Pole brotherSijakuelewa yaani basi kubwa (hatuombei) la.masafa lipate ajali lisijulikane?Na wasap hizi au?Labda,never say never.Jioni njema sasa naenda kupata kinywaji.Karibu tujumuike!
Aise.Pole brother
Nipo somewhere nna mtu wangu kapata ajali majuzi tu na gari maarufu tu limechinja sita
Habari sijakutana nayo popote mpaka sasa.
Siandiki nisichokijua.
Unamatatizo gani nikusaidieYan wewe Elf 20 Yako tu ndo uje kumlaulaumu mwenzako kwanini asitumie Mil 200 kununua basi mbili ili wewe uipande, huoni kama ndo fursa kwako kununua la pili?
Basi paza sauti boss.Pole brother
Nipo somewhere nna mtu wangu kapata ajali majuzi tu na gari maarufu tu limechinja sita
Habari sijakutana nayo popote mpaka sasa.
Siandiki nisichokijua.
Ngumu sana najua impact yake.Basi paza sauti boss.
Iandike hiyo habari sasa
Imekuwa kama ulivyosema.Utalala dumila leo
Pole. Na vizuri umefika salama mpaka hapoImekuwa kama ulivyosema.