sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,746
- 4,353
SafiNdiyo zimeingia Nyegezi. Hapa ni kusubiri kuondoka tu.
SafiNdiyo zimeingia Nyegezi. Hapa ni kusubiri kuondoka tu.
Hatimaye safari ndiyo inaanza.Safi
Hata tairi za mbele hujakagua kama ulivyoshauriwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hatimaye safari ndiyo inaanza.
Nimeishia kuziangalia pekee.Hata tairi za mbele hujakagua kama ulivyoshauriwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Safari njema....kuiona Dar kesho asbh[emoji3] [emoji3]
Asante mkuu.Safari njema mkuu
Kwaiyo watu wasisafiri? Unadhani wanasafiri kwa kujifuraisha?Ila kwa namna yoyote tupambane na umaskini, muda unaotumika kwenye basi ni mwingi mno.
Mkuu mi Nina ndugu yangu Ameshaondoka na Kisbo Leo kuja Dar,Ametokea Shy! Tangu SAA 2 asubuhi!Asante mkuu.
Kwaiyo watu wasisafiri? Unadhani wanasafiri kwa kujifuraisha?
Ndio maana nkasema tupambane na umaskini wetu, ili siku ya siku tuweze kuwa na uwezo wa kusafiri haraka bila tabuKwaiyo watu wasisafiri? Unadhani wanasafiri kwa kujifuraisha?
Maana yangu ni kwamba hilo basi madereva wake wengi ni wanywa viroba!Hujaeleweka.