Leo wahusika wa basi la KISBO wamezingua

Mkuu kwa dar mwz mm kisbo nishaitoa katika gari zangu japokuwa wanasifa za kutolala njiani ..ila gari unatembea unasikia kelele za vyuma km uko kiwandani [emoji13][emoji13][emoji13] next time fanya booking ya mwewe
 
Kisbo and Kibo ni ultimate time keepers.
Ni gari ambazo zinajali na kutunza muda sana japo mara moja moja inatokea kama hvo lakn uhakika wa kutolala njian ni 100%.
Hata leo nakuhakikishia utalala dar usijal
 
Mwendo wa hatari huo mzee kw barabara zetu za kupishana kwa mita 1-2.Si suala la kujivunia hata kidogo.Shukuru mungu
Namshukuru Mungu sana tu ila sio mwendo wa hatari hata kidogo
Binafsi naona ni mwendo wa kawaida tu
 
Yaani hilo gari huwez pokea cm mtu akakuelew n kelele mtindo mmoja hata mfunge madirisha yote. Na unafika umechika km ulipanda lori seat akuna comfort kabsaa
 
Oooh Kumbe Ni Kibo Safari.
Ameondoka na Kibo sio Kisbo!
Kisbo Kililala Shinyanga Stand Jana na Kuondoka Shinyanga SAA 12 asubuhi kuelekea Mwwnza!
Na Umbali was Shy-Mwanza in masaa 2:30 mpaka 3:00hrs!
So Halafu Ligeuze bila Service duu Aisee!
Ila Hili Kibo Sasa Hivi limefika Nyandekwa Linaitafuta Igunga!
 
Namshukuru Mungu sana tu ila sio mwendo wa hatari hata kidogo
Binafsi naona ni mwendo wa kawaida tu
Mwendo wa Kawaida sana kama barabara ya Dar-Mwanza ingekuwa double road.Siyo hii ya head-on-head collision.
 
Mkuu Mimi sipendi Mwendo wa kasi kabisa ila ujue tunatembea taratibu sana basi kwa speed ya km 50 kwa saa ni mwendo wa taratibu sana
 
Hata mm hiyo 50KPH sikubaliani ni ya chini sana na hasa kwa long trips kama hizo za Kanda ya ziwa na kusini
 
Mkuu kwa dar mwz mm kisbo nishaitoa katika gari zangu japokuwa wanasifa za kutolala njiani ..ila gari unatembea unasikia kelele za vyuma km uko kiwandani [emoji13][emoji13][emoji13] next time fanya booking ya mwewe
Itabidi nijichange.
 
28670f5b62be3b66496c9f6742574257.jpg
Nimejaribu kuobserve mara kadhaa Kisbo ikitajwa lazima uje na hii picha..halafu utaleta zile za kupromote Dar Lux, na nyinginezo.

Ili ubalance mizani uwe unaleta na zile za Lux akiwa kapata ajali. Maana point unayotaka kudrive home ni kuwa hayo mabasi yana sifa ya ajali..whereas hata yale unayoyasifia nayo yalishapata ajali nyakati fulani.
 
Oooh Kumbe Ni Kibo Safari.
Ameondoka na Kibo sio Kisbo!
Kisbo Kililala Shinyanga Stand Jana na Kuondoka Shinyanga SAA 12 asubuhi kuelekea Mwwnza!
Na Umbali was Shy-Mwanza in masaa 2:30 mpaka 3:00hrs!
So Halafu Ligeuze bila Service duu Aisee!
Ila Hili Kibo Sasa Hivi limefika Nyandekwa Linaitafuta Igunga!
Nadhani una degree ya ubishi, tena ni ule by nature. Kisbo Express mbili zililala Shy, zimefika Mwanza saa 2:10 na nyingine saa 2:23 asubuhi, zikapakia na kuondoka saa 3 asubuhi bila hata service. Muda huu ndiyo tunatoka shy town. Japo lile jingine(Kisbo) litakuwa linaitafuta Igunga.
 
Kisbo and Kibo ni ultimate time keepers.
Ni gari ambazo zinajali na kutunza muda sana japo mara moja moja inatokea kama hvo lakn uhakika wa kutolala njian ni 100%.
Hata leo nakuhakikishia utalala dar usijal
Dar haitawezekana. Muda huu ikiwa saa sita ndiyi tunaitoka Shinyanga mjini.
 
Pole sana mkuu ila angalia gari likifika usije vunjwa mguu maana nahic kutakua na gombania km ile ya usafiri wa mbagala asubuhi na jioni ha ha ha
 
Nimejaribu kuobserve mara kadhaa Kisbo ikitajwa lazima uje na hii picha..halafu utaleta zile za kupromote Dar Lux, na nyinginezo.

Ili ubalance mizani uwe unaleta na zile za Lux akiwa kapata ajali. Maana point unayotaka kudrive home ni kuwa hayo mabasi yana sifa ya ajali..whereas hata yale unayoyasifia nayo yalishapata ajali nyakati fulani.
Sawa mkuu observer!
 
Back
Top Bottom