Leo wahusika wa basi la KISBO wamezingua

Leo wahusika wa basi la KISBO wamezingua

Dar Lux nilikua namdharau kumbe nae Yuko fit sana
 
Nadhani una degree ya ubishi, tena ni ule by nature. Kisbo Express mbili zililala Shy, zimefika Mwanza saa 2:10 na nyingine saa 2:23 asubuhi, zikapakia na kuondoka saa 3 asubuhi bila hata service. Muda huu ndiyo tunatoka shy town. Japo lile jingine(Kisbo) litakuwa linaitafuta Igunga.
Mwaka 2015 ile ya mgomo iliondoka dar sa7 lakn basi zilizotoboa mwanza zilikua mbili tatu tu Kisbo ,happy nation BXB 710 na city boys.

Nakwambia utalala dar usijal.
 
28670f5b62be3b66496c9f6742574257.jpg

Maana yake ni nini hii.... badala kumuombea mtu asafiri salama unatuma picha ya ajali!
 
Mwaka 2015 ile ya mgomo iliondoka dar sa7 lakn basi zilizotoboa mwanza zilikua mbili tatu tu Kisbo ,happy nation BXB 710 na city boys.

Nakwambia utalala dar usijal.
Kipindi hicho sumatra hawakuwa namna walivyo leo.
 
kisbo Express Dar-Mwanza ana gari 5.
Compassion
Diplomat
Comfortable
Choice of Mwanza
Jaguar.

Kibo Safari naye anazo 5 njia ya hiyo hiyo.

Kulaza watu shinyanga, au kukosa gari ya kushinda Mwanza au Dar ni emergency inayoweza kusababishwa na factors nyingi. Mambo ya vyeti na kuwekwa mahakamani, hitilafu za vyombo njiani n.k

Ila all in all, mtoa mada ufike salama tu..
 
Mwendo wa hatari huo mzee kw barabara zetu za kupishana kwa mita 1-2.Si suala la kujivunia hata kidogo.Shukuru mungu
Mwendo wa kawaida sana

Mbona kabla ya hiyo sheria gari zilikua zinafika bila tabu ?
 
Mwendo wa kawaida sana

Mbona kabla ya hiyo sheria gari zilikua zinafika bila tabu ?
Umesahau ajali zake zilivyokuwa zinaleta madhara makubwa hadi vifo.Huone siku hizi walau ajali za mabasi zimepungua kwa kiasi fulani
 
Umesahau ajali zake zilivyokuwa zinaleta madhara makubwa hadi vifo.Huone siku hizi walau ajali za mabasi zimepungua kwa kiasi fulani
Slow down
Umefanya uchunguzi ?
Siku hizi picha zinafutwa mpaka kwenye social media

Ajali zipo zinachinja sana tu ila ndo hazianikwi tena.
Serikali imeshajisifu imetatua tatizo na inafanya juu chini iaminike hivyo.
 
Mwambie Services pia lilikua tatizo libwa sana
mfano kabla ya Christmas magari yalikaguliwa mangapi yalizuiwa na mangapi yaliendelea na Safari
 
Slow down
Umefanya uchunguzi ?
Siku hizi picha zinafutwa mpaka kwenye social media

Ajali zipo zinachinja sana tu ila ndo hazianikwi tena.
Serikali imeshajisifu imetatua tatizo na inafanya juu chini iaminike hivyo.
Sawa lakini wamejitahidi aise.Mtu akifanya vizuri si vibaya ukampongeza.Barabara zetu si nzuri sana.
 
Sawa lakini wamejitahidi aise.Mtu akifanya vizuri si vibaya ukampongeza.Barabara zetu si nzuri sana.
Jaribu tu kuzungumza na watu walioko kwenye field ukutane na reality
.
 
Halafu kampuni haiwezi kuruhusiwa kufanya biashara kama ina gari moja kwa hiyo route

Labda kulikuwa na jambo jingine
 
Back
Top Bottom