? tegeta kuna kiwanja kama hiki? tangu lini? bongo hii/ aaah wapi? we sema utakuwa pale lexus au waungwana pub, au mandenyi pubNtakuwa hapa......BOOKERs Tegeta......KIOTA KIPYA
![]()
mkuu acha utani wewe? tegeta kuna kiwanja kama hiki? tangu lini? bongo hii/ aaah wapi? we sema utakuwa pale lexus au waungwana pub, au mandenyi pub
yap sijafika, nkipo mkoa kama takribani miezi 4 sasa, hebu nieleze hiki kiota ni cha kweli au kakifotoa toka majuu?Hujafika kwenye lile ghorofa jipya nini mkuu?
kipo tegeta ipi mkuu, mbuyuni,skaska, darajani, sokoni, kibaoni au masite? ni cha fisadi nani mkuu?Ukija njoo utakikuta si muchezo
leo kimyaaaaaaaaaa wala usitegemee wachangiaji!!!!!!!!ebu jaribu kuiripost ijumaa ijayo!!hehee toba!
walevi bwana
astaghafulu laaah !!!!kula mbusi katoliki kama kawa meeku.